Local News

SERIKALI IMEOMBWA KUBORESHA MASLAHI YA WAALIMU WANAOFUNDISHA ELIMU MAALUMU
Local News

SERIKALI imeombwa kuboresha maslahi ya Walimu wanaofundisha Elimu maalumu kama vile Wasiosikia na Wasiiona,  ili walimu wengi wanaomaliza vyuoni wawe na ari ya kuweza kwenda  kufundisha katika shule hizo. Rai hiyo imetolewa  Jijin Dar es Salaam na Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mugabe Kitengo Wasiosikia ,PHILBETH ANDREW wakati akizungumza na Efm ofisini kwake. Amesema endapo Serikali itaona umuhimu na kuamua kulitilia mkazo suala hilo, itaweza kuondoa upungufu wa Walimu katika shule za Elimu...

Like
222
0
Wednesday, 22 April 2015
BAJETI YA MWISHO YA SERIKALI YA AWAMU YA NNE KUJADILIWA NA KUCHAMBULIWA WIKI IJAYO
Local News

BAJETI ya  mwisho kwa Serikali ya awamu ya Nne ya Rais JAKAYA KIKWETE, inatarajiwa kujadiliwa na kuchambuliwa wiki ijayo  huku ratiba ya Bunge ya Bajeti ikionesha itajadiliwa kwa siki 44.   Tayari Kamati za Kudumu za Bunge zinatarajia kuanza kuijadili kuanzia April 27 hadi Mei 9 mwaka huu, kabla ya wabunge kuanza kuijadili bungeni.   Taarifa ambayo imeifia Kituo hiki, kutoka Ofisi za Bunge imeeleza kuwa, Kamati hizo zitaichambua Bajeti hiyo inayohitimisha Utawala wa Serikali ya Rais KIKWETE jijini Dar...

Like
210
0
Wednesday, 22 April 2015
JK KUHUDHURIA KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA USALAMA NA USAFI MAHALI PA KAZI
Local News

RAIS JAKAYA KIKWETE anatarajia kuwa mgeni rasmi katika kilele cha maadhimisho ya siku ya Usalama na Usafi Mahali Pa Kazi,yanayotarajiwa kufanyika Jumanne ijayo mwaka huu, katika Viwanja vya Jamuhuri mkoani Dodoma.   Akizungumza jijini Dar es salaam,Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Usafi na Usalama Mahali Pa Kazi-OSHA,ALEX MGATA,amesema maadhimisho hayo yatatanguliwa na maandamano yatakayoanzia viwanja vya Bunge na kuishia Uwanja wa Jamuhuri.   Ametaja Kauli Mbiu ya Maadhimisho hayo kuwa ni Jiunge katika Kujenga Utamaduni wa Kinga Mahali...

Like
231
0
Wednesday, 22 April 2015
KISARAWE 2 KUPATA UMEME MWEZI HUU
Local News

WANANCHI wa Kisarawe 2 Wilayani Temeke Jijini Dar es salaam wametakiwa kutumia Wataalamu waliosajiliwa na Shirika la Umeme Nchini- TANESCO,kufanya Wayaring katika nyumba zao ili kuondoa usumbufu wakati wa usambazaji wa huduma hiyo Majumbani. Wito huo umetolewa na Diwani wa Kata hiyo ISSA HEMEDI ZAHOR  katika mkutano na Wananchi, wakati wa Makabidhiano ya Transfoma kwa ajili ya kusambaza umeme kwa Kata hiyo iliyotolewa na Kampuni Property International. Diwani ZAHORO amesema kupatikana kwa kifaa hicho muhimu ni kiashirio tosha kuwa umeme...

Like
341
0
Tuesday, 21 April 2015
TGNP YAWATAKA WANAWAKE KUACHA UTEGEMEZI
Local News

MTANDAO wa  Jinsia Tanzania –TGNP umewataka   Wanawake nchini kuacha tabia ya kuwa tegemezi na badala yake wajishughulishe na kujikwamua kiuchumi ili  kuepukana na ukatili wa Kijinsia  unaowakabili  baadhi ya Wanawake wategemezi. Hayo  yamesemwa jijini Dar es Salaam na Afisa Habari wa TGNP  DEO TEMBA, alipokuwa akizungumza na Kituo hiki juu ya  upingaji wa Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto. Amesema kuwa, katika uchunguzi uliofanywa na mtandao huo, umebaini kuwa, kwa asilimi kubwa ukatili wa Kijinsia unawakabili Wanawake ambao...

Like
217
0
Tuesday, 21 April 2015
DK SLAA AREJEA NCHINI
Local News

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA, kimesema hakina tatizo na Wawekezaji kuwekeza katika nchi yetu kwani hakuna nchi inayoweza kuendelea bila kujenga mahusiano na Nchi zingine. Pia CHADEMA, hakipotayari kuona Taifa linaingia Mikataba isiyokuwa na Maslahi kwa Watanzania. Hayo yamesemwa jijini Dar es salaam na Katibu Mkuu wa Chama hicho Dokta WILBROAD SLAA, mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage NYERERE akitokea Nchini Marekani kwa ziara Maalumu ya...

