Slider

WANANCHI WAMETAKIWA KUWA MAKINI NA KUZINGATIA MATUMIZI SALAMA YA MITANDAO
Local News

IKIWA Zimebaki saa chache  kuanza kutumika kwa sheria ya makosa ya mitandao na miamala ya kielektroniki, Watanzania Nchini wametakiwa kuwa makini na Kuzingatia matumizi salama na sahihi ya mitandao ili kujiepusha na adhabu zitakazo tolewa kwa yeyote atakaye kiuka sheria hiyo Akizungumza na waandishi wa habari leo, jijini Dar es salaam, Waziri wa Mawasiliano ya Sayansi na Technolojia PROFESA MAKAME MBARAWA amesema  kuwa Sheria hiyo itasaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza na hatimaye kuondoa kabisa matumizi mabaya ya mitandao na kwamba...

Like
178
0
Monday, 31 August 2015
RAIS KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI KWENYE UJENZI WA MAKAO MAKUU YA ULINZI WA TAIFA
Local News

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo asubuhi, ameweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa  eneo la Makongo Juu, Kambi ya Jeshi ya Lugalo, Dar es Salaam. Akizungumza katika Ujenzi huo wa Makao Makuu ya Ulinzi ambao dhana yake ni ya siku nyingi utagharimu kiasi cha dola za Marekani milioni 55 na utachukua miaka miwili kukamilika, Rais Kikwete amesema kuwa amefurahi kuona ndoto ya miaka...

Like
578
0
Monday, 31 August 2015
MZOZO WAIBUKA KATI YA HUNGARY, UFARANSA
Global News

MZOZO wa kidiplomasia umeibuka kati ya Hungary na Ufaransa juu ya uamuzi wa Hungary kuweka ukuta katika mpaka wake na Serbia ili kuzuia kuingia wahamiaji haramu. Waziri wa mambo ya nje wa Ufaransa Laurent Fabius amesema kuwa ujenzi wa ukuta huo  ni ukiukaji wa maadili ya nchi za ulaya. Hata hivyo mwenzaeke kutoka upande wa Hungary Peter Szijjarto ameelezea kushangazwa kwake na madai hayo nakusema kuwa bara la Ulaya linastahili kushirikiana kukabiliana na tatizo la uhamiaji haramu badala ya kuelekezeana...

Like
159
0
Monday, 31 August 2015
IS WALIPUA MADHABAHU SYRIA
Global News

WAPIGANAJI wa dola ya kiislamu IS, wanadaiwa kulipua sehemu ya madhabahu ya kidini katika mji wa Syria wa Palmyra. Kundi la kutetea haki za binadamu nchini Syria limesema kuwa wanamgambo hao wametumia mabomu kulipua hekalu hilo la kiroma ya Bel. Islamic State waliuteka mji wa Palmyra mwezi Mei na kuzua hofu ya kushambuliwa madhabahu hayo....

Like
217
0
Monday, 31 August 2015
NEC KUWEKA WAZI DAFTARI LA AWALI LA WAPIGA KURA UNGUJA NA PEEMBA
Local News

TUME ya Taifa ya Uchaguzi inatarajia kuweka Wazi Daftari la Awali la Wapiga Kura katika Mikoa yote ya Unguja na Pemba kuanzia Septemba 3 hadi hadi 7 mwaka huu ili Umma uweze kupata nafasi ya kulikagua Daftari hilo na kutoa taarifa za kufanyiwa marekebisho pale inapostahili.   Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Tume hiyo nchini imesema kuwa Daftari hilo litawekwa wazi katika Ofisi za Shehia zilizopo Unguja na Pemba kisiwani Zanzibar.   Wakati wa uhakiki Mpiga kura anaweza kuhakiki...

Like
208
0
Monday, 31 August 2015
RAIS KIKWETE ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA KANALI MSTAAFU AYUBU SHOMARI
Local News

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi kuombeleza kifo cha mwanasiasa mkongwe na aliyekuwa mbunge wa muda mrefu wa Jimbo la Mafia, Mkoa wa Pwani, Kanali mstaafu Ayubu Shomari Mohamed Kimbau aliyeaga dunia jana katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Jijini Dar es Salaam.   Katika salamu zake kwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani Engeneer Evarist Ndikilo, Rais Kikwete ameeleza kusikitishwa kwake na taarifa za kifo cha Mzee Kimbau ambaye kwa miaka...

