Wiz Khalifa na Amber Rose wamethibitisha kuwa msimu wa sikukuu huunganisha familia pamoja. Wawili hawa wameweka tofauti zao pembeni na kutoka pamoja mapema jumatano iliyopita ikiwa ni sehemu ya kuonyesha mapenzi kwenye malezi ya motto wao Sebastian huko Loss...
Mtangazaji wa kipindi cha Uhondo Dinna Marios akiwa na wafanyakazi wenzake wa EFM akiitambulisha kanga ya “MAMA ANA UHONDO WAKE MTUNZE UPATE MEMA YAKE” pale Traventine Hotel siku ya uzinduzi wa kipindi cha Uhondo. Vazi la kanga lina heshima yake , baadhi ya wafanyakazi wa EFM na mashabiki wakiwa katika mishono tofauti ya kanga ya uhondo. Kundi la Jahazi Modern Taarabu wakitumbuiza usiku wa tarehe 5-12 katika uzinduzi wa Uhondo. “MAMA ANA UHONDO WAKE MTUNZE...
kuhusu kuandikiwa ngoma na Tunda Matonya: Tunda ni mdogo wangu nimemfundisha muziki Kuhusu ulevi wa kupindukia Matonya: Mimi ni mlevi ila sio wa kutupwa na kwa sasa nimeacha baada ya kusemwa sana na mama yangu pamoja na watu wangu wa karibu. Kuhusu kufulia kimaisha Matonya: Mungu ni mwema Ghorofa moja gari tano maneno ya mtaani acha yapite Kuhusu kulelewa na Jimama: Matonya: anaenilea ni mama yangu mzazi hao wa mjini hawana nafasi kwangu Kuhusu kusafirisha unga nje Ndio sembe napeleka...
254: Wakati Sauti Sol wanajiandaa kushusha albam yao “LIVE AND DIE IN AFRICA” Followers wa mrembo Huddah wamefunguka vikali kwenye ukurasa wa instagram wa mrembo huyu baada ya kuweka post ya kumtakia heri ya kuzaliwa rafiki yake anaetajwa ku jihusisha na mapenzi ya jinsia moja, comment hizo zimemtaka Huddah kufuta post hiyo lakini pia mlengwa wa hiyo post ametakiwa kufuta akaunti yake ya Instagram na kubadilika. Post hiyo ya Huddah inaonyesha dhahiri kuwa yeye binafsi anasapoti kitu kinachofanywa na rafiki...
Muandaaji wa mashindano ya Ubaya nchini Zimbabwe maarufu kama Mr Zimbawe bwana David Machowa amesema kwa mara ya kwanza mshindi wa muda wote wa mashindano hayo bwana William Masvinu anatarajiwa kukutana na upinzani mkali kufuatia kuongezeka kwa idadi ya washiriki. Tangu mwaka 2012 Masvinu amekuwa akitwaa taji hilo ambapo idadi ya washiriki walikuwa watano na alifanikiwa kubeba $100 na nafasi ya kulala katika moja ya hoteli za Harare akiwa amelipiwa kila kitu. Waandaji wa mashindano hayo wameongeza kitita cha fedha...
Rdj Con Rdj Manz Rdj Skit Rdj...
SHANGWE za muziki mnene wa 93.7 EFM bado zinaendele.Ijumaa iliyopita ilikuwa zamu ya wakazi wa Tegeta . Burudani ya aina yake ikiongozwa na timu nzima ya EFM ilishushwa ndani ya kimori high way park Tegeta , huku wakazi wa Tegeta wakikutana ana kwa ana na watangazaji na RDJ’s wa 93.7EFM. Burudani ilianza na kabumbu kati ya EFM na Boko beach veteran katika uwanja wa boko beach ambapo EFM waliibuka na ushindi mabao matatu huku Boko beach veteran wakiambulia sifuri. Muziki...
Vanessa ameshinda tuzo ya Best Female East Africa kwenye Tuzo za AFRIMMA Unaweza kuitazama video ya wimbo mpya wake mpya...
Video ya wimbo wa Wiz Khalifa na Charile Puth “SEE YOU AGAIN” yafikisha watazamaji zaidi ya bilioni moja. Video hii si ya kwanza miongoni mwa video za muziki kufika kwenye kelele cha kuwa na watazamaji wengi ila muda uliotumika kufikisha kiwango cha idadi hiyo ni mchache zaidi ikilinganiswa na video nyingine. Puth alitweet kwenye akaunti yake ya twitter akitoa taarifa kuwa track hiyo ambayo ni Official soundtrack ya Fast and furious 7 imeingia rasmi kwenye top ten ya music video...
Hizi ni picha za mjengo mpya wa Jay Z na Beyoncé Mjengo huo unapatikana Holmby Hills, kwenye jimbo la California nchini Marekani Wawili hao wametoa kitita cha dola milioni 45 za kimarekani ambayo ni sawa na $150k za malipo ya kukodi mjengo huo kwa mwezi. Kwenye mkataba uliosainiwa na wawili hawa utawafanya waishi kwenye mjengo huo kwa mwaka...