Slider

NECTA YATAKA KUZIBWA KWA MIANYA YA UDANGANYIFU KWENYE MITIHANI YA DARASA LA SABA
Local News

IKIWA imesalia siku moja kuanza kwa mitihani ya taifa ya darasa la saba, baraza la mitihani nchini –NECTA– limezitaka kamati za mikoa na wilaya kuhakikisha taratibu zote za mitihani zinazingatiwa kikamilifu ikiwa ni pamoja na kuzuia mianya inayoweza kusababisha udanganyifu. Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es salaam leo, Katibu mtendaji wa baraza hilo Dokta Charles Msonde amesema baraza hilo halitasita kumchukulia hatua mtu yeyote atakaye jihusisha na udanganyifu katika mitihani hiyo ikiwemo kuwafutia matokeo watahiniwa...

Like
260
0
Tuesday, 08 September 2015
ZARIF AKOSOA MAOMBI YA KUMTAKA RAIS BASHAR KUJIUZULU
Global News

WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif, ameyakosoa vikali madai ya kumtaka Rais Bashar al-Assad ajiizulu akisema kuwa wanaoyatoa ndio wenye dhamana ya umwagikaji damu nchini Syria. Akizungumza mbele ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Hispania aliye ziarani nchini Iran José Manuel Margallo,  waziri  Zarif amesema kuwa hakuna suluhisho la kijeshi kwa mzozo wa Syria na kwamba hakuna anayeweza kulazimisha matakwa yake kwa watu wa Syria. Ingawa Zarif hakuitaja nchi yoyote kwa jina, lakini uwezekano mkubwa...

Like
219
0
Tuesday, 08 September 2015
VIFO VINAVYOTOKANA NA KUGONGWA NA NYOKA HUENDA VIKAONGEZEKA DUNIANI
Global News

SHIRIKA la kimataifa linaloshughulikia misaada la Medecins Sans Frontieres, limeonya kwamba vifo vitokanavyo na binadamu kung’atwa na nyoka huenda vikaongezeka duniani. Hali hii inasababishwa na kuisha kwa akiba ya dawa zinazotibu sumu ya nyoka kuenea katika mwili wa binadamu aliyeng’atwa na nyoka wa aina mbalimbali. Aidha taarifa zinaeleza kwamba jumla ya watu laki moja duniani hupoteza maisha kila mwaka kutokana na tatizo hilo ambalo limeanza kukithiri katika maeneo...

Like
312
0
Tuesday, 08 September 2015
MZEE WA MIAKA 55 MABARONI KWA KUMBAKA MTOTO
Local News

JESHI la polisi mkoani Iringa lina mshikilia mtu mmoja anayefahamika kwa jila la Augustino kavindi mwenye umri wa miaka 55 makazi wa Tanangozi kwa tuhuma za kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka mitatu na kumsababishia maumivu makali mtoto huyo.   Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa polisi mkoani humo Ramadhan Mungi amesema kuwa kuwa kabla ya jeshi la polisi kumkamata mtuhumiwa huyo alinusurika kuuwawa na wananchi wenye hasira kali kwa kutokana na kitendo hicho.   Wakati huo huo mwili...

Like
208
0
Tuesday, 08 September 2015
WANANCHI WATAHADHARISHWA KUWA MAKINI NA WATU WANAOCHOCHEA CHUKI
Slider

MAKAMU wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amewatahadharisha wananchi kuwa makini na watu wanaochochea chuki miongoni mwa jamii. Balozi Seif Ali Iddi ametoa tahadhari hiyo wakati akizungumza na wananchi katika kijiji cha Kwale wilaya ya micheweni mkoa wa kaskazini Pemba ikiwa ni moja ya kukamilisha ahadi yake ya kuwatembelea wananchi hao. Akiwa kijijini hapo Balozi Seif amesema kuwa wapo watu wenye fikra potofu ambao wamechoka kuona Taifa likiwa na Amani hivyo wanatumia njia mbalimbali za uchochezi...

