Local News

SERIKALI YAANZA KUTOA ELIMU KWA MAKONDA NA MADEREVA WANAOSAFIRISHA KEMIKALI
Local News

KATIKA kupunguza Madhara  ya Kemikali kwa wananchi, Serikali kupitia Wakala wa Mkemia Mkuu wameanza utoaji wa elimu kwa Madereva na Makondakta wa Magari ya usafirishaji wa bidhaa hizo ndani na je ya nchi. Akizungumza na Waandishi wa Habari leo jijini Dar es salaam Msimamizi wa Mifumo ya Ubora na Utafiti wa Kemikali katika Wakala wa Mkemia Mkuu wa Serikali BEN  MALYA, amesema kumekuwa na uelewa mdogo kwa Madereva na Makondakta juu namna ya kuepusha madhara ya kemikali pale ambapo magari...

Like
218
0
Thursday, 26 March 2015
WANAWAKE TARIME WADAI KULINDA MILA ZA MABABU RICHA YA KUTAMBUA MADHARA YA KUKEKETWA
Local News

WANAWAKE Wilayani Tarime Mkoani Mara,wamesema wamekuwa wakikubali kukeketwa kwa sababu ya kutimiza Mila za Mababu zao,ingawa wanatambua kuwa,vitendo hivyo vina madhara makubwa. Pia,Wamesema kuwa huogopa kutengwa na familia na jamii inayowazunguka,ikiwa hawatakeketwa. Kauli hiyo imetolewa na TEREZIA MALERO ambaye ni mkazi wa Kijiji cha Nyamohanda Kata ya Mwema,wakati wa Mkutano wa Hadhara ulioandaliwa na Jukwaa la Utuwa Mtoto-CDF,kwa lengo la kuwajengea uwezo Wananchi,hususani, maeneo ya Vijijini,madhara ya Ukeketaji na Ndoa za...

Like
257
0
Thursday, 26 March 2015
WAANDISHI WA HABARI NCHINI WAMETAKIWA KUJIENDLEZA KIELIMU
Local News

WAANDISHI wa Habari nchini wametakiwa kujiendeleza Kielimu ili kukuza wigo wa Taaluma yao. Rai hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Idara ya habari Maelezo,ASSAH MWAMBENE ,wakati akizungumza na Waandishi wa Habari kutoka Vyombo mbalimbali vya Habari, kwenye mafunzo ya siku Tano,kuhusu Matumizi ya Mitandao chini ya Ufadhili wa Mfuko wa Vyombo vya Habari Tanzania-TMF. MWAMBENE amewataka Waandishi hao kuhakikisha wanajiendeleza Kielimu ili kukuza uwezo wao wa kazi.  ...

Like
227
0
Thursday, 26 March 2015
KAMBI RASMI YA UPINZANI KUISHAURI SERIKALI KUWASILISHA MISWADA KWA MFUMO WA KAWAIDA
Local News

KAMBI Rasmi ya Upinzani imesema  italifanyia kazi ombi lililowasilishwa na wadau mbalimbali, kuitaka Kambi hiyo,kuishauri Serikali kuwasilisha Miswada kwa mfumo wa kawaida na Si kwa hati ya dharura. Kauli hiyo imekuja Siku moja baada ya wadau,kuomba Serikali ishauriwe kuwasilisha Muswada wa Huduma za Vyombo vya Habari na Muswada wa Haki ya Kupata Taarifa ya mwaka 2015,chini ya mfumo wa kawaida. Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya Habari jijini Dar es salaam,na Mbunge wa jimbo la Ubungo,JOHN MNYIKA kwa niaba ya Kiongozi...

Like
189
0
Thursday, 26 March 2015
BUNGE LAPITISHA MUSWADA WA SHERIA WA TUME YA KUDHIBITI UKIMWI NCHINI MWAKA 2014
Local News

BUNGE limepitisha Muswada wa  sheria wa Tume ya kudhibiti Ukimwi nchini wa mwaka 2014 wenye lengo la kuleta matokeo chanya ya shughuli za kudhibiti Ukimwi katika maeneo mbalimbali ya nchi.   Awali akiwasilisha rasmi muswada huo leo Bungeni mjini Dodoma Waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu sera, uratibu na Bunge mheshimiwa JENISTA MHAGAMA amesema kuwa muswada huo utaimarisha kwa kiasi kikubwa mikakati ya serikali katika kutatua tatizo la maambukizi ya Ukimwi.   Waziri MHAGAMA amesema kuwa katika kuhakikisha mikakati...

