Entertanment

KUMBUKUMBU YA KIFO CHA NOTORIUS B.I.G
Entertanment

Tarehe kama ya leo 9th March mwaka 1997 ikiwa ni siku mbili baada ya kutwaa tuzo katika tukio la Soul Train music Awards Rappa anaeaminika kua ni bora wa muda wote Notorius.B.I.g akiwa anatoka katika Party moja majira ya saa 6 na nusu usiku gari aliyopanda ilisimama katika mataa ndipo ilitokea gari nyingine nyeusi aina ya chevrolet impala ss na dereva wake kushusha kioo na kumimina risasi kuelekea kwenye gari ya biggie ambazo zilimpata na kumjeruhi vibaya na kukimbizwa hospitali...

Like
544
0
Wednesday, 09 March 2016
PICHA: MAPOKEZI YA ELIZABETH MICHAEL (LULU) BAADA YA KUTWAA TUZO AMVC2016
Entertanment

Tanzania iliwakilishwa vyema na Single Mtambalike (Richie) pamoja na Elizabeth Michael (LULU) waliong’aa kwenye usiku wa kilele cha tuzo za Africa Magic Viewers Choice zilizoandaliwa na Multchoice| Dstv . Lulu alitwaa tuzo ya Best Movie East Africa kupitia filam ya Mapenzi ya Mungu wakati Richie akibeba tuzo ya Best Local Language Movie/TV Series (Swahili) kupitia filam ya Kitendawali. Alipowasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa Wa Jk Nyerere Wema Sepetu aliposhuka kwenye gari kwenda kumvisha taji Lulu MKUTANO NA WAANDISHI...

Like
1404
0
Wednesday, 09 March 2016
TAFRIJA YA MWANAMKE WA SHOKA YAELIMISHA WANAWAKE WENGI
Entertanment

Katika kuelekea siku ya wanamke duniani EFM radio yakutanisha wanawake kutoka vikundi mbalimbali vya ujasiliamali na VICOBA kutoka jiji la Dar es Salaam na Pwani katika ukumbi wa litostar park Salasala,  kwa lengo la kuwapa wanawake elimu ya ujasiliamali na kujitambua kama mwanamke, pia kuambiana changamoto tofauti zinazowakabili wanawake katika biashara zao na maisha kwa ujumla. Mgeni rasmi akiwa raisi wa VICOBA mhe.Devotha Likokola. Mgeni rasmi mhe. Devotha Likokola akiongea na wanawake wa vikundi mbalimbali kuwapa    ...

Like
817
0
Monday, 07 March 2016
LULU NA RICHIE WANG’ARA TUZO ZA AMVCA2016
Entertanment

Waigizaji wa filam Kutoka Tanzania Elizabeth Michael (Lulu) na Single Mtambalike Richie wamefanikiwa kubeba tuzo moja moja kwenye kilele cha Africa Magic Viewers Choice awards. Richie ndie alikuwa wa kwanza kuwainua watanzania pale alipotangaza kutwaa tuzo kwenye kipengere cha BEST INDIGENOUS LANGUAGE MOVIE/TV SERIES  – SWAHILI kupitia filam ya KITENDAWILI huku Lulu akinyakuwa tuzo ya Best Movie East Africa kupitia filam ya Mapenzi ya Mungu. Tuzo hizo zilifanyika Nchini Nigria katika jiji la Lagosa na kuwakutanisha mastar mbalimbali kutoka...

Like
628
0
Monday, 07 March 2016
TAMASHA LA MCHIZI WANGU LAFANA JIJINI DAR ES SALAAM
Entertanment

93.7 Efm Radio,kuadhimisha tamasha kubwa la Mchizi wangu lililofanyika siku ya wapendanao tarehe 14/02/2016, likiongozwa na mziki wa mchiriku na singeli. Tamasha hilo lilisheheni Wasani kibao wakitumbuiza huku wakiongozwa na msaga sumu na skide mtoto wa mama shante. Umati wa watu ukisheheni katika tamasha la mchizi wangu concert   Raisi wa singeli Suleiman Jabir a.k.a Msaga Sumu akitumbuiza mashabaki waliofika kwenye tamasha la Mchizi Wangu. Amsha amsha kutoka kwa baadhi ya mashabiki wakionyesha nyuso za furaha wakati wakipata burudani....