Like
191
0
Tuesday, 08 September 2015
US OPEN: ANDY MURRAY ATOLEWA
Slider

Mcheza Tenisi Andy Murray ameyaaga mashindano ya US Open baada ya kuchapwa na Kevin Anderson wa Afrika ya kusini. Mwingereza huyo ameondolewa katika michezo hiyo baada ya kubugizwa seti 7-6 (7-5) 6-3 6-7 (2-7) 7-6 (7-0). Katika upande wa wanawake mwingereza mwingine Johanna Konta akapokea kichapo cha 7-5 6-3 kutoka kwa Petra Kvitova wa Czech. Sasa Kelvin Anderson anatakutana na Wawrinka ambaye amempiga mmarekani Donald Young. Ukiacha mchuano huo, nadhani pambano linalosubiriwa na wengi sasa ni linalowakutanisha mabinti wa Mzee...

Like
186
0
Tuesday, 08 September 2015
NDEGE YA KWANZA ISIYO NA RUBANI YA PAKISTAN YAFANYA SHAMBULIO
Global News

NDEGE ya kwanza isiyo na rubani iliyotengenezwa nchini Pakistan imewashambulia na kuwauwa watu watatu wanaoshukiwa kuwa waasi kaskazini magharibi mwa nchi hiyo hii leo. Kawaida, ndege za aina hiyo za Kimarekani ndizo hufanya mashambulizi kwenye mkoa wa Waziristan karibu na mpaka wa Afghanistan, lakini sasa jeshi la Pakistan limeanza kutumia ndege zake kwenye eneo la Bonde la Shawal. Ndege hiyo ilijaribiwa mara ya kwanza mapema mwaka huu, lakini operesheni zake zikasitishwa baada ya wasiwasi kuzuka juu ya uhakika...

Like
246
0
Monday, 07 September 2015
KESI YA HABRE YAANZA LEO
Global News

KESI inayomkabili aliyekuwa rais wa Chad, Hissène Habré dhidi ya uhalifu wa binadamu, kivita na mateso, imeanza kusikilizwa leo. Siku 45 baadaye mawakili watatu walioteuliwa wamepata muda wa kutosha kuiangalia kesi hiyo lakini mteja wao hawatambui na amekataa kuwasiliana nao. Jaji wa mahakama ya Burkinabe, Gberdao Gustave Kam ataamua iwapo kesi hiyo itaendelea bila upande wa utetezi wa Hissene...

Like
191
0
Monday, 07 September 2015
KINANA AWATAKA WANANCHI KUENDELEA KUIAMINI CCM
Local News

WAKATI zoezi la uzinduzi wa kampeni za vyama mbalimbali likiendelea nchini Katibu mkuu wa chama cha mapinduzi–CCM-ABDULRAHMAN KINANA amewaomba wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro kuendelea kukiamini chama hicho kwani kitaboresha shughuli za kuwaletea maendeleo.   Kinana ameyasema hayo mkoani humo wakati wa uzinduzi wa kampeni za ubunge na Urais jimbo la Moshi mjini na kusema kuwa chama cha CCM kimeandaa Ilani yenye lengo la kusuluhisha na kumaliza kero za...

Like
207
0
Monday, 07 September 2015
TANESCO YAWATAKA WANANCHI KUFUATILIA KWA MAKINI TAARIFA ZINAZOTOLEWA NA SHIRIKA HILO
Local News

SHIRIKA la umeme Tanzania-TANESCO-limewataka watanzania kufuatilia kwa makini taarifa sahihi zinazotolewa na shirika hilo juu ya zoezi la uboreshaji wa huduma ya umeme linaloanza leo.   Akizungumza na kituo hiki, Meneja uhusiano wa Tanesco SEVELINE ADRIAN amesema kuwa oezi hilo litasaidia kuboresha kwa kiasi kikubwa huduma ya umeme na kwamba halitaathiri shughuli za wananchi kujiletea...

Like
211
0
Monday, 07 September 2015
WASIKILIZAJI WA EFM WALIOJISHINDIA JEZI ZA TAIFA STARS
Slider

Picha kutoka kulia ni bwana Wilfred Makalanga kutoka Yombo alieshinda kwenye kipindi cha E sports Picha kutoka kulia ni bwana Hamisi Ndunda mkazi wa Kiwalani alijipatia jezi yake kutoka kwenye kipindi cha Mezani kinaruka kila jumamosi kuanzia saa mbili...

Like
640
0
Monday, 07 September 2015