Local News

NHIF YAINGIA MKATABA NA JWTZ
Local News

MFUKO wa Taifa  wa Bima ya Afya –NHIF, umeingia mkataba na Jeshi la Wananchi wa Tanzania –JWTZ, ambapo wanachama wa mfuko huo na wategemezi wao watapata huduma za matibabu katika hospitali  za jeshi nchini kote. Mkataba huo wa miaka mitatu unalenga kupanua wigo wa vituo vya matibabu na kuanzisha ushirikiano wa kihistoria baina ya pande hizo mbili. Akizungumza wakati wa kutiliana saini mkataba huo, Mkuu wa Huduma za Afya Jeshini Brigedia DENIS RAPHAEL JANGA, amesema amepokea kwa furaha mkataba huo...

Like
639
0
Tuesday, 18 August 2015
TRACY MORGAN KUTANGAZA SNL
Local News

Muigizaji Tracy Morgan amerejea kazini, atakuwa akitangaza moja kati ya show za kwanza katika kipindi cha Saturday Night Live. Kituo cha NBC kimetangaza mastar wa kwanza watakaoongoza kipindi hiki ambao ni Miley Cyrus, Amy Schumer, and Tracy. Kupitia akaunti yake ya Twitter ametweet akionyesha kuwa mwenye furaha na imara kabisa kiafya akiwa tayari kushiriki kwenye SNL Tracy amekuwa kimya kwa muda baada ya kupata ajali ya gari mwaka mmoja...

Like
196
0
Tuesday, 18 August 2015
SIMBACHAWENE AKABIDHI NYARAKA ZA UFADHILI KWA WATANZANIA 22 KUSOMA MAFUTA, GESI CHINA
Local News

WAZIRI wa Nishati na madini Mheshimiwa George Simbachawene, amewataka Wanafunzi 22 wanaokwenda nchi ya Jamhuri ya Watu wa China kusomea maswala ya Mafuta na Gesi, chini ya ufadhili wa nchi hiyo, kuzingatia masomo watakayopata huko ili waweze kuwa na chachu ya kutatua changamoto mbalimbali zinazoikabili Tanzania katika sekta ya nishati.   Ufadhili huo ni ufadhili wa tatu nchini kufuatia kuanza kwa ufadhili huo mwaka 2013, ambapo awamu ya kwanza walipelekwa wanafunzi nane, mwaka 2014 wanafunzi 10 na mwaka huu wanafunzi...

Like
262
0
Monday, 17 August 2015
VIJANA WATAJWA KUWA CHACHU YA MAENDELEO KWA TAIFA
Local News

IMEELEZWA kuwa Taifa linaweza kuwa na mfumo mzuri zaidi endapo litahakikisha kuwa Vijana wanauwezo wa kuajiriwa, kujiajiri au kuwa na ufundi wa kufanya mambo yao wenyewe na sio wawe wanasoma tu na kupata vyeti ambavyo wanashindwa kufanya navyo kitu chochote.   Hayo yamesemwa leo jijini Dar es salaam na Katibu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue wakati wa ufunguzi wa warsha ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi iliyoshirikisha wadau mbalimbali wa Elimu na Taasisi binafsi kwa lengo kuunda mkakati wa...

Like
188
0
Monday, 17 August 2015
UKAWA KUWEKA HADHARANI MGAWANYO WA MAJIMBO LEO
Local News

UMOJA wa Katiba ya wananchi-UKAWA leo unatarajiwa kuweka hadharani mgawanyo wa majimbo ya kugombea katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu. Tayari Umoja huo umeshamsimamisha Mgombea wa Kiti cha Lowasa kuwa ni Edward Lowasa na kabla ya kumsimamisha tayari Viongozi wakuu wa Ukawa walishathibitisha kwamba walifikia makubaliano kwa zaidi ya asilimia 95 kuhusu mgawanyo wa viti vya Ubunge na kwamba mazungumzo zaidi yalikuwa yanaendelea kuhusu majimbo...

Like
360
0
Monday, 17 August 2015
MTOTO AFANYIWA UKATILI WA KUTISHA RORYA
Local News

MTOTO wa kiume mwenye umri wa miezi saba amekatwa sehemu zake za siri na bibi yake wa kambo.   Inaelezwa kuwa Mtoto huyo amefanyiwa ukatili huo nyumbani kwao Nyamaguku wilayani rorya wakati mama yake akiwa ameenda kutafuta kuni na tayari amepelekwa katika Hospital ya Bugando Mkoani Mwanza kwa ajili ya matibabu.   Mama wa mtoto huyo Rehema Marwa amesema wakati tukio hilo linatokea hakuwepo nyumbani, aliporejea ndipo alipopata taarifa kuwa mtoto wake amekatwa sehemu za...