Like
237
0
Tuesday, 21 April 2015
JAMII YATAKIWA KUWALINDA WATOTO NA KUTOA TAARIFA ZA UKATILI WANAOFANYIWA
Local News

JAMII  nchini imetakiwa kujielekeza  katika suala la ulinzi na usalama kwa watoto, kwa kutoa taarifa za Ukatili wanaofanyiwa. Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam  na  Afisa Ustawi wa jamii Kitengo cha familia Emma Komba wakati alipokuwa akizungumza  na kituo hiki . Amesema kuwa tatizo kubwa kwa sasa  jamii imekuwa waoga kutoa taarifa za ukatili zinazowakabili watoto hasa ukatili wa kingono kwa watoto  katika ngazi  ya...

Like
246
0
Tuesday, 21 April 2015
JUMLA YA KINA MAMA MILIONI 1 NA LAKI 6 WANAKADIRIWA KUUGUA FISTULA NCHINI
Local News

IMEELEZWA  kuwa jumla ya Kina Mama Milioni 1 na laki 6 Nchini Tanzania wanakadiriwa kuugua ugonjwa wa Fistula huku kukiwa na ongezeko la wagonjwa Wapya Elfu 3 kila mwaka wanaougua ugonjwa huo kutokana na matatizo mbalimbali ikiwemo  uzazi usio salama. Kwa mujibu wa Utafiti uliofanywa  na CCBRT, nchini Tanzania kuhusiana na Ugonjwa huo, umeonyesha kuwa katika kipindi cha miaka 12 iliyopita Tanzania ilikadiriwa kuwa na wagonjwa Elfu 24 mpaka Elfu 30 wanaougua  ugonjwa wa Fistula huku wengi wao wakipata ugonjwa...

Like
305
0
Tuesday, 21 April 2015
JAMII YAOMBWA KUTODHARAU ELIMU NA KUHAKIKISHA WATOTO WANASOMA KWA BIDII
Local News

JAMII imeombwa kutodharau Elimu na kuipa kipa umbele kwa kuhakikisha kuwa watoto wanasoma kwa bidii ili na kutimiza ndoto zao za maisha kwakuwa maendeleo na mabadiliko ya Taifa yanategemea sana elimu na uwepo wa watoto wenye afya ya mwili na akili. Hayo yamesemwa leo jijini Dar es salaam na Mwenyekiti wa Muungano wa vijana wa maendeleo na ushirikiano Tanzania-TAYDCO katika kampeni maalum ya Malaria ya kusaidia watoto wasiojiweza kama walemavu na yatima. Akizungumza na Efm, Mwenyekiti wa Taasisi hiyo, Aloyce...

Like
273
0
Monday, 20 April 2015
TAIFA LITAPIGA HATUA IWAPO KILA MTU ATAWAJIBIKA KWA NAFASI YAKE KATIKA KAZI
Local News

IMEELEZWA kuwa iwapo kila mtu kwenye nafasi yake ya kazi atakaa nakujua anapaswa kufanya nini, akafanya kazi yake vizuri kama inavyostahili Taifa linaweza likapunguza kama sio kumaliza kabisa changamoto mbalimbali zinazokwamisha maendeleo na kuwezesha Taifa kupiga hatua kubwa. Hayo yamesemwa leo jijini Dar es salaam na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mheshimiwa Anna kilango Malechela alipotembelea Mamlaka ya Elimu ya Tanzania-TEA. Akizungumza na waandishi wa habari Mheshimiwa Malechela amesema hakuna sababu ya kuita Tanzania kuwa ni...

Like
200
0
Monday, 20 April 2015
TEMESA YATAKIWA KUWEKA WAZI HUDUMA ZAKE KWA JAMII
Local News

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,Mhandisi MUSSA IYOMBE,ameutaka Uongozi wa Wakala wa Ufundi na Umeme nchini-TEMESA,kutangaza huduma wanazozitoa ili jamii inufaike na huduma hizo kwa wakati na gharama nafuu. Akizungumza na Menejimenti ya TEMESA jijini Dar es salaam,Mhandisi IYOMBE, amesisitiza Wakala huo kuwa na Wafanyakazi wenye Weledi,waliokabidhiwa Mamlaka kamili na wabunifu ili kuhuisha huduma na kujiongezea mapato. Pia ameagiza TEMESA kuimarisha uhusiano wake na jamii hasa sekta binafsi ili kubadili mtazamo uliopo sasa kuwa wakala huo...

Like
224
0
Monday, 20 April 2015