Like
271
0
Monday, 31 August 2015
MICHUANO YA AFRIKA CONGO BRAZAVILE ,TANZANIA NI NDOTO KUPATA MEDALI KWENYE MASUMBWI
Slider

Na Omary Katanga Michuano ya afrika maarufu kama All African Games,inafunguliwa rasmi septemba 4 mwaka huu katika uwanja wa New Kintele nchini Congo Brazavile ,kwa mataifa yote 54 ya afrika kushiriki katika mashindano hayo. Tanzania ni miongoni mwa mataifa hayo ambayo itapeleka timu za michezo mbalimbali ikiwemo mpira wa miguu,Riadha,Judo,Masumbwi na mingine mingi,lakini kwa hali jinsi ilivyo hakuna uhakika hata kidogo wa kuambulia medali ya aina yeyote kutokana na idadi ndogo ya wachezaji waliopangwa kushiriki mashindano hayo mwaka huu. Hebu...

Like
276
0
Monday, 31 August 2015
SHIRIKISHO LA RIADHA KENYA YALAUMIWA
Slider

Wakili aliyeongoza jopo lililochunguza sakata ya utumizi wa dawa zilizoharamishwa michezo nchini Kenya, Moni Wekesa, amesema kuwa shirikisho la mchezo wa riadha nchini Kenya, AK limeshindwa kukabiliana na janga hilo. Wekesa amesema kwamba tukio la kukamatwa na hatimaye kupigwa marufuku kwa wanariadha wawili wa Kenya mjini Beijing ni tukio la aibu na linaiharibia Kenya sifa. Hata hivyo amesema tangu matokeo ya jopo lake kutolewa, Kenya imepiga hatua kukabiliana na janga hilo ila wakuu wa michezo nchini humo wamezembea. Ameitaka serikali...

Like
235
0
Friday, 28 August 2015
STARS YAFA KIUME UTURUKI
Slider

Kocha wa timu ya taifa ya Tanzania taifa stars charles boniface mkwasa amesifia kuimarika kwa safu ya ushambuliaji ya timu hiyo baada ya kuonesha makali katika mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya taifa ya libya. Mkwasa amesema kuwa kuna matumaini makubwa ya kupata matokeo mazuri katika mchezo wa kuwania AFCON 2017 dhidi ya Nigeria baada ya washambuliaji hao kufanya vyema katika mchezo huo wa kirafiki pamoja na kupoteza kwa goli mbili kwa moja. Aidha mkwasa amewatoa hofu watanzania kuelekea...

Like
222
0
Friday, 28 August 2015
UN KUCHUNGUZA MASHAMBULIZI YA KEMIKALI SYRIA
Global News

KATIBU MKUU wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon ameliambia Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwamba anapanga kuchunguza mashambulizi ya kemikali nchini Syria. Ban Ki – Moon ameuelezea mpango wake wa kuwabaini wahusika wa mashambulizi hayo, katika barua yenye kurasa saba. Hatua hiyo imetangazwa baada ya baraza hilo la usalama kuidhinisha azimio kuhusu Syria, mwanzoni mwa mwezi...

Like
201
0
Friday, 28 August 2015
ZAIDI YA WAHAMIAJI 200 WAANGAMIA LIBYA
Global News

ZAIDI ya watu mia mbili wanahofiwa kufariki baada ya boti mbili iliyokuwa imebeba wahamiaji haramu kuzama katika eneo la Zurawa pwani ya Libya. Mamia ya wahamiaji wengine wameokolewa na wanamaji wa Libya usiku wa kuamkia leo. Kwa zaidi ya mwaka mmoja Libya haijakuwa na serikali thabiti na sehemu kubwa ya nchi hiyo inathibitiwa na wanamgambo wa Kiislamu, na walanguzi wa watu wanatumia nafasi hiyo kusafirisha watu kimagendo hadi...

Like
208
0
Friday, 28 August 2015