Local News

BAKITA YATHIBITISHA KUKUA KWA LUGHA YA KISWAHILI
Local News

BARAZA la Kiswahili la Taifa- BAKITA limethibitisha kukua kwa kasi kwa  lugha ya kiswhili katika nchi za Afrika Mashariki na duniani kutokana na lugha hiyo kutumika katika mikutano mbalimbali ya kimataifa. Msanifu Mkuu wa lugha ya Kiswahili CONSOLATA MUSHI amesema kwa sasa vipo vyuo vikuu mbalimbali Duniani na Taasisi zinazoeneza lugha hiyo kwa kufundisha katika vyuo...

Like
464
0
Thursday, 13 August 2015
UKAWA WAKUBALIANA KUSIMAMISHA MGOMBEA MMOJA KWENYE KILA KATA NAFASI ZA MADIWANI
Local News

VYAMA vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi- UKAWA- Vimesaini Waraka wa Ushirikiano  katika Kugombea nafasi za madiwani kwenye Uchaguzi Mkuu ambapo vitakua na Mgombea mmoja ataewakilisha vyama hivyo kwa kila kata.   Waraka huo umesainiwa leo na Makatibu wakuu wa vyama hivyo mbele ya Waandishi wa habari huku Chama cha NLD kikiwakilishwa na Katibu Mkuu Tozzy Matwanga, Chama cha CUF Naibu Katibu Mkuu Magdalena Sakaya, Chama cha NCCR Mageuzi Kaimu Katibu Mkuu Dokta George Kahangwa na CHADEMA Naibu Katibu Mkuu...

Like
172
0
Thursday, 13 August 2015
SERIKALI YATARAJIA KUFUNGUA MAABARA YA MADINI
Local News

TANZANIA inatarajia kufungua maabara ya madini itakayo kuwa ikitumiwa na Nchi zote zinanzozunguka ukanda wa Maziwa makuu kwa ajili ya kuchunguza madini kwa kutumia teknolojia ya alama ya vidole, kutambua madini yanapotokea ili kudhibiti utoroshwaji wake na baishara haramu katika nchi hizo. Hayo yamesemwa leo jijini Dar es salaam na Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Injinia Ngosi Mwihava katika Mkutano wa Kongamano la nchi za Maziwa makuu-ICGLR wenye lengo la kujadili namna ya kutumia alama za...

Like
244
0
Thursday, 13 August 2015
CHINA: MLIPUKO MKUBWA WATOKEA TIANJIAN
Local News

KUMETOKEA mlipuko mkubwa katika mji wa China Tianjin-ambao ni mji wa Bandari kuu na sehemu ya viwanda katika eneo la kusini kaskazini mwa mji mkuu Beijing. Video zilizowekwa katika mitandao ya kijamii zinaonyesha moto mkubwa na wingu kubwa la moshi lililotanda angani. Shirika la habari la nchi hiyo, Xinhua limesema mlipuko huo umetokea katika mji wa Tianjin Binhai ukanda ulioendelea kiviwanda uliopo karibu na bandari na watu wanakimbia katika eneo hilo kunusuru maisha yao.Mpaka sasa bado hakijajulikana chanzo kikuu cha...

Like
201
0
Thursday, 13 August 2015
JAMII IMETAKIWA KUSHIRIKIANA NA TAASISI ZINAZOTOA HUDUMA KWA WATOTO YATIMA NA WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU
Local News

JAMII imetakiwa kushirikiana na Taasisi mbalimbali zinazotoa huduma kwa watoto yatima na wanao ishi katika  mazingira magumu kwani kwa kufanya hivyo itaweza kupunguza ongezeko la idadi kubwa ya watoto wa mitaani.   Akizungumza na EFM Mkurugenzi wa kituo kinacholea watoto wanaoishi katika mazingira magumu –BABA WATOTO CENTER–  MGUNGA MNYENYELWA amesema kuwa mpaka sasa wameweza kulea watoto 200  kituoni hapo pamoja na kuwapatia  mafunzo mbalimbali yanayohusu stadi za maisha.   Amebainisha kuwa Miongoni mwa mafunzo...

