Slider

WANAWAKE MARA WAASWA KUSHIRIKIANA
Local News

WANAWAKE Mkoani Mara wameaswa kushirikiana kwa pamoja katika shughuli za maendeleo bila kujali tofauti zao za vyama ili kujiletea maendeleo.   Rai hiyo imetolewa na Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Salma Kikwete wakati akiongea na wanawake wa mkoa huo juu ya umuhimu wa ushirikiano katika shughuli mbalimbali.   Mama Salma ambaye ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM kupitia wilaya ya Lindi mjini amesema kuwa masuala yanayowahusu  wanawake hayana itikadi za vyama...

Like
267
0
Monday, 05 October 2015
RAIS KIKWETE AANZA ZIARA NCHINI KENYA
Local News

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, ameanza ziara rasmi ya Kiserikali ya siku tatu katika Jamhuri ya Kenya kwa mwaliko wa Rais wa nchi hiyo, Mheshimiwa Uhuru Muigai Kenyatta ambako miongoni mwa shughuli atakazozifanya ni pamoja na kulihutubia Bunge la Kenya.   Rais Kikwete ameanza ziara yake jana kwa kuungana na Rais Kenyatta kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Barabara ya Taveta-Mwatate ambayo ni sehemu ya barabara inayounganisha Tanzania na Kenya ikianzia Arusha-Holili-Taveta-Mwatate.  ...

Like
750
0
Monday, 05 October 2015
50 CENT ATAJA SABABU ZA KUSHUKA KWA SERIES YA EMPIRE
Entertanment

Rapa 50 Cent ataja sababu za kushuka kwa idadi ya watazamaji wa Series ya Empire Katika post ambayo haikukaa kwa muda mrefu kwenye ukurasa wake wa instagram 50 Cent ambae amekuwa na mgogoro na kituo cha Fox akiwatuhumu kuiba wazo lake la kutengezeza series hiyo ametaja Series hiyo kutawaliwa na matukio mengi ya mapenzi ya jinsia moja kuwa miongoni mwa vitu vinavyoiporomosha. Wakati Series ya Empire inatatambulishwa rasmi ilitajwa kuwa na idadi ya watazamaji milioni 16 lakini idadi hiyo imeshuka...

Like
428
0
Monday, 05 October 2015
LIVERPOOL YAMTIMUA BRENDAN RODGERS
Slider

Klabu ya soka ya Uingereza Liverpool imemtimua meneja wake Brendan Rodgers siku ya jana baada ya kuitumikia klabu hiyo kwa miaka mitatu na nusu. Baada ya maamuzi hayo kufanyika aliyekuwa bosi wa klabu ya Borussia Dortmund, Jurgen Klopp anatazamwa kuwa chaguo la kwanza kuchukua nafasi ya Brendan Rodgers Maamuzi ya kumtimua Rodgers yalifikiwa siku ya jumapili kabla ya kutoka sare ya 1-1 kwenye mchezo wao dhidi ya Everton Uongozi wa klabu hiyo katika maelezo waliyoyatoa wanaamini hayo ni miongoni mwa...

Like
291
0
Monday, 05 October 2015
Slider

Mapenzi ya dhati tumeyashuhudia katika mji wa kihistoria wa Bagamoyo kwenye mchezo wa mpira wa miguu kati ya E-fm Vs Bagamoyo veterani. mchezo huu ulichezwa katika uwanja wa Mwanakalenge hapa Bagamoyo Tunatoa pongezi kwa Bagamoyo Veterani kwa ushindi wa goli 1-0 Burudani inahamia ADON LODGE MAGETI MIA KWENYE MUZIKI MNENE BAR KWA BAR 2015 Leo muziki utaongea kwenye viwanja hivi kwakuwakutanisha Rdj’s na watangazaji wa efm ‪#‎MuzikiMnenebarkwabar2015‬ ni bure hakuna kiingi MATUKIO KATIKA PICHA KIKOSI CHA E-FM KWENYE PICHA YA...