Like
508
0
Monday, 17 August 2015
TRA YAANDAA SEMINA NA WADAU WA MICHEZO
Local News

KUFUATIA Serikali kupitisha sheria ya kodi ya ongezeko la thamani ya Mwaka 2014 iliyoanza kutumika rasmi Julai Mosi Mwaka huu, Mamlaka ya Mapato Tanzania-TRA imeandaa semina na wadau mbalimbali wa Michezo kujadili utekelezaji wa kodi hiyo katika sekta ya michezo kwa kuwa Sekta hiyo inamchango mkubwa wa mapato ya Serikali endapo itatumika vizuri. Semina hiyo ya siku moja imewashirikisha TFF na Wadau mbalimbali wa Michezo kwa lengo la kutoa mafunzo maalum juu ya sheria mpya ya kodi ya ongezeko la...

Like
197
0
Friday, 14 August 2015
JWTZ YAKANUSHA KUWATAKA MAAFISA NA ASKARI KUWASILISHA KADI ZAO ZA KUPIGIA KURA NA KUCHUKUA NAMBA ZA KADI HIZO
Local News

JESHI  la Ulinzi  la Wananchi wa Tanzania  JWTZ  limekanusha taarifa zinazo sambaa kwenye Mitandao na vyombo vya habari kuhusu Jeshi hilo kuwataka Maafisa na Askari  kuwasilisha   kadi zao za kupiga kura na kuchukua namba za kadi hizo. Akizungumza na  waandishi wa habari Mkurugenzi wa Habari na Mahusiano kwa Umma wa JWTZ  KANALI NGEMELA LUBINGA amesema kuwa habari hizo ambazo zilisemwa na aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Ubungo  kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA JOHN MNYIKA na kusambaa katika vyombo...

Like
398
0
Friday, 14 August 2015
WANANCHI ZANZIBAR WAMETAKIWA KUFUATA TARATIBU ZA UTUNZAJI WA MAZINGIRA
Local News

WANANCHI Visiwani Zanzibar wametakiwa kufuata utaratibu wa kukata miti, ili kuepukana na uharibifu wa mazingira.   Mkuu wa wilaya ya Magharibi ‘B’ Unguja  Ayoub Muhammed amesema wilaya ya Magharibi imekuwa na kasi ya kukatwa miti kiholela hali ambayo inachangia uharibifu wa mazingira.   Amefahamisha kuwa baadhi ya wananchi wamekuwa na visingizio vya kuwa wajasiriamali na kwamba wanalazimika kukata miti jambo ambalo ni kinyume na...

Like
262
0
Friday, 14 August 2015
UKAWA YAAHIDI KUTATUA MIGOGORO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI
Local News

CHAMA  cha wananchi- CUF Mkoa wa Morogoro  kimesema kikipata ridhaa ya wananchi kupitia ukawa kitahakikisha kinasimamia migogoro ya wakulima na wafugaji kwa kuweka  bayana mipaka ya vijiji vya wakulima na wafugaji ili kuondoa malalamiko ya muingilano wa shughuli za kilimo na ufugaji. Akizungumza  kwenye mkutano wa hadhara muda mfupi baada ya kuchukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la kilosa  kupitia ukawa mwenyekiti wa chama cha wananchi cuf wilaya ya morogoro mjini Abedi Mlapakolo ameeleza idadi kubwa ya wakulima na wafugaji...

Like
265
0
Friday, 14 August 2015
BWANA E AKIGAWA ZAWADI KWA WAPENZI NA MASHABIKI WA EFM KIBAHA
Entertanment

Tukipata picha na mashabiki wa EFM maeneo ya Kibaha kuwashukuru na kuwatunza kuwapa zawadi kwa kutusikiliza ikiwa ni maandalizi ya ujio wa Muziki mnene bar kwa bar. Bango la MUZIKI MNENE lilionekana maeneo ya mjini Kibaha, lilowekwa na mmoja wa mashabiki wa EFM Radio 93.7. Kushoto ni Jimy Jam mfanyakazi wa efm akipozi kwa pamoja na Mmoja kati ya washindi  wa kwanza kutoka kulia, bwana Halid, akipewa zawadi yake baada ya kuweka bango la EFM MUZIKI MNENE eneo la Kibaha jana....

Like
424
0
Thursday, 13 August 2015