Slider

SCHWEINSTEIGER ATHIBITISHA KUHAMIA UNITED
Slider

Bastian Schweinsteiger alithibitisha Jumapili kwamba ataondoka na Bayern Munich na kujiunga na Manchester United, ikitegemea matokeo ya uchunguzi wa afya yake, licha ya kwamba mabingwa hao wa Ujerumani wamepoteza mechi mbili zao za kwanza za kabla ya msimu wakicheza bila yeye. Bayern walitangaza Jumamosi kwamba walikuwa wameafikiana kuhusu bei ya mchezaji huyo mwenye miaka 30, ambaye atafikisha kikomo kipindi chake cha miaka 17 katika klabu hiyo na kutia saini mkataba wa miaka mitatu na klabu hiyo ya Uingereza. Kiungo huyo wa...

Like
216
0
Monday, 13 July 2015
MANCHESTER CITY YAKUBALI KUMSAJILI RAHEEM STERLING
Slider

Manchester City imekubali dili la kumsajili mshambuliaji wa England Raheem Sterling kwakitita cha pound 49 million deal kutoka kwa wapinzani wao Liverpool nah ii ni kwa mujibu wa vyanzo vya habari vya nchini Uingereza. Mchezaji huyu mwenye umri wa miaka 20 hakuondoka na kikosi cha Liverpool kwenye ziara ya klabu hiyo huko Asia na Australia baada ya kutajwa kwenye...

Like
200
0
Monday, 13 July 2015
SOMALIA KUFUNGUA KESI YA MPAKA KATI YAKE NA KENYA
Global News

SERIKALI ya Somalia leo hii itafungua rasmi kesi dhidi ya kenya katika Mahakama ya kimataifa kufuatia mgogoro wa mpaka baina ya nchi hizo mbili. Taarifa zaidi kutoka BBC zinaeleza kuwa Somalia inailamu kenya kuwa inamiliki sehemu ya bahari ya nchi hiyo kwa njia isiyo halali ingawa Mgogoro huu umefikia kipindi cha miaka sita sasa. Somalia inaipeleka Kenya katika mahakama ya kimataifa huko The Hague Uholanzi kwa madai kwamba kenya imekataa usuluhishi nje ya mahakama....

Like
216
0
Monday, 13 July 2015
MEXICO YAANZA MSAKO MKALI KUMSAKA MUUZA MIHADARATI
Global News

SERIKALI nchini Mexico imeanza msako mkali wa kumtafuta Joaguin Guzman ambaye ni maarufu wa biashara ya dawa za kulevya duniani, kufuatia kutoroka katika gereza lenye ulinzi mkali mwishoni mwa wiki. Helikopta za Blackhawk ambazo zimeonekana kuruka juu gerezani Altiplano magharibi ya Mexico City mahali alipokuwa ameshikiliwa mfanyabiashara huyo. Wafanyakazi wa magereza wamehojiwa baada ya kubainika kuwa Joaguin alitoroka kupitia njia ya chini ya ardhi yenye urefu wa kilomita moja na hii ni mara ya pili kwake...

Like
265
0
Monday, 13 July 2015
WAZAZI WATATUA TATIZO LA UKOSEFU WA MATUNDU YA VYOO SHULENI IRINGA
Local News

WAZAZI wa wanafunzi wanaosoma shule za msingi Mgongo na Kigonzile, