Local News

Serikali haijasema mradi wa Bandari ya Bagamoyo ni hatari
Local News

Mkurugenzi na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas amesema kuwa Serikali inaendelea na majadiliano kuhusu kuendelea na ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo Mkoani Pwani ili kuona kama inaweza kuwa na tija kiuchumi kwa upande wa Tanzania. Amesema kuwa Serikali ina uwezo wa kujenga bandari nyingi na kwa kuwa Tanzania ina ukanda mkubwa wa ufukwe wa bahari na kwamba bado majadiliano yenye tija kwa Taifa yanaendelea kufanywa baina ya Serikali ya Tanzania na wawekezaji wa mradi huo. “Serikali haijasema kuwa...

Like
756
0
Friday, 17 May 2019
Mnyeti awaonya wanasiasa, ‘Nitawashughulikia ipasavyo’
Local News

Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Alexander Mnyeti amewashukia vikali wanasiasa nane wa Kata ya Kitwai Wilayani Simanjiro wanaorudisha nyuma maendeleo kwa kukataza wanafunzi wasisome kwenye madarasa ya shule ya msingi Kitwai B yaliyojengwa na mdau wa maendeleo hivyo kuyasusia.   Ametoa onyo hilo mkoani humo wakati akizindua madarasa matatu mapya ya shule hiyo, ambapo amesema kuwa wanasiasa hao atawachukulia hatua kali wanaoshawishi wananchi kususia maendeleo.   Amesema kuwa hatakubali kuona watu wachache wanaopinga maendeleo, hivyo serikali itamuunga...

Like
605
0
Thursday, 25 April 2019
Maambukizi ya Ukimwi yapungua nchini
Local News

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu, Ajira, Kazi, Vijana na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama amesema kuwa utafiti wa viashiria na matokeo ya Ukimwi wa mwaka 2016/17 unaonyesha kwamba kiwango cha maambukizi ya VVU yamepungua kwa asilimia moja kutoka asilimia 5.1 mwaka  2011/2012 mpaka asilimia 5.0 kwa mwaka 2016/17. Waziri Mhagama amesema hayo wakati akizindua utafiti huo ambapo ameeleza kuwa unaonyesha kwamba kiwango cha maambukizi ya VVU kwa watu wenye umri wa miaka 15-64 umepungua kwa asilimia moja...

Like
658
0
Monday, 15 April 2019
uongozi wa klabu ya Yanga waachia ngazi
Local News

Aliyekuwa Kaimu Mwenyekiti wa Yanga Samwel Lukumay na aliyekuwa mjumbe wa kamati ya utendaji, akishikilia nyadhifa za Mwenyekiti wa Kamati ya mashindano na Mwenyekiti wa Kamati ya usajili, Hussein Nyika, wamejiuzulu nafasi zao leo Machi 27, 2019. Nyika na Lukumay wametangaza hilo, kwenye makao makuu ya klabu hiyo ambapo wamesema kuwa wamefanya hivyo ili kupisha uchaguzi utaowezesha klabu hiyo kupata viongozi wapya. Aidha, viongozi hao ndio waliokuwa wamebaki kwenye uongozi wa Yanga ambao uliingia madarakani mwaka 2016 baada ya wengine...

Like
1136
0
Wednesday, 27 March 2019
Afariki dunia kwa kuchomwa mkuki mbavuni
Local News

Mzee mmoja aliyetambulika kwa jina la Visu Urembo (80) amefariki dunia baada ya kuchomwa mkuki sehemu ya ubavuni mwa mwili wake, katika mgogoro wa wakulima na wafugaji uliotokea Lukenge, Tarafa ya Ruvu, Kibaha Vijijini mkoani Pwani.   Kamanda wa Polisi mkoa wa Pwani, ACP Wankyo Nyigesa amethibitisha kutokea kwa tukio hilo, ambapo amesema tukio hilo limetokea machi 26 mwaka huu baada ya kutokea tafrani kati ya wakulima na wafugaji.   Amesema kuwa mzee Urembo kabla ya kufikwa na umauti alikimbizwa...

