Local News

DK SLAA ATANGAZA RASMI KUACHANA NA SIASA
Local News

ALIYEKUWA katibu mkuu wa chama cha Demokrasia na maendeleo –CHADEMA- Dokta WILBROAD SLAA ametangaza rasmi kuachana na siasa isipokuwa ataendelea kuwa mtumishi wa kawaida kwa watanzania.   Dokta Slaa ameyasema hayo leo Jijini Dar es salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari juu ya azma yake ya kujihusisha na masuala ya kisiasa nchini kwa kipindi cha maisha yake.   Aidha katika mkutano wake na waandishi wa habari amesema kuwa hata kama hatojihusisha na siasa na chama chochote cha siasa atahakikisha...

Like
265
0
Tuesday, 01 September 2015
WANANCHI WAMETAKIWA KUWA MAKINI NA KUZINGATIA MATUMIZI SALAMA YA MITANDAO
Local News

IKIWA Zimebaki saa chache  kuanza kutumika kwa sheria ya makosa ya mitandao na miamala ya kielektroniki, Watanzania Nchini wametakiwa kuwa makini na Kuzingatia matumizi salama na sahihi ya mitandao ili kujiepusha na adhabu zitakazo tolewa kwa yeyote atakaye kiuka sheria hiyo Akizungumza na waandishi wa habari leo, jijini Dar es salaam, Waziri wa Mawasiliano ya Sayansi na Technolojia PROFESA MAKAME MBARAWA amesema  kuwa Sheria hiyo itasaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza na hatimaye kuondoa kabisa matumizi mabaya ya mitandao na kwamba...

Like
194
0
Monday, 31 August 2015
RAIS KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI KWENYE UJENZI WA MAKAO MAKUU YA ULINZI WA TAIFA
Local News

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo asubuhi, ameweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa  eneo la Makongo Juu, Kambi ya Jeshi ya Lugalo, Dar es Salaam. Akizungumza katika Ujenzi huo wa Makao Makuu ya Ulinzi ambao dhana yake ni ya siku nyingi utagharimu kiasi cha dola za Marekani milioni 55 na utachukua miaka miwili kukamilika, Rais Kikwete amesema kuwa amefurahi kuona ndoto ya miaka...

Like
590
0
Monday, 31 August 2015
NEC KUWEKA WAZI DAFTARI LA AWALI LA WAPIGA KURA UNGUJA NA PEEMBA
Local News

TUME ya Taifa ya Uchaguzi inatarajia kuweka Wazi Daftari la Awali la Wapiga Kura katika Mikoa yote ya Unguja na Pemba kuanzia Septemba 3 hadi hadi 7 mwaka huu ili Umma uweze kupata nafasi ya kulikagua Daftari hilo na kutoa taarifa za kufanyiwa marekebisho pale inapostahili.   Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Tume hiyo nchini imesema kuwa Daftari hilo litawekwa wazi katika Ofisi za Shehia zilizopo Unguja na Pemba kisiwani Zanzibar.   Wakati wa uhakiki Mpiga kura anaweza kuhakiki...

Like
226
0
Monday, 31 August 2015
RAIS KIKWETE ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA KANALI MSTAAFU AYUBU SHOMARI
Local News

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi kuombeleza kifo cha mwanasiasa mkongwe na aliyekuwa mbunge wa muda mrefu wa Jimbo la Mafia, Mkoa wa Pwani, Kanali mstaafu Ayubu Shomari Mohamed Kimbau aliyeaga dunia jana katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Jijini Dar es Salaam.   Katika salamu zake kwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani Engeneer Evarist Ndikilo, Rais Kikwete ameeleza kusikitishwa kwake na taarifa za kifo cha Mzee Kimbau ambaye kwa miaka...

Like
287
0
Monday, 31 August 2015
WAZAZI WASHAURIWA KUWAWEKEA WATOTO BIMA ZA ELIMU
Local News

WAZAZI nchini wameshauriwa kujenga utamaduni wa kuwawekea watoto wao bima za elimu ili ziweze kuwasaidia kutimiza ndoto zao badala yakusoma  huku wakiwa na wasiwasi wa karo na kufukuzwa shule. Wito huo umetolewa leo na  Afisa mipango fedha  kutoka  kampuni  ya Alliance life Assurance ambayo inayojishughulisha na masuala ya bima ya maisha na elimu, ANNY MUSHI ambaye amesema kuwa endapo familia zitakuwa na mwamko wakuwekea watoto wao bima ya elimu kuna uwezekano mkubwa familia nyingi zikamudu gharama za elimu...