Like
287
0
Thursday, 13 August 2015
MISINGI YA AMANI YATAJWA
Local News

IMEELEZWA kuwa ili Tanzania iweze kuwa na amani ya kudumu, Taifa linahitaji kuwa na misingi madhubuti yenye kuzingatia haki na usawa. Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam leo baada ya uzinduzi rasmi wa kampeni ya njia ya mitandao ya habari ijulukanayo kama uchaguzi Tanzania 2015 kura yetu,  Kiongozi kijana HUMPHREY POLEPOLE amebainisha kuwa haki na usawa vitasaidia kuondoa vizingiti kati ya wakristo na waislamu, viongozi wa siasa na vyama vyao lakini pia kati ya taasisi mbalimbali zikiwemo...

Like
351
0
Thursday, 13 August 2015
RAIS KIKWETE ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA MBUNGE CLARA MWATUKA
Local News

RAIS  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Anne Semamba Makinda kuomboleza kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Mheshimiwa Clara Mwatuka aliyefariki dunia kwa ajali ya gari iliyotokea Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara tarehe 9 Agosti, mwaka huu.   Kutokana na kifo cha Mbunge huyo, Rais Kikwete ametoa pole kwa familia yake kwa kumpoteza Mzazi, kwa...

Like
356
0
Thursday, 13 August 2015
VIJANA WATAKIWA KUWA MSTARI WA MBELE KULETA MAENDELEO
Local News

KATIKA kuadhimisha siku ya Vijana Duniani, Serikali imewataka Vijana nchini kujitokeza, kujitolea pamoja na kubadilisha fikra zao na kuwa na fikra chanya ili kuhakikisha kuwa badala ya kuachwa nyuma katika maendeleo, wanakuwa mstari mbele katika kuleta maendeleo na mabadiliko nchini.   Akizungumza katika hafla hiyo jijini Dar es salaam leo Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel amesema, Serikali kupitia Wizara hiyo itashirikiana na Vijana kwa karibu kuhakikisha kuwa Vijana wanawekewa...

Like
219
0
Wednesday, 12 August 2015
WIZARA YA AFYA YAKANUSHA UWEPO WA EBOLA
Local News

WIZARA ya afya na ustawi wa jamii imesema kuwa mpaka sasa hakuna uthibitisho wowote juu ya kifo cha mgonjwa mwenye umri wa miaka 39 kutoka katika kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu mkoani Kigoma ambacho kimetokana na ugonjwa wa Ebola. Taarifa ya ufafanuzi iliyotolewa na kitengo cha awasiliano kutoka wizarani hapo imeelezwa kuwa sampuli ya mgonjwa huyo imechukuliwa na kupelekwa kwenye maabara ya taifa ya jamii wizara ya afya kwa uchunguzi zaidi ili kubaini chanzo cha ugonjwa...

Like
240
0
Wednesday, 12 August 2015
GPSA KUSIMAMIA MFUMO WA UDHIBITI WA MAFUTA KATIKA VISIMA NA MAGARI YA SERIKALI
Local News

KUTOKANA na umuhimu na wingi wa Matumizi ya Mafuta kwenye Magari na Mitambo ya serikali katika utekelezaji wa majukumu yake pamoja na gharama kubwa wakala wa huduma ya ununuzi serikalini GPSA umeamua kusimamia mfumo wa udhibiti wa mafuta katika visima na magari ya serikali.   Akizungumza na kituo hiki Jijini Dar es salaam Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa  huduma hiyo NAFTAL SINGWEJO amesema  kuwa lengo kubwa la mfumo huo ni kuhakikisha kunakuwa na usimamizi bora wa matumizi ya mafuta ambao...

Like
427
0
Wednesday, 12 August 2015
WAKAZI WA KATA YA KIBURUGWA WAMEIOMBA SERIKALI KUWAPATIA HUDUMA ZA KIJAMII
Local News

WAKAZI wa kata ya Kiburugwa wilaya ya temeke jijini Dar es salaam wameiomba serikali kuwapatia huduma za kijamii ili kuboresha na kupunguza ghalama za maisha.   Akizungumza na kituo hiki mmoja kati ya wakazi wa mtaa wa barabara ya mwinyi wilayani hapo bwana SELEMANI KASAPILA ameainisha baadhi ya huduma wanazo zikosa kuwa ni papoja na kutokuwepo kwa barabara na kituo cha polisi.   Aidha mwenyekiti wa mtaa huo Bwana JUMA ALI NGONYANI amekiri kuwa shughuli nyingi za maendeleo katika kata...

Like
297
0
Wednesday, 12 August 2015