Like
552
0
Monday, 15 February 2016
ELITREA: WANAUME WAPEWA AGIZO LA KUOA MKE ZAIDI YA MMOJA, KIFUNGO CHA MAISHA KUWAKABILI WATAKAOPUUZA
Entertanment

Wanaume nchini Elitrea wamepewa amri ya kuoa angalau wake wawili au zaidi kwa kila mwanaume huku adhabu ya kifungo cha maisha jela kutolewa kwa atakaekaidi amri hiyo ya serikali. Kwa mujibu wa serikali agizo hilo limetolewa kufuatia uwepo wa idadi ndogo ya wanaume ikilinganishwa na idadi ya wanawake ikiwa ni matokeo ya vita kati ya taifa hilo na Ethiopia. Serikali nchini humo imewathibitishia raia wake kuwa itagharamia sherehe za harusi na nyumba kwa wanandoa Kwa mujibu wa tovuti ya Afkinsider.com ...

Like
623
0
Wednesday, 27 January 2016
NEW MUSIC: DREAM – NIMESHAZAMA
Entertanment

Baada ya kufnya vizuri na track yake ya kwanza kama  solo artist, Dream ameachia wimbo mpya unaweza kuusikiliza na kuupakua hapa Wimbo umetayarishwa na Abbah katika studio za Vipaji TZ pakua...

Like
582
0
Friday, 08 January 2016
NEW YEAR EVE PARTY YA DRAKE YAWAUNGANISHA LIL WYNE NA BIRDMAN
Entertanment

New Year’s Eve party ya Drake yawaunganisha Lil Wayne na Birdman, Huenda mwaka mpya wa 2016 ukawa ndio mwisho wa beef kati ya wawili hawa. Rais wa Young Money, Mack Maine amefanya kazi kubwa masaa mawili kabla ya party hiyo kuwakutanisha Lil Wayne na Birdman na kuweza kuzungumza jinsi ya kumaliza tofauti zao. Kwa majubu wa chanzo cha karibu na mastar hawa Mack Maine alitumia simu kuwakutanisha na kuzungumza huku wote wawili wakionyesha utayari wa kumaliza tofauti zao lakini Wyne...

Like
390
0
Tuesday, 05 January 2016
DON JAZZY ATANGAZA KUACHA KUIMBA IFIKAPO 2016
Entertanment

Tukiwa ukingoni mwa mwaka 2015 CEO wa Mavin Records, Don Jazzy ametangaza kustaafu kuimba Muziki na kuendelea na shughuli za uandaaji ifikapo mwaka 2016. kupitia ukurasa wake wa twitter star huyu wa Nigeria ametoa kauli hiyo huku akiwaacha wengi kati ya mashabiki wa muziki wake wakiwa katika njia panda kukubali...

Like
259
0
Tuesday, 29 December 2015
RAIS AAGIZA MAPROMOTA WA SHOW YA ENRIQUE IGLESIAS KUSHUSHIWA KICHAPO
Entertanment

Rais wa Sri Lanka Maithripala Sirisena  ametoa ya moyoni kwa kutaka waandaji wa show ya Enrique Iglesias kushushiwa kichapo kizito. Hatua hii ya Rais Sirisena imekuja baada ya warembo waliohudhuria tamasha la mkali huyu wa Muziki kushindwa kuzuia hisia zao na kuanza kumrushia nguo zao za ndani star huyo wakati anatuimbuiza jukwaani na wengine kushusha mabusu ya nguvu.   Rais huyu amesema kwamba hatetei kitendo kilichofanywa na baadhi ya wanawake hao ambao hawana busara kupewa adhabu bali amesisitiza hukumu iende...

Like
297
0
Tuesday, 29 December 2015
MAKAPU YA SIKUKU HAYABEBEKI YALIVYOSHEHENI MAZAGAZAGA
Entertanment

Kituo bora cha radio 2015 E-fm leo kimekabidhi zawadi ya makapu yaliyosheheni bidhaa za vyakula kuelekea sikukuu ya Christmas Zoezi hili liliwataka wasikilizaji wa E-fm kusikiliza mlio wa Jingle Bells uliokuwa ukizunguka kwenye vipindi tofauti kisha kutambua muda ambao mlio huo umesikika, jina la kipindi husika na mtangazaji/watangazaji wa zamu waliokuwa studio muda huo. Akizungumza mara baada ya kukabidhi makapu hayo kwa washindi Meneja wa vipindi E-fm Bwana Dickson Ponela (Big Dad Dizzo) ameeleza kuwa, E-fm imekuwa ikishirikisha wasikilizaji...

Like
622
0
Thursday, 24 December 2015