Local News

MAGUFULI KUCHUKUA FOMU YA KUWANIA URAIS NEC KESHO
Local News

MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi-CCM JOHN POMBE MAGUFULI kesho anatarajia kuchukua fomu ya kugombea nafasi hiyo katika ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi-NEC. Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam leo Katibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi NAPE NNAUYE amesema kuwa Mheshimiwa MAGUFULI katika msafara wake kuelekea NEC ataambatana na mgombea mwenza kutoka Zanzibar mheshimiwa SAMIA SULUHU...

Like
180
0
Monday, 03 August 2015
CHADEMA: NAFASI YOYOTE YA KUINDOA CCM LAZIMA ITUMIKE
Local News

CHAMA cha  Demokrasia na Maendeleo  CHADEMA kimesema nafasi yoyote ya kukiondoa Chama cha Mapinduzi CCM madarakani ni lazima itumike  kwa kutambua kuwa Chadema ni chama cha watu, na hivyo ni lazima waheshimu mawazo ya kila mtu mwenye lengo linalofanana na chama hicho. Hayo yamesemwa leo jijini Dar es salaam katika Mkutano wa baraza kuu la Chama cha Maendeleo na Demokrasia CHADEMA uliofanyika ili kupitia  na kuijadili ilani ya uchaguzi ambayo itapendekezwa katika mkutano mkuu kesho tarehe 4 Agosti 2015. Akizungumza...

Like
182
0
Monday, 03 August 2015
ZAHANATI YA DA.MA AFRICA YAZINDULIWA KIBAHA
Local News

MGANGA Mkuu wa halmashauri ya Mji wa Kibaha, Dokta. Happniness Ndosi amepongeza shirika la masisita Waabuduo Damu ya Kristo kwa kufanikisha ujenzi wa zahanati ya kisasa katika kijiji cha Vikawe wilayani Kibaha mkoani Pwani.   Mganga huyo ambaye alikuwa mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa zahanati hiyo, pamoja na kuwapongeza amesema serikali itaendelea kushirikiana na mashirika yote kwa lengo la kuwezesha kila kijiji kiwe na zahanati  kila kata na kila wilaya kuwa na hospitali.   Zahanati hiyo ya DA.MA...

Like
296
0
Monday, 03 August 2015
RAIS KIKWETE KUZINDUA WIKI YA NENDA KWA USALAMA LEO
Local News

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania dokta Jakaya Mrisho Kikwete leo anazindua maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama Barabarani ambayo kitaifa yanafanyika kwenye viwanja vya Tangamano mkoani Tanga.   Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Said Magalula amesema tayari Rais Kikwete ameshawasili mkoani humo jana na kupokelewa na viongozi mbalimbali kwa ajili ya uzinduzi wa maadhimisho hayo.   Magalula amesema baada ya Rais Kikwete kumaliza uzinduzi wa maadhimisho hayo leo jioni atapata nafasi ya kuwaaga wananchi wa mkoa wa...

Like
273
0
Monday, 03 August 2015
MAHAKAMA KUU KANDA YA DARESALAAM IMETUPILIA MBALI KESI ILIYOFUNGULIWA NA IPTL, PAP DHIDI YA KAFULILA
Local News

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali kesi namba 301 iliyofunguliwa na Kampuni ya kufua Umeme ya IPTL, PAP pamoja na Mkurugenzi wa Kampuni ya PAP Bw Harbinder Singh Sethi dhidi ya Mbunge wa Kigoma Kusini Mhe David Kafulila kwa madai kuwa Kafulila alichafua jina kampuni hizo na muhusika huyo kwamba walichota zaidi ya 300bn kwenye akaunt ya Tegeta escrow kinyume cha sheria na taratibu.   Katika shauri hilo, Kampuni ya IPTL,PAP na Herbinder Singh Sethi walitaka Mahakama...

Like
246
0
Friday, 31 July 2015
MANYARA: WADAU WA UKIMWI WAJIPANGA BAADA YA WAFADHILI KUTOTENGA FEDHA
Local News

WADAU wa ukimwi wa Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, wameazimia kujipanga kikamilifu kuhakikisha wanafanya jitihada za kupatikana kwa fedha za kuendesha bajeti ya ukimwi baada ya wafadhili kutotenga fedha.   Wakizungumza  leo kwenye mkutano wa wadau wa ukimwi wa wilaya hiyo uliofanyika katika mji mdogo wa Mererani, wamesema hadi sasa wafadhili waliokuwa wanawategemea hawajatenga fedha za kushughulika na ukimwi.   Mwenyekiti wa wadau hao Sihimu Hamis amesema sekta binafsi na serikali kwa kwa ujumla wanapaswa kujipanga ili...

