Local News

WANANCHI WATAKIWA KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
Local News

MWENYEKITI wa CCM Mkoa wa Simiyu,Dokta TITUS KAMANI,amewataka wananchi wote wenye sifa za kupiga kura,kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la Wapigakura. Ameeleza kuwa,wakati utakapofika wajitokeza kupata haki ya kuchagua Kiongozi wanayemtaka katika Uchaguzi Mkuu ujao wa OCTOBA mwaka huu. Dokta KAMANI ambaye Pia ni Mbunge wa Busega na Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi,amewaomba wananchi ambao watajiandikisha kwenye daftari hilo kuvitunza vizuri vitambulisho...

Like
195
0
Tuesday, 14 April 2015
MWANZA: WAZAZI NA WALEZI WATAKIWA KUWALEA WATOTO KWENYE MAADILI YA KIROHO
Local News

WAZAZI na Walezi mkoani Mwanza,wametakiwa kuwalea watoto katika maadili ya Kiroho,ili kuepuka Wimbi la Ujangili na Uvunjifu wa Amani nchini. Mkurugenzi wa Vijana,Jimbo la Nyanza Kusini,Mchungaji JOSEPH MSESE,amesema hayo wakati wa Sherehe ya Uzinduzi wa huduma za Matendo kwa Vijana wa Kanisa la Waadventista Wasabato, katika Kanisa la Kakebe,Igoma jijini humo. MSESE amebainisha kuwa ili mtoto akue katika maadili mazuri na kuachana na matendo machafu ni vyema akalelewa kimwili,kiroho kijamii na...

Like
337
0
Tuesday, 14 April 2015
MKUU WA WILAYA YA KINONDONI AUNDA TUME HURU KUCHUNGUZA UBOVU WA BARABARA
Local News

MKUU wa Wilaya ya Kinondoni PAUL MAKONDA ameunda tume huru inayojumuisha wataalamu wa mikataba, wasanifu na wahandisi na maofisa kutoka vyombo mbalimbali vya uchunguzi  kuchunguza juu ya ubovu wa barabara za wilaya ya Kinondoni  ili kujua kama usanifu wa barabara unazingatia viwango. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam, Mkuu wa Wilaya hiyo amesema wananchi wamekuwa wakiilaumu serikali kushindwa kusimamia na kukagua miradi ya barabara hali inayosababisha ongezeko la barabara mbovu. Makonda amebainisha kuwa Wananchi...

Like
287
0
Monday, 13 April 2015
KUMBUKUMBU YA KUZALIWA MWL. JK NYERERE
Local News

WATANZANIA leo wanakumbuka kuzaliwa kwa aliyekuwa Mwasisi wa Taifa hilo na Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Nyerere ambaye alizaliwa tarehe 13 mwezi wa nne mwaka 1922 katika familia ya kichifu. Hayati Nyerere ambaye alikuwa rais wa kwanza wa Tanzania, alizaliwa, kulelewa na kukua kama watoto wengine wa vijijini akiwasaidia wazazi wake kwa shughuli za kilimo na kuchunga mifugo, moja ya shughuli muhimu za Kiuchumi kwa jamii ya Wazanaki kutoka kijiji cha Butiama, Wilaya ya Musoma, Mkoani Mara. Akizungumzia kumbukumbu...

Like
618
0
Monday, 13 April 2015
SHIKA NDINGA TWENDE SAWA WILAYA YA ILALA
Local News

shindano la shika ndinga lilimalizika kwa kuwapata washiriki kumi watakaowakilisha wilaya hiyo kwenye fainali ambapo kati yao wakiume watano na wakike watano shindano hilo litaendelea wiki hii kwa wakazi wa wilaya ya Temeke kuchuana vikali kwakupiga simu na kujibu maswali watakayoulizwa na kujipatia nafasi ya kushiriki shindano hilo. zifuatazo ni picha za washiriki waliochuana vikali wilaya ya Ilala siku ya jumamosi                                    ...

Like
579
0
Monday, 13 April 2015
WANAOPANDISHA NAULI KIHOLELA TEGETA WAPIGWA MARUFUKU KUTOA HUDUMA YA USAFIRI
Local News

KUFUATIA Malalamiko ya Wananchi wa Mbezi Mwisho kata ya Tegeta A kuhusu kupandishwa kwa nauli za daladala kiholela hasa nyakati za asubuhi na jioni Serikali ya Mtaa huo imepiga marufuku magari yote yanayopandisha nauli kuendelea kutoa huduma ya usafiri. Akizungumza katika Mkutano na Wananchi wa Kata hiyo Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Tegeta A Marko Maginga amesema imekuwa ni desturi ya magari yanayotoa huduma ya usafiri kutoka Mbezi mwisho kwenda Goba mpakani katika eneo hilo la Tegeta A kupandisha...

Like
321
0
Monday, 13 April 2015
RAIS KIKWETE AUNGANA NA WAUMINI WA KANISA KATOLIKI SHINYANGA KUMSIMIKA ASKOFU MPYA
Local News

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameungana na maelfu ya waumini wa Kanisa Katoliki, Jimbo la Shinyanga, kuhudhuria Ibada rasmi ya kumweka wakfu na kumsimika Askofu mpya wa Jimbo hilo, Mhashamu Baba Askofu Liberatus Sangu. Rais Kikwete aliwasili kwenye Kanisa Kuu la Mama Mwenye Huruma, Ngokolo, mjini Shinyanga jana  kwa ajili ya Ibada hiyo iliyohudhuriwa pia na Maaskofu wakuu, maaskofu na maaskofu wasaidizi 38, akiwamo Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Mwadhama...

Like
473
0
Monday, 13 April 2015
LEO NI SIKU YA KUMBUKUMBU YA KUZALIWA KWA MWL. JK NYERERE
Local News

WATANZANIA leo wanakumbuka kuzaliwa kwa aliyekuwa Mwasisi wa Taifa hilo na Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Nyerere ambaye alizaliwa tarehe 13 mwezi wa nne mwaka 1922 katika familia ya kichifu. Hayati Nyerere ambaye alikuwa rais wa kwanza wa Tanzania, alizaliwa, kulelewa na kukua kama watoto wengine wa vijijini akiwasaidia wazazi wake kwa shughuli za kilimo na kuchunga mifugo, moja ya shughuli muhimu za Kiuchumi kwa jamii ya Wazanaki kutoka kijiji cha Butiama, Wilaya ya Musoma, Mkoani Mara. Kumekuwepo na...

Like
418
0
Monday, 13 April 2015
KAMANDA WA POLISI MKOANI ARUSHA AKANUSHA TAARIFA ILIYOSAMBAZWA KWENYE MITANDAO JUU YA KUKAMATWA KWA MTU ANAESADIKIKA KUWA GAIDI
Local News

KAMANDA wa Polisi Mkoani Arusha Liberatus Sabasi, amekanusha taarifa zilizoenea leo katika mitandao mbalimbali ya kijamii kuhusu kukamatwa kwa mtu mmoja aliyevalia vazi la baibui akiwa na bomu Mkoani humo na kusema habari hizo siyo za kweli na ni uzushi. Mapema asubuhi ya leo kumekuwepo na taarifa ziliyoenezwa kwenye mitandao ya kijamii zikisema kuwa Maafisa wa Usalama Mkoani Arusha usiku wa kuamkia leo wamekama gari aina ya Toyota Premio nyeusi ikiwa na watu wanne na bunduki nne aina ya SMG...

Like
241
0
Friday, 10 April 2015
POLISI WATUMIA MABOMU YA MACHOZI KUTULIZA VURUGU KUFUATIA MGOMO WA MADEREVA
Local News

POLISI Jijini Dar es salaam leo wamelazimika kutumia mabomu ya Machozi kufuatia vurugu zilizoibuka Katika kituo cha mabasi cha Ubungo baada ya madereva wa vyombo mbalimbali vya moto, nchi nzima leo asubuhi kugoma kusafirisha abiria ili kuishinikiza serikali kuondoa kero mbalimbali zinazowakabili ikiwemo ukosefu wa ajira za uhakika pamoja na agizo la kutaka kwenda kusoma. Awali kabla ya mgomo wa leo, Katibu wa Muungano wa vyama vya madereva Bwana Rashid Saleh, alisema baadhi ya kero zilizopelekea mgomo wa leo ni...

Like
399
0
Friday, 10 April 2015
BALOZI SEIF ALI IDDI ASISITIZA MSHIKAMANO MIONGONI MWA WATANZANIA
Local News

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Balozi Seif Ali Iddi, amesema Watanzania wanaoishi Zanzibar na Bara, wataendelea kushirikiana kwa miaka mingi zaidi kutokana na mwingiliano wao wa kidamu. Balozi Seif Ali Iddi amesema uwepo wa ushirikiano huo ndio njia pekee itakayotoa fursa kwa Watanzania hao kusaidiana katika kutatua changamoto zinazowakabili miongoni mwao na vizazi vyao. Balozi Iddi ambaye pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, amesema hayo wakati akizungumza katika mkutano wa ujirani...

Like
462
0
Wednesday, 08 April 2015