Sports

SIMBA YAANZISHA GAZETI LAKE
Sports

Uongozi wa klabu ya Simba umetangaza kuanzisha gazeti lake ambalo litatambulishwa kesho katika tamasha la Simba Day. Hatua hiyo imekuja mara baada ya uongozi huo kueleza kumekuwa na magazeti baadhi mtaani yamekuwa yakitumia jina la Simba na kujipatia faida ambayo ilipaswa kuwa inaenda klabuni. Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara, amesema gazeti hilo litakuwa linaitwa SIMBA NGUVU MOJA, litakuwa linatoka mara kila wiki siku ya Jumamosi. Manara amesema gazeti hilo litakuwa linauzwa siku ya Jumamosi na gharama...

Like
458
0
Tuesday, 07 August 2018
SIMBA YAINGIA MKATABA WA MILIONI 250 NA MO ENERGY
Sports

Uongozi wa klabu ya Simba umetangaza kuingia mkataba wa mwaka na Kampuni ya Utengenezaji vinywaji ya A One Products kupitia kinywaji cha Mo Energy Drink. Mkataba huo utakuwa na thamani ya fedha za kitanzania, shilingi milioni 250. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Kampuni hiyo, Mwasala Masoud, amesema fedha hizo zitahusika na Simba kwa ajili ya shughuli mbalimbali ndani ya klabu hiyo. Mwasala ameeleza kuwa kinywaji cha Mo Energy kitakuwa kinaiwakilisha kampuni ya A One kutokana na utengenezaji wa bidhaa zake...

Like
668
0
Monday, 06 August 2018
KOCHA ALIYEIPA UBINGWA WA AFRIKA NIGERIA, ASAINI MIAKA MIWILI TAIFA STARS
Sports

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia amemtangaza kocha Emmanuel Amunike kutoka Nigeria kuwa kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars”. Kocha huyo amefikia mwafaka na TFF ya kusaini kandarasi ya miaka miwili kuinoa Taifa Stars inayodhaminiwa na bia ya Serengeti. Amunike aliwahi kutamba na kikosi cha Nigeria akicheza kama winga wa kushoto na pia alifanikiwa kuifundisha timu ya taifa hilo mwaka 1993 mpaka 2001. Mchezaji huyo mstaafu alikiongoza kikosi cha timu ya...

Like
556
0
Monday, 06 August 2018
ALIKIBA AANZA KAZI COASTAL UNION
Sports

Mshambuliaji mpya wa klabu ya Costal Union ya Tanga, Ali Kiba, ameanza kujinoa na wachezaji wa kikosi hicho huko Tanga tayari kwa msimu mpya wa ligi utakaoanza Agosti 22 2018. Kiba ambaye pia ni Msanii wa Kimataifa kupitia Muziki wa kizazi kipya, ameanza kambi hiyo baada ya kujiunga na Coastal akisaini mkataba wa mwaka mmoja. Nyota huyo amekuwa gumzo kubwa ndani ya jiji la Tanga na kwa mashabiki na wanachama wa Costal kutokana na usajili wa Kiba ambao haukutarajiwa na...

Like
934
0
Saturday, 04 August 2018
Cameroon imethibitisha kufanya mazungumzo na meneja wa zamani wa England -Eriksson
Sports

Cameroon imethibitisha kufanya mazungumzo na kocha wa zamani wa England Sven-Goran Eriksson kuchukua usukani wa kuifunza timu ya taifa hilo Indomitable Lions. Eriksson mwenye umri wa miaka , 70, raia wa Sweden alikuwa na mazungumzo mazuri na maafisa wa Shirikisho la Mpira wa Miguu la Cameroon (Fecafoot) mjini Yaoundé wiki iliyopita waliokuwa wakitaka kuziba pengo lililoachwa baada ya kuondoka kwa Hugo Broos. “Baada ya kukaa saa 72, Sven-Goran Eriksson aliondoka Yaoundé Jumamosi tarehe 28 July 2018,” Fecafool lilieleza kwenye...

Like
449
0
Tuesday, 31 July 2018
UONGOZI WA SIMBA UMEFUGUKA KUHUSU UCHAGUZI WAKE
Sports

Uongozi wa klabu ya Simba umefunguka na kusema kuwa haushinikizwi kufanya uchaguzi wake na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) zikiwa zimesalia siku kadhaa kuelekea mchakato wake kuanza. Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara, amesema wao kama Simba walikuwa wanasubiria katiba yao mpya isajiliwa na serikali hivyo mchakato wa uchaguzi ulisimama kwa muda kuisubiria. Manara ameeleza kuwa wao kama Simba hawawezi kushinikiwa kufanya uchaguzi huo na TFF na badala yake watakutana Agosti 31 kuanza mchakato kamili wa kuunda...

