Global News

JUMLA YA WATU 39 KUTOKA AFRIKA KUSINI WASHIRIKI KUPANDA MLIMA KILIMANJARO KUCHANGISHA FEDHA KUSAIDIA WATOTO WA KIKE
Global News

JUMLA ya watu 39 kutoka nchini Afrika Kusini wameshiriki katika zoezi la kupanda Mlima Kilimanjaro lenye lego la kuchangisha fedha za kusaidia Afya ya watoto wa kike huku sehemu kubwa ya fedha hizo zimelenga kusaidia watoto wa kike laki 2 na elfu 72 wa Afrika Kusini pamoja na Tanzania wanaoishi katika vijiji vinavyozunguka Hifadhi ya Taifa ya Mlima huo. Ugeni huo uliopanda Mlima Kilimanjaro Julai 14 mwaka huu umejumuisha watu mbalimbali wakiwemo wakurugenzi wa kampuni ya Vodacom na waigizaji maarufu...

Like
354
0
Monday, 20 July 2015
MLIPUKO WAUA WATU 27 UTURUKI
Global News

WATU 27 wameuawa na wengine wapatao 100 kujeruhiwa vibaya katika shambulizi la bomu lililotokea leo katika mji wa Uturuki wa Suruc ambao upo kwenye mpaka wa Uturuki na Syria.   Mlipuko huo ulitokea kwenye bustani ya kituo cha kitamaduni majira ya saa tatu ambapo mamia ya vijana wanaripotiwa kufanya kazi kwenye kituo hicho.   Maafisa wanachunguza ikiwa mlipuko huo ulisababishwa na bomu la kujitolea mhanga. Mji huo wa Suruc upo kwenye mpaka wa Uturuki na...

Like
210
0
Monday, 20 July 2015
FIFA KUPANGA TAREHE YA UCHAGUZI WA RAIS
Global News

RAIS wa shirikisho la soka duniani FIFA Sepp Blatter na bodi ya utawala ya shirikisho hilo pamoja na viongozi wengine wa juu wa shirikisho hilo wanakutana leo kupanga tarehe ya uchaguzi wa rais wa shirikisho hilo. Blatter alitangaza mwezi uliopita kuwa atajiuzulu kama rais wa FIFA baada ya wiki ya tuhuma za ufisadi kwa baadhi ya viongozi wa shirikisho hilo. Mkutano huo wa leo pia unatarajia kutaja baadhi ya mambo yatakayorekebishwa ikiwa ni pamoja na kikomo cha urais na viongozi...

Like
266
0
Monday, 20 July 2015
BENKI ZAFUNGULIWA LEO UGIRIKI
Global News

BAADA ya kupata mkopo wa usaidizi wa euro biloni 7 kutoka Umoja wa Ulaya,hatimaye benki nchini Ugiriki zimefunguliwa leo, baada ya kufungwa kwa wiki tatu kuepusha uchumi wa nchi hiyo kuporomoka. Hata hivyo, Vikwazo juu ya uhamishaji wa fedha nje ya nchi na udhibiti mwengine wa fedha bado vitaendelea kuwepo. Ugiriki pia inatarajiwa kulipa deni la Euro bilioni 4 kwa wakopeshaji wake Benki Kuu ya Ulaya siku ya...

Like
192
0
Monday, 20 July 2015
VOLKENO: VIWANJA VYA NDEGE VYAFUNGWA INDONESIA
Global News

MIRIPUKO miwili ya Volkeno iliyotokea jana imesababisha viwanja vya ndege vitatu kufungwa nchini Indonesia, kikiwamo kiwanja cha ndege cha mji mkuu wa pili Surabaya. Mlima wa Raung ulioko katika kisiwa kikuu cha Java umetoa uchafu wa majivu wa hadi mita 2,000 hewani baada ya miungurumo ya wiki kadhaa na mlima wa Gamalama mashariki mwa Indonesia uliripuka pia hapo jana baada ya miezi kadhaa ya tulivu. Miripuko hiyo imejiri katika nchi hiyo yenye idadi kubwa kabisa ya waislamu wakati ambao mamilioni...