Like
517
0
Saturday, 03 October 2015
MASAIBU YA DIEGO COSTA YAONGEZEKA
Slider

Kocha wa Uhispania Vicente de Bosque amemuacha nje mshambuliaji wa timu hiyo Diego Costa kwa mechi mbili za kufuzu kwa michuano ya mabingwa Ulaya mwaka ujao. Costa anahudumia marufuku ya mechi moja kwa kupata kadi nyingi za njano na alikuwa hawezi kucheza mechi ya kwanza dhidi ya Luxembourg mnamo tarehe 9 mwezi Octoba. Del Bosque:Tumeona tusimshirikishe kwa mechi ya pili dhidi ya Ukraine. ”Hachezi vibaya”,Del Bosque alisema kuhusu Costa,na kuongezea kwamba Uhispania itamshirikisha katika mechi za usoni iwapo kila kitu...

Like
306
0
Saturday, 03 October 2015
MAREKANI: DONALD TRUMP ATANGAZA KUFUKUZA WASYRIA IWAPO ATAPATA RIDHAA YA KUWA RAIS
Global News

DONALD TRUMP amesema atawafukuza wakimbizi kutoka Syria walioko nchini Marekani iwapo atakuwa rais. Bilionea huyo, ambaye kwa sasa anaongoza kwenye kinyang’anyiro cha kusaka tiketi ya kuwania urais kupitia chama cha Republican amesema katika mkutano wa kisiasa kuwa akishinda watarudi kwao. Matamshi hayo ni tofauti na aliyoyatoa mapema mwezi huu akihojiwa na Fox News aliposema Marekani inafaa kuwapokea wakimbizi...

Like
267
0
Thursday, 01 October 2015
TALIBAN YATIMULIWA KUNDUZ
Global News

MAAFISA wa Afghanistan wanasema kuwa wamedhibiti maeneo muhimu ya mji wa kaskazini wa Kunduz kutoka kwa wapiganaji wa Taliban. Oparesheni iliotekelezwa usiku kucha imesababisha kuchukuliwa kwa maeneo muhimu ya serikali mbali na kusababisha uharibifu mkubwa kwa wapiganaji. Lakini wapiganaji wa Taliban wanasisitiza kuwa wanashikilia maeneo makubwa ya mji...

Like
281
0
Thursday, 01 October 2015
121 MBARONI KWA MAKOSA YA KIHALIFU
Local News

JESHI la polisi nchini kwa kushirikiana na ofisi za interpol kanda ya kusini mwa afrika limefanikiwa kukamata jumla ya watuhumiwa 121 kwa makosa mbalimbali ya kihalifu baada ya kufanya operesheni ya pamoja kutokana na maamuzi yaliyoafikiwa kwenye mikutano ya wakuu wa majeshi wa nchi za kusini mwa Africa-SARPCCO. Akizungumza leo jijini dar es salaam, Mkurugenzi wa upelelezi wa makosa ya jinai CP Diwani Athumani amesema kuwa watuhumiwa wamekutwa na vielelezo vya uhalifu zikiwemo nyara za serikali, dawa za kulevya ,...

Like
277
0
Thursday, 01 October 2015
WAZEE WAIOMBA SERIKALI IJAYO KUZINGATIA MAHITAJI MUHIMU
Local News

KATIKA kuadhimisha siku ya wazee dunia leo, baadhi ya wazee waishio jijini dar es Salaam wameiomba serikali ijayo kuhakikisha inazingatia mahitaji muhimu ya wazee nchini ikiwa ni pamoja na kutekeleza ahadi ya huduma bure za matibabu. Wakizungumza na kituo hiki wazee hao wameeleza kuwa ahadi ya huduma bure za afya haijaweza kutekelezeka kwani wazee wengi wakienda kupata matibabu katika hospitali za serikali wanatibiwa magonjwa madogomadogo na yale yanayohitaji vipimo vikubwa na dawa wanatakiwa kujihudumia...

Like
264
0
Thursday, 01 October 2015
MAMA ALIYETELEKEZWA AANZA KUPATIWA MISAADA
Local News

September 30 kwenye kipindi cha Ubaoni ilitoka ripoti ya mama mwenye watoto wanne akieleza jinsi alivyotelekezwa na mume wake na kupelekea yeye na watoto wake kukosa huduma muhimu za kimaisha. Mama huyo aliyejitambulisha kwa jina la Frola Frank alitoa rai yake kwa watanzania wenye nia ya kumsaidia wajitokeze ili waweze kutoa misaada tofauti . Moja ya watanzania ambae Hakutaka jina lake litwaje ni miongoni mwa watu walioguswa na mapito ya maisha ya mama huyu amejitolea kiasi cha shilingi laki nne...

Like
381
0
Thursday, 01 October 2015