Like
201
0
Friday, 28 August 2015
JAMII YATAKIWA KUZINGATIA USAFI KUEPUKA KIPINDUPINDU
Local News

JAMII imetakiwa kuzingatia usafi wa mwili, chakula na mazingira yanayowazunguka kwa kuwa hali ya usafi jijini Dar es salaam na mikoa jirani sio ya kuridhisha kufuatia mlipuko wa Kipindupindu kuendelea kusambaa kwa kasi ambapo hadi sasa idadi ya Wagonjwa waliopokelewa vituoni imefikia 385 huku Mkoa wa Pwani ukiripotiwa kuwa na wagonjwa saba na kifo cha Mtu mmoja. Hayo yamesemwa leo jijjini Dar es salaam wakati wa makabidhiano ya msaada wa nyenzo za ziada za box 1,000 ya dawa za waterguard...

Like
204
0
Friday, 28 August 2015
RIPOTI YA MWISHO YA NDEGE YA MALAYSIA MH17 KUTOLEWA OCTOBA
Local News

WACHUNGUZI wa Uholanzi wamesema ripoti ya mwisho kuhusu kuangushwa kwa ndege ya Malaysia MH17 katika anga ya mashariki mwa Ukraine mwaka uliyopita itatolewa Oktoba 13. Bodi ya usalama ya Uholanzi imesema katika taarifa kuwa iliwafahamisha ndugu wa wahanga na wawakilishi walioruhusiwa kwenye uchunguzi wa chanzo cha kuanguka kwa ndege hiyo, juu ya tarehe ya kutolewa kwa ripoti hiyo. Bodi hiyo imesema kabla ya kutolewa rasmi kwa ripoti hiyo, ndugu wa wahanga watafamishwa kuhusu ugunduzi wa uchunguzi huo katika mkutano wa...

Like
195
0
Friday, 28 August 2015
SOKO LA SAMAKI LAPANDA
Local News

soko la samaki kwa sasa limepanda kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa hali inayochangia kuuzika kwa bei ya juu tofauti na miezi iliyopita. Akizungumza na Efm makamu mwenyekiti  umoja wa wauza samaki -UASADA  katika soko la samaki feli Bwana CHARLES  MUSSA amesema kuwa mbali na mabadiliko ya hali ya hewa kuchangia kupatikana kwa samaki hao lakini pia hali hiyo inasababishwa  na uhaba wa vifaa vya kuvulia. MUSSA  amebainisha kuwa kutokana na kutopatikana kwa wingi samaki hapa nchini,  wanalazimika kuagiza...

Like
341
0
Friday, 28 August 2015
WANANCHI DAR KUTOWAFUMBIA MACHO VIONGOZI WALAGHAI
Local News

WAKAZI wa jiji la Dar es Salaam wamesema hivi sasa wanahitaji mabadiliko kutoka kwa viongozi wanaotarajia kuingia madarakani ili jamii iweze kuwaamini. Wakizungumza na EFM katika nyakati tofauti wananchi hao wamesema hawatawafumbia macho viongozi wanaodiriki kuwalaghai wananchi kwa  kuwapa fedha na vitu mbalimbali kwa lengo la kuwachagua na kuwaomba watu wote kuwa makini na kumpata kiongozi bora na mwadilifu. Aidha wamesema hali ngumu ya maisha ndio inayopelekea wananchi kujiingiza katika  kupokea pesa na vitu mbalimbali vya ushawishi ili...

Like
266
0
Friday, 28 August 2015
SERIKALI KUPOKEA AJIRA KWA NJIA YA MTANDAO
Local News

SERIKALI kupitia Sekretarieti ya ajira  utumishi wa umma imeanza kutumia mfumo wa kupokea maombi ya kazi kupitia njia ya mtandao unaotambulika kwa jina la POTO ili kuwapa urahisi waombaji wa kazi katika nafasi mbalimbali. Akizungumza na EFM Jijini Dar es Salaam Afisa habari wa sekretarieti ya ajira kwa utumishi wa umma Kassim Nyaki amesema mfumo huo wa kimtandao ndio njia rahisi ambayo inatumika kutoa matangazo ya nafasi za kazi...

1
597
0
Thursday, 27 August 2015