Local News

SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR IMESHAURIWA KUFANYA JUHUDI KUWAHAMISHA OMBAOMBA
Local News

SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar imeshauriwa kufanya juhudi za kuwahamisha Ombaomba waliozagaa katika maeneo mbalimbali ya Manispaa ya Mji wa Zanzibar. Hayo yameelezwa na Mjumbe wa Kamati ya Katiba, Sheria na Utawala ya Baraza la Wawakilishi  WANU  HAFIDHI  AMEIR wakati akiwasilisha Maoni ya Kamati hiyo katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar. AMEIR amesema kuwa kuwepo kwa ongezeko kubwa la watu wanaokaa katika Maeneo ya Mji wa Zanzibar na kuomba ni jambo ambalo halitoi taswira...

Like
229
0
Tuesday, 02 June 2015
WAZIRI MKUU KUFUNGUA MKUTANO WA TANK WA WADAU WA MFUKO WA HIFADHI YA JAMII
Local News

WAZIRI mkuu wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa MIZENGO PINDA asubuhi hii anafungua mkutano wa tank wa wadau wa mfuko wa hifadhi ya jamii-NSSF. Mkutano huo unaofanyika kwa siku tatu mjini Arusha umewakutanisha wadau wote wa mfuko huo ili kuangalia changamoto mbalimbali zinazoikabili-NSSF-pamoja na mafanikio yake. Hata hivyo mkutano huo utasaidia kwa kiasi kikubwa mfuko huo kuweka mikakati bora itakayoimarisha utendaji wao wa kazi ili kuleta manufaa kwa...

Like
233
0
Tuesday, 02 June 2015
NDAYIZEYE AMTAKA NKURUNZINZA KUTOGOMBEA KWA MUHULA WA TATU
Global News

RAIS mstaafu wa Burundi DOMITIEN NDAYIZEYE amemtaka rais wa sasa wa nchi hiyo PIERRE NKURUNZINZA kutogombea kwa muhula wa tatu kwani hatua hiyo inavunja maridhiano yaliyofanyika yaliyomtaka rais huyo kukaa madarakani kwa mihula miwli. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam katika mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika mashariki amesema kuwa mkataba uliosainiwa umebainisha kila makubaliano waliyoafikiana lakini hatua inayofanywa sasa na rais NKURUNZINZA umesababisha ukiukwaji wa haki za binadamu. Aidha rais huyo mstaafu amesema...

Like
230
0
Monday, 01 June 2015
SERIKALI YASHAURIWA KUBORESHA NA KUWEKEZA KATIKA MFUMO WA ELIMU NCHINI
Local News

SERIKALI imeshauriwa kuboresha na kuhakikisha inawekeza ipasavyo katika mfumo wa elimu nchini ili kuleta matokeo bora ya elimu na kuimarisha shughuli za ushindani wa kiuchumi baina yake na nchi jirani. Ushauri huo umetolewa leo mjini Dodoma na mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya bunge ya maendeleo ya jamii mheshimiwa MARGARETH SITTA mara baada ya Wizara ya Elimu na mafunzo ya ufundi kuwasilisha makadilio ya matumizi ya wizara hiyo. Akichangia hoja ya makadilio kwa wizara hiyo mbunge wa kuteuliwa mheshimiwa JAMES...

Like
205
0
Monday, 01 June 2015
LIPUMBA ATANGAZA NIA YA KUPEPERUSHA BENDERA YA UKAWA
Local News

 MWENYEKITI wa Chama cha wananchi –CUF-Profesa IBRAHIM LIPUMBA huenda akaingia kwa mara ya tano katika mbio za kuwania nafasi ya uraisi endapo Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA utampitisha kugombea nafasi hiyo katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Lipumba ametangaza nia ya kugombea nafasi hiyo ya juu ya kisiasa nchini juzi mjini Tabora wakati wa mikutano yake ya hadhara ya kuhamasisha wananchi kujitokeza kujiandikisha kupiga kura kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu uliopangwa kufanyika Oktoba 25 mwaka huu Profesa Lipumba anakuwa...

Like
291
0
Monday, 01 June 2015
KLINIKI YA LOTUS KWA  KUSHIRIKIANA NA HOSPITALI YA MUHIMBILI ZAANZISHA KAMPENI YA KUELIMISHA UMA JUU YA UGONJWA WA USONJI
Local News

KLINIKI ya Lotus kwa kushirikiana na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, zimeanzisha kampeni mpya inayolenga kuelimisha uma kuhusu ugonjwa wa usonji ambao watanzania wengi hawana ufahamu wa kutosha juu ya ugonjwa huo. Akizugumza wakati wa uzinduzi huo Jijini Dar es Salaam Mwenyekiti wa Chama cha Kuhudumia watu wenye Usonji Tanzania dokta STELLA RWEZAULA kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ameahidi kuwa mstari wa mbele kuwezesha kampeni hiyo ili kuwaelimisha watanzania kuhusu ugonjwa huo. Ugomjwa huu sasa unatishia familia nyingi kwani...

