Msanii kutoka Uganda amabe mapema hapo jana amemake headlines kwenye vyombo mbalimbali vya habari mara baada ya picha zake za utupu kusambaa kwa kasi zikimuonyesha katika mikao kumi tofauti katika picha hizo. Watu mbalimbali wamekuwa wakimuiga msanii huyo kwa kuweka V pose akiwemo Bob wyne pia kutoka Uganda Hivi karibuni Desire alipouulizwa kuhusiana na namna picha hizo zilivyovuja alimtupia lawama boy friend wake raia wa Nigeria Franklin kuwa ndie aliefanya hivyo. mpenzi wake huyo amedai kwamba aliyafanya hivyo baada ya kuchoshwa...
rapa anaefanya vizuri kwa sasa kutoka Marekani Kendrick lamar amemuomba radhi mkongwe phil Jackson mara baada ya kuchana bar kwenye ngoma ya Big shown “control” kwa kutamka maneno haya “Phil Jackson came back, still no coaching me. I’m uncoachable.” mstari huo ambao ulitafsiriwa kama kumdhihaki kocha huyo na mchezaji mkongwe wa basket bal yani mpira wa kikapu duniani na baadae mkongwe huyo aliongea maneno machache ya kumjibu Kendrick lamar kupitia ukurasa wake wa Twitter Kedrick aliomba radhi kupitia interview aliyofanya...
Msanii kutoka Nigeria anaefanya vizuri kwa sasa kwenye tasnia ya muziki kwa sasa Iyanya maarufu kama Mr. Kukere jina lililotoka kwenye wimbo wake. hivi karibuni timu nzima ya Triple MG record label na wasanii wke akiwemo Iyanya wapo nchini Uingereza kwenye tour maalum ya kimuziki ambapo wasanii na mashabiki kwa pamoja walijumuika kusherehekea siku ya kuzaliwa ya msanii huyo, wengine ambao walikuwepo kwenye eneo hilo ni pamoja na mwimbaji Emma Nyra pamoja na meneja wa Iyanya Ubi Franklin. tazaama baadhi ya picha...
Msanii kutoka marekani mzaliwa wa Saint Michael, huko Barbados, mwaka 1988 February 20, alifungiwa kuendelea kutumia mtandao wa instagram kwa takribani miezi sita mara baada ya kukiuka taratibu za mtandao huo. miezi michache nyuma msanii huyo alipost picha yake kwenye akaunti ya Instagram akiwa hana top kuziba mwili wake sehem ya juu hivyo kumfanya kuwa mtupu picha alizopiga kwenye photoshoot ya jarida la Lui. picha hiyo iliondolewa haraka na uongozi wa mtandao huo na akaunti yake ilifutwa kabisa baada ya muda mfupi...
Baada ya kuonyesha mjengo wake alioupa hadhi ya nyota Tano miezi kadhaa nyuma sasa msanii kutoka Nigeria ambae ametambulika zaidi kwenye ramani ya muziki wa Afrika baada ya Kuachia ngoma yake iliyopewa jina maarufu kama Limpopo K cee ameshea picha za gari lake jipya aina ya Cadillac Escalade 2014 yenye bodi iliyopambwa na dhahabu K cee alishea picha hizo kupitia Akaunti yake ya Instagram ambapo aliandika Caption ya maneno haya “So far this year God has been so good to...
French Montana alizaliwa huko Karim Kharbouch mwaka 1984 ndani ya Rabat, Morocco, rapa huyo wa kimarekani ni mwanzilishi na mmiliki wa Cocaine City Records , lakini mwaka 2012 alisaini mkataba na kampuni za Maybach Music Group and Bad Boy Records, umaarufu wake umekuja zaidi kufuatia kolabo zake na wasanii tofauti ikiwemo Max B, rick rose n.k Kupitia interview aliyoifanya kwenye kipindi cha Sway in the Morning rapa huyo ametangaza kuachia albamu yake ya Mac & Chees hapo December 16 baada...
bosi wa Death Row Suge Knight mwaka wake umezidi kuwa mbaya baada ya kupigwa risasi kwenye part ya MVA iliyoandaliwa na Cris Brown kwenye msimu wa kiangazi siku kadhaa nyuma. Bosi huyo ambae maisha yake kwa muda mrefu yamekuwa yakihusishwa na matukio mbalimbali ikiwemo ya kupigwa risasi hivyo kumpelekea kutumikia vifungo mara kadhaa jela. Suge Knight na Katt Williams walikamatwa kwa kuhisiwa kuiba kamera ya mpiga picha wa kike . tukio hilo lilitokea mwezi September nje ya studio ya Beverly Hills kwa mujibu...
Muigizaji kutoka Nigeria INI EDO ambae hivi karibuni alimake headlines za vyombo mbalimbali vya habari mara baada ya mahusiano yake na bilionea mfanya biashara Philip Ehiangwina kuvunjika na kurudisha mahali, Hatimae Ini Edo ameudhihirishia uma kuwa hajayumba kimaisha. muigizaji huyo mwenye mvuto alianza rasmi kujihusisha na uigizaji mwaka 2000 na kuweza kuonekana kwenye zaidi ya filam 50. Kwa mujibu wa jarida la E247Mag limesema muigizaji huyo ambae pia ni muhitimu wa chuo kikuu ch aCalabar huko Nigeria amenunu mjengo huo kwa...
Kilabu ya watoto walio kati ya umri wa miaka 6 na 12 ilifunguliwa rasmi katika mji wa New York wilaya ya meatpacking nchini Marekani. Mgahawa huo unaomilikiwa na kampuni ya Cirkiz utakuwa ukifunguliwa mara moja kila mwezi kuwapa watoto fursa ya kujivinjari mbali na vifaa vya kiteknolojia vilivyomo majumbani mwao. Laura lampart aliyekuwa ameandamana na mwanawe alisema kuwa kilabu hiyo ina manufaa kwani watoto walijihisi kama watu wazima na hakukuwa na tatizo la kuhofia usalama kwani Mgahawa wenyewe unafunguliwa wakati...
Msanii kutoka pande za Nigeria ambae alipata umaarufu mkubwa Afrika na Dunia kwa ujumla baada ya kuachia wimbo wake wa African Queen na kufanya vizuri kwenye chati za redio na tv kwa kipindi hicho. Lakini huo haukuwa wimbo wa kwanza wa msanii huyo, mashabiki wa Muziki wa Nigeria wanautambua wimbo wa Nfana Ibaga alioufanya miaka kumi iliyopita na kufanya vizuri kwenye tasnia ya muziki wa Nigeria wimbo huo una bahati ya kudumu kwenye masikio ya mashabiki wa 2face. Kufuatia hali hiyo...
Msanii kutoka Nigeria ambae amekuwa nnchini kwa kipindi kisichopungua wiki moja ambapo alikwenda kufnya show pamoja na kushiriki kwenye uaandaaji wa video mpya ya Victoria kimani katika wimbo alioshirikishwa. Taarifa kutoka kwenye chapisho la Standard Digital huko kenya limeeleza kuwa wiz kid alikamatwa katika hoteli ya Nairobi Crown Plaza mwishoni mwa wiki ambapo ndio hoteli aliyofikia. mtandao huo umeeleza ya kuwa mambo yalikwenda mbali zaidi baada ya wafanya kazi hao kutaka kumpeleka polisi msanii huyo kitendo ambacho kilipelekea...