Like
637
0
Tuesday, 31 July 2018
UONGOZI YANGA WAWEKA HADHARANI VIINGILIO VYA MCHEZO DHIDI YA GOR MAHIA
Sports

Uongozi wa klabu Yanga umetangaza viingilio vya mchezo wa mkondo wa pili dhidi ya Gor Mahia FC utakaopigwa Uwanja wa Taifa, Julai 29 2018. Kueleka mchezo huo wa Kombe la Shirikisho Afrika, Ofisa Habari wa Yanga, Dismas Ten, amesema kuwa kiingilio cha chini kabisa kitakuwa ni shilingi 3000 pekee ambacho ni kwa jukwaa la mzunguko. Katika jukwaa la VIP A kiingilio kitakuwa ni Tshs 10,000 huku VIP B na C kikiwa ni 7,000 pekee. Yanga inaenda kucheza mchezo huo ikiwa...

1
592
0
Wednesday, 25 July 2018
BAADA YA MKWASA NA SANGA KUACHIA NGAZI, UONGOZI YANGA WATOA TAMKO JUU YA WATAKAORITHI NAFASI ZAO
Sports

Baada ya viongozi wa Yanga kuzidi kuachia ngazi akiwemo Kaimu Mwenyekiti wa klabu hiyo jana, Clement Sanga kutangaza kujiuzulu wadhifa wake, Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili, Hussein Nyika, ameitisha kikao na wahabari leo. Nyika ameitisha kikao hicho kuzungumzia mustakabali mzima wa Yanga juu ya kujaza nafasi za viongozi wake walioachia ngazi namna utakavyokuwa. Ikumbukwe Yanga imekuwa haina Mwenyekiti kwa muda mrefu tangu kujiuzulu kwa Yusuf Manji akidai anahitaji kupumzika kutokana na kukabiliwa na majukumu mengi binafsi. Baada ya Manji,...

Like
666
0
Tuesday, 24 July 2018
MAKAMU MWENYEKITI WA YANGA CLEMENT SANGA AJIUZULU NAFASI YAKE
Sports

Makamu Mwenyekiti wa Yanga Clement  Sanga amejiuzulu nafasi yake katika klabu hiyo kuanzia leo hii. Amesisitiza kuendelea kuwa mwanachama na kuisaidia klabu ya Yanga katika kila hali. Kwa upande wa hela zinazozungumziwa za Milioni 240 za kutoka CAF, Sanga amesema Yanga imekuwa na changamoto nyingi sana katika upande wa fedha na wamekuwa wana madeni makubwa ambayo wanakatwa katika mapato ya mlangoni ikiwemo Deni la Ardhi na madeni mengine...

1
543
0
Monday, 23 July 2018
Mesut Ozil ajiengua timu ya taifa ya Ujerumani
Sports

Kiungo mshambuliaji wa Arsenal Mesut Ozil amesema hataki tena kuiwakilisha Ujerumani katika michuano ya kimataifa. Katika taarifa ndefu iliyotolewa na Ozil mwenye miaka 29, imesema kufanyiwa vitendo visivyo vya kiungwana na chama cha soka cha Ujerumani DFB, kumemfanya asitake tena kuivaa jezi yao. Ameongeza kuwa amekuwa akilaumiwa sana kwa Ujerumani kufanya vibaya katika michuano ya kombe la dunia. Mwezi May, Ozil alilalamikiwa vikali na mashabiki pamoja na chama cha soka cha Ujerumani kwa kupiga picha na Rais wa Uturuki Recep...

Like
624
0
Monday, 23 July 2018
SIMBA YAMTAMBULISHA KOCHA MPYA KUTOKA UBELGIJI
Sports

Uongozi wa klabu ya Simba umemtangaza rasmi kocha wao mpya, Mbelgiji Patrick Aussems, tayari kuanza kazi ya kuiandaa timu kuelekea mashindano ya Ligi Kuu Bara. Simba wameingia makubaliano ya mkataba wa mwaka mmoja na Aussems akiwa anachukua mikoba ya Mfaransa, Pierre Lechantre ambaye alimaliza muda wake. Hatua hiyo imekuja mara baada ya mabosi wa Simba kugoma kumuongezea mkataba Lechantre ambaye alipewa timu kwa muda wa miezi sita pekee na baada ya kumalizika wakaacha naye. Aussems amesaini mkataba huo mbele ya...

Like
562
0
Friday, 20 July 2018