Like
311
0
Monday, 01 June 2015
RAIA WA BURUNDI WAGOMA KUREJEA NCHINI KWAO LICHA YA KUREJEA KWA AMANI
Local News

WAKATI Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kushirikiana na shirika la Umoja wa Kimataifa -UN wakijiandaa kuwarudisha wakimbizi walioingia nchini kutoka Burundi mara baada ya hali ya usalama kupatikana, wakimbizi hao wamesema kuwa hawako tayari kurudi nchini humo kwa madai kuwa burundi siyo nchi ya kulinda amani kwa wakati wote. Wakizungumza na kituo hiki baadhi ya wakimbizi hao wamesema kuwa Serikali ya burundi haiaminiki hata kidogo kwani kila mara nchi hiyo imekuwa na migogoro ya hapa na pale ...

Like
236
0
Friday, 29 May 2015
WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA IMELIOMBA BUNGE KUIDHINISHA  ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 154
Local News

WIZARA ya mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa imeliomba Bunge kuidhinisha zaidi ya shilingi bilioni 154 kwaajili ya kuwezesha utekelezaji wa masuala mbalimbali muhimu ya wizara kwa kipindi cha mwaka 2015 na 2016. Akiwasilisha rasmi Bungeni makadilio na matumizi ya wizara, Waziri wa wizara hiyo BERNARD MEMBE amesema kuwa fedha hizo zitasaidia kwa kiasi kikubwa kuboresha shughuli za wizara ikiwemo kuwezesha kushiriki kikamilifu katika mikutano ya kimataifa ili kuimarisha uhusiano kwa nchi za...

Like
218
0
Friday, 29 May 2015
TANZANIA YATOA WITO KWA WANANCHI WA BURUNDI KUMALIZA TOFAUTI ZAO
Local News

TANZANIA imetoa wito kwa wananchi wa Burundi kushirikiana kumaliza tofauti zao za kisiasa zinazoendelea nchini humo ili kurudisha hali ya Amani kwa manufaa yao naTaifa kwa ujumla.   Wito huo umetolewa leo Bungeni mjini Dodoma na Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa BERNAD MEMBE wakati akijibu swali la mbunge wa viti maalum dokta MARY MWANJELWA alitaka kufahamu jitihada za serikali katika kusaidia Amani inarejea nchini Burundi.   Mheshimiwa MEMBE amesema kuwa ingawa kuna jitihada kubwa zinafanyika ili...

Like
193
0
Friday, 29 May 2015
MWENGE WA UHURU WAKABIDHIWA KWA MKUU WA WILAYA YA KINDONDONI
Local News

MWENGE  wa uhuru umekabidhiwa leo kwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda baada ya hapo jana kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo katika wilaya ya Ilala yenye gharama ya  shilingi bilioni 14.   Akizungumza wakati wa uzinduzi wa miradi hiyo jana, Kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru,  Juma Chumu  amewataka Watanzania  kutunza miradi mbalimbali ya mandeleo inayoletwa na Serikali kwa kushirikiana na wadau na wananchi wenyewe.   Amesema kuwa mbio za mwenge mwaka huu zinatumika katika kutoa elimu na...

Like
267
0
Friday, 29 May 2015
VIWANGO VYA MIMBA ZA UTOTONI VYAPUNGUA
Local News

IMEELEZWA kuwa viwango vya Mimba za Utotoni Vimepungua na Upatikanaji wa Huduma za Afya ya Uzazi kwa Vijana imeongezeka kufatia mpango wa Uelimishaji unaofanywa na Shirika la Afya na Utafiti Afrika- AMREF Hayo yamebainishwa na Kaimu Mganga Mkuu wa Serikali Dokta Flavian Gowele alipokuwa Mgeni rasmi katika Uwasilishaji wa Ripoti ya Utafiti uliofanywa na shirika hilo kwa kipindi cha miaka minne katika Wilaya za Ilala, Kinondoni na Iringa ambapo Takwimu zinaonyesha kuwa viwango vya Mimba za Utotoni zimeshuka kutoka asilimia...

Like
273
0
Thursday, 28 May 2015