Like
288
0
Wednesday, 25 March 2015
MKUTANO WA MARAIS WATANO WA KANDA YA AFRIKA MASHARIKI WAANZA LEO
Local News

MARAIS kutoka  nchi 5 za ukanda wa Afrika Mashariki wameanza mkutano wao leo wa uwekezaji (Round Table Investment Forum) unaofanyika  jijini Dar es salaam kwa siku mbili leo na kesho March 26. Kabla ya kuaondoka nchini  Tanzania kesho, Marais hao pia watatembelea miundombinu ya reli inayotumika kusafirisha mizigo nchi za maziwa makuu kwa lengo la kuimarisha ushirikiano katika usafirishaji wa bidhaa mbalimbali baina ya nchi zao. Marais hao ni pamoja na Paul Kagame wa Rwanda, Pierre Nkurunzinza wa Burundi, Yoweri...

Like
329
0
Wednesday, 25 March 2015
TGNP YAENDELEZA HARAKATI ZA KUDAI KATIBA MPYA YENYE KUZINGATIA MRENGO WA KIJINSIA
Local News

MTANDAO wa Jinsia Tanzania-TGNP umesema kuwa, utaendeleza harakati za kuhakikisha kwamba, Wanawake wanatoa sauti ya pamoja katika kudai Katiba mpya inayozingatia mrengo wa Kijinsia. Akizungumza na EFM Mkurugenzi wa TGNP, LILIAN LIUNDI amesema , Wanawake wanatambua kuwa Katiba inayozingatia mrengo wa Kijinsia ni ile inayotokana na mchakato ulioshirikisha Sauti za Wanawake na Wanaume, na iliyoweka bayana makubaliano na Msingi Mkuu unaoongoza Tanzania. Amesema kuwa kama Katiba itakua imejengewa msingi wa Usawa, Utu na Heshima ya Mwanamke na...

Like
308
0
Wednesday, 25 March 2015
MABADILIKO YA HALI YA HEWA YAATHIRI UCHUMI
Local News

KUENDELEA kuongezeka kwa matukio ya mabadiliko ya hali ya hewa,kumeathiri sekta ya kiuchumi,ikiwemo Kilimo na Ufugaji. Hivi karibuni maeneo ya Kanda ya Ziwa Victoria,hususan Wilaya ya Kahama,kumeshuhudiwa matukio hayo ya kupotea kwa mifugo na uharibifu wa mazao. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa-TMA,Dokta AGNES KIJAZI,amesema kuwa,ili kukabiliana na matukio hayo kuna haja ya kuwepo kwa mfumo thabiti wa kutoa taarifa mapema....

Like
195
0
Wednesday, 25 March 2015
SPIKA WA BUNGE AWATAKA WABUNGE KUACHA USHABIKI WA VYAMA
Local News

SPIKA wa Bunge wa ANNE MAKINDA,amewataka Wabunge kuwa makini na kuacha ushabiki wa Vyama, wakati wa kuchangia masuala muhimu ya kutunga Sheria. Amewataka kuwasilisha maombi ya mapendekezo ya kurekebisha sheria kwa kujikita kwenye mambo yenye manufaa kwa Taifa. Spika ANNE, ameeleza hayo Bungeni,ambapo amesema hayupo tayari kupokea mapendekezo ya Marekebisho ya Muswada yaliyokiuka...

Like
243
0
Wednesday, 25 March 2015
JAMII YA WAFUGAJI PWANI YAOMBA KUTENGEWA MAENEO KUEPUSHA MOGOGORO
Local News

JAMII ya Wafugaji katika kijiji cha Mindukeni Kata ya Talawanda Jimbo la Chalinze Wilayani Bagamoyo mkoani Pwani,wameomba kutengewa maeneo yao ili kuepusha migogoro inayojitokeza baina yao na Wakulima ikiwemo kujeruhiwa na Kuuwawa. Ukosefu mpango wa matumizi bora ya ardhi, umesababisha kundi hilo la wafugaji kutengwa kushiriki kwenye shughuli za Kimaendeleo ndani ya  vijiji vyao. Jamii hiyo ya Wafugaji wamefikisha kilio chao,mbele ya Mbunge wa jimbo hilo RIDHIWANI KIKWETE wakati akiwa kwenye ziara yake katika Kata ya...

Like
231
0
Tuesday, 24 March 2015
BANGI YACHANGIA ONGEZEKO LA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA NCHINI
Local News

IMEBAINISHWA kuwa mojawapo ya masuala yanayochangia kwa kiasi kikubwa ongezeko la Matumizi ya dawa za kulevya nchini, ni uwepo wa shughuli za Kilimo cha Mazao ya aina mbalimbali za Dawa hizo ikiwemo Bangi katika baadhi ya maeneo ya nchi. Hayo yamesemwa leo Bungeni mjini Dodoma na Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge Mheshimiwa JENISTER MHAGAMA, wakati akiwasilisha kwa mara ya Pili Muswada wa Sheria ya Udhibiti wa Dawa za kulevya wa mwaka 2014, ambapo ameitaja...

Like
229
0
Tuesday, 24 March 2015