Like
340
0
Friday, 31 July 2015
WATANZANIA WANAKABILIWA NA CHANGAMOTO YAKUTOJUA SEHEMU SAHIHI ZA KUPATA HAKI ZAO
Local News

IMEELEZWA kuwa bado kuna changamoto kubwa ya Watanzania wengi kutojua wapi wanaweza kupata haki zao jambo ambalo hata sehemu nyingine nje ya Tanzania wanalo. Hayo yamesemwa leo Jijini Dar es salaam na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mheshimiwa Angela Kairuki katika uzinduzi wa Mradi wa Elimu ya Uraia kwa njia ya Simu –PCC– ulioratibiwa na Asasi ya kiraia ya C-Sema- na Shirika la –UNIDEF- la Umoja wa Mataifa wenye lengo la kutoa elimu ya uraia kwa...

Like
219
0
Friday, 31 July 2015
VYAMA VYA SIASA VIMETAKIWA KUWA MAKINI KATIKA KUSIMAMISHA WAGOMBEA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU
Local News

VYAMA vya siasa vya upinzani nchini vimetakiwa kuwa makini katika kusimamisha wagombea  hasa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu  ili kuepukana na wagombea wanaotumia  fedha katika kupata madaraka.   Kauli hiyo imetolewa  Jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa chama cha Alliance for  Democratic change – ADC- Saidi Miraji alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu hali ya siasa nchini ambapo ameviasa vyama kusimamia msimamo yake.   Amewashauri kuwaweka wagombea ambao wanafahamu kwa undani na kuzingatia ...

Like
225
0
Friday, 31 July 2015
WANANCHI WAIPONGEZA NEC KWAKUONGEZA SIKU ZA KUJIANDIKISHA DAR
Local News

KUFUATIA Tume ya Taifa ya Uchaguzi –NEC– kutangaza kuongeza siku nne za kujiandikisha katika daftari la kudumu la kupigia kura kwa wakazi wa Dar es salaam kutokana na mwamko mkubwa wa wananchi  ulioonekana katika vituo mbalimbali vya uandikishaji, baadhi ya wakazi wa mkoa huo wameipongeza hatua hiyo.   Wakizungumza na Efm leo katika vituo mbalimbali vya kujiandikisha katika Daftari hilo la kudumu la mpiga kura kwa njia ya kielektroniki,-BVR, wakazi hao wamesema uamzi huo ni wabusara nakuwataka wananchi kuitumia nafasi...

Like
190
0
Friday, 31 July 2015
SERIKALI YASAINI MKATABA KUKUSANYA FEDHA ZA MAPATO YA NDANI
Local News

SERIKALI imesaini Mkataba wa Makubaliano ya kukusanya fedha kiasi cha shilingi Milioni 12 laki 3, elfu sitini na mbili na 969 za mapato ya ndani kwa mwaka wa fedha 2015/2016 ambayo yanakusanywa kwa mara ya kwanza nchini. Mkataba huo wa makubaliano umesainiwa Jijini Dar es Salaam kati ya Waziri wa Fedha Mheshimiwa Saada Mkuya na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania –TRA– Bernard Mchomvu kwenye hafla iliyohudhuriwa na baadhi ya viongozi na watendaji wa Wizara ya...

Like
217
0
Thursday, 30 July 2015
NEC YAONGEZA SIKU 4 ZA KUJIANDIKISHA NA DAFTARI LA KUDUMU LA KUPIGA KURA
Local News

TUME ya taifa ya uchaguzi –NEC– imeongeza siku nne za kujiandikisha katika daftari la kudumu la kupigia kura kwa wakazi wa Dar es salaam kutokana na mwamko mkubwa wa wananchi  ulioonekana katika vituo mbalimbali vya uandikishaji. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam leo Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya uchaguzi Jaji Mstaafu DAMIAN LUBUVA amesema kuwa hali hiyo imetokana na uwepo wa Idadi kubwa ya watu ambao bado hawajaandikishwa na wanahitaji kuandikishwa. Jaji Mstaafu LUBUVA amebainisha kuwa...

Like
294
0
Thursday, 30 July 2015