Like
807
0
Wednesday, 27 March 2019
Utepe mweupe watoa ujumbe kwa jamii
Local News

Wadau wa sekta ya Afya wameazimisha siku ya Muungano wa Utepe mweupe wa uzazi salama katika mkoa wa Kagera kwa kuhimiza jamii kuzuia ukatili wa kijinsia kwa wanawake na wasichana Maazimisho hayo yamefanyika katika Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera yakiwa na kauli mbiu ‘komesha  unyanyasaji kwa wanawake na wasichana, okoa maisha wakati wa uzazi’. Meneja Mawasiliano wa Muungano wa Utepe mweupe wa uzazi salama, Anna sawaki amesema kuwa lengo la kufanya maazimisho ni kuweza kupunguza vifo kwa wanawake wakati wa...

Like
729
0
Monday, 18 March 2019
Wajasiliamali watakiwa kuwa wabahili
Local News

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Joachim Wangabo amewataka wajasiliamali wa Wilaya ya Nkasi kuhakikisha fedha za mkopo walizopewa na halmashauri hawazitumii katika matumizi binafsi bali wazielekeze katika biashara ili ziweze kuwapatia faida na kuwainua kiuchumi na hatimae kupata fedha za kujikimu kimaisha. Ameyasema hayo alipokuwa akikabidhi mikopo yenye thamani ya shilingi milioni 53 ikiwa ni asilimia 10 ya fedha za mapato ya ndani ya halmashauri kwa vikundi 15 vya halmashauri ya wilaya ya Nkasi ikiwa ni utekelezaji wa kisheria chini...

Like
620
0
Tuesday, 05 March 2019
Makamba amwaga wino mzito kuhusu Ruge, ‘msiri wako’
Local News

Wakati Tanzania ikiwa kwenye majonzi ya kuondokewa na mdau mkubwa wa tasnia ya burudani na habari, Ruge Mutahaba, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Januari Makamba amemuandikia barua yenye mguso wa moyo ambayo imesambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii. Makamba ambaye alikuwa rafiki wa karibu wa Mkurugenzi huyo wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, ameeleza mengi kuhusu ukaribu wao, mipango yao na usiri waliokuwa wakiushea pamoja. “Ndugu yangu Ruge, najua ndio umewasili...

Like
779
0
Thursday, 28 February 2019
Serikali yakerwa na vitendo vya mauaji na unyang’anyi mipakani
Local News

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameviagiza vyombo vya ulinzi na usalama kuongeza ulinzi na doria katika maeneo ya mipaka kutokana na ongezeko la vitendo vya mauaji, unyang’anyi wa kutumia silaha na vitisho kwa wananchi. Ametoa agizo hilo alipokuwa akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa wilayani Kibondo wakati akihitimisha ziara yake mkoani Kigoma. Pia, Waziri Mkuu ameagiza wakimbizi wote watakaobainika kutoroka kwenye makambi wanayohifadhiwa na kuingia uraiani wakamatwe na wachukuliwe hatua kwa...

Like
696
0
Wednesday, 20 February 2019
Meneja afia kwenye kiti akizungumza na waandishi wa habari
Local News

Meneja wa Wakala wa Huduma za Misitu, Glory Mziray amefariki dunia jana majira ya mchana akiwa ofisini kwake jengo la Mpingo wakati akifanya mkutano na waandishi wa habari juu ya kupandishwa hadhi kwa misitu 7. Meneja huyo alishikwa na umauti wakati akijibu maswali ya waandishi wa habari yaliyotokana na kile alichokuwa akiwasilisha. Hapa ndipo ule msemo usemao hakuna ajuaye siku wala saa unavyotimia kwa meneja huyu kijana, ambaye dakika chache zilizopita hakuwa mgonjwa wala hakuonesha kupata shida yeyote kwani alijiandaa...

1
871
0
Wednesday, 20 February 2019
Wananchi Njombe waipigia magoti Serikali, ‘Tusaidieni Jamani’
Local News

Wananchi takribani 285 wa Kijiji cha Utelingolo halmashari ya wa Mji wa Njombe mkoani humo wamesema kuwa hali ya uchumi itashuka kijijini hapo kwa sababu wamekuwa wakitumia muda mwingi kupeleka na kurudisha watoto shule badala ya kufanya shughuli za kuwapatia kipato.   Hali hiyo imepelekea serikali ya kijiji hicho kuweka utaratibu wa kuwa na daftari maalumu la kusaini pindi unapopeleka na kuchukua mtoto katika shule husika wanayo soma.   ‘’Sisi wanawake ndo tunateseka, kama mimi nina watoto watatu wanasoma madarasa...

Like
561
0
Friday, 08 February 2019