mkali wa r&b kutoka marekani Jason Derulo ambae alikuwa na mahusiano na mwimbaji mwenzake Jordin Sparks.Jason Derulo amethibitisha kuachana kwao kupitia ABC News kwa kusema hakuna ubaya baina yao wala usaliti ama kukwazana. Jason ameongeza kuwa licha ya mahusiano yao kuwa ni maswala binafsi ila anayaweka wazi kuepuka kuvuma kwa taarifa zisizo za kweli kupitia vyao tofauti vya habari, wawili hao ambao wamedumu kwa miaka mitatu mara baada ya kuingia rasmi kwenye mahusiano mwaka 2011 na kuamua kuyaweka wazi mwaka uliofuata 2012. kwa...
Kundi la muziki la Mapacha wawili wa Ki Nigeria P Square kuanzia Alhamisi ya leo na ndani ya masaa 48 wanategemewa kuachia nyimbo tatu mfululizo moja kati ya hizo ikiwa collabo kali ya kimataifa. Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa meneja wa wasanii hao Jude Okoye ambaye pia ni kaka yao wasanii hao wataachia nyimbo hizo kupitia record lebo yao ya Square Music. Wasanii hao ambao wamejijengea sifa kubwa ulimwenguni kote kwa sasa wanatamba na kibao cha “Taste The Money”....
Hi ni baadhi ya Picha ya Matukio katika Tamasha Lilifanyika mwembe...
93.7 E-FM radio Yaanza Rasmi Kurusha Matangazo Yake Toka Station Zake Zilizopo Kwenye Jengo La K-Net Kawe Dar es...
Msanii Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ ameula katika michuano ya Kombe la Dunia 2014 baada ya kupata nafasi ya kuandaa wimbo kwa a jili ya michuano hiyo mikubwa zaidi ya soka duniani. Jaydee anayefahamika pia kama Komandoo au Anaconda, amepata fursa ya kuandaa wimbo maalum wa michuano hiyo ‘FIFA World Cup Anthem’ akishirikiana na wakali wawili David Correy wa Brazil na rapa Octopizzo wa Kenya. Katika wimbo huo, Lady Jaydee na Correy wameimba kwa lugha ya Kiingereza huku Octopizzo ‘akichana’ kwa...