Like
322
0
Friday, 17 July 2015
WANAJESHI WANAMAJI WANNE WAUAWA MAREKANI
Global News

MTU mwenye silaha amewaua askari wanne wa jeshi la wanamaji wa Marekani katika shambulio lililofanywa kwenye majengo mawili ya jeshi hilo katika mji wa Chattanooga, Tennessee. Wanajeshi hao wote waliuawa katika jengo moja  na Maafisa nchini humo wameyaita mauaji hayo kuwa ni Shambulio la ndani. Shirika la Upelelezi la Marekani FBI linalochunguza mauaji hayo, limesema halijajua bado kilichosababisha shambulio hilo. Kufuatia tukio hilo maeneo kadhaa yamefungwa zikiwamo hospitali na shule ili kuchukua tahadhari....

Like
179
0
Friday, 17 July 2015
MILIPUKO YAUA ZAIDI YA WATU 40 NIGERIA
Global News

WAFANYAKAZI wa uwokoaji Nchini Nigeria wamesema katika eneo la kaskazini mashariki mwa nchi hiyo katika mji wa Gombe watu arobaini wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa baada ya milipuko kutokea kwenye soko katika eneo hilo. Mlipuko wa kwanza umetokea kwenye maegesho nje ya duka la viatu, na kufuatiwa na mlipuko mwingine muda mfupi baadae. Mashuhuda wa tukio hilo amesema hali ni mbaya kwenye mitaa ya...

Like
179
0
Friday, 17 July 2015
YEMEN: WAASI WA HOUTHI WARIPUA KITUO CHA KUSAFISHIA MAFUTA
Global News

WAKATI huo huo ripoti zinasema waasi wa Houthi wamekiripua kituo cha kusafishia mafuta katika bandari ya Aden leo mchana. Mashahidi wanasema moshi mzito umetanda na wakaazi wa eneo hilo wameanza kuhamishwa. Kituo hicho cha kusafishia mafuta kilikuwa na shehena ya tani milioni moja na laki mbili ya mafuta ghafi pamoja na mapipa kadhaa ya gesi....

Like
158
0
Thursday, 16 July 2015
UGIRIKI: BUNGE LAUNGA MKONO MSAADA WA KANDA YA EURO
Global News

BUNGE la Ugiriki limeunga mkono awamu ya kwanza ya mpango wa tatu wa misaada kutoka kanda ya Euro. Wabunge 229 wameunga mkono hatua hizo zinazozungumzia miongoni mwa mengineyo kuhusu kuzidishwa kiwango cha kodi ya ongezeko la thamani ya bidhaa na kufanyiwa marekebisho malipo ya uzeeni. Wabunge 64 wameupinga mpango huo na sita hawakuupigia kura upande wowote....

Like
189
0
Thursday, 16 July 2015
UFARANSA YAZUIA SHAMBULIO LA KIGAIDI
Global News

WAZIRI wa Mambo ya ndani wa Ufaransa Bernard Cazeneuve amesema vyombo vya usalama nchini humo vimefanikiwa kuwakamata watu wanne wanaodaiwa kupanga njama za kushambulia maeneo ya jeshi. Bernard amesema kuwa watu hao wanaoshikiliwa miongoni mwao yupo mmoja aliwahi kuwa mwanajeshi mwenye umri wa miaka 30. Idara za usalama nchini Ufaransa kwa sasa zimekuwa makini zaidi tangu kufanyika kwa mashambulizi yaliyosababisha mauaji ya watu yanayodaiwa kutekelezwa na kundi la wapiganaji wa...

Like
142
0
Thursday, 16 July 2015
NKURUNZIZA AJIANDAA KUGOMBEA MUHULA WA TATU BURUNDI
Global News

RAIS wa Uganda Yoweri Museveni amefanya mazungumzo ya upatanishi nchini Burundi huku rais wa nchi hiyo Pierre Nkurunziza akijiandaa kugombea muhula wa tatu madarakani licha ya kuwepo kwa machafuko ya wiki kadhaa sasa yanayoipinga hatua yake hiyo. Museveni alikutana jana jioni na wajumbe wa serikali na viongozi wa upinzani mjini Bujumbura. Burundi imekuwa katika mgogoro wa kisiasa tangu mwezi Aprili mwaka huu baada ya chama tawala cha CNDD-FDD (cndede –fdede) kumteua rais Nkurunziza kama mgombea rasmi wa urais kwa muhula...

Like
245
0
Wednesday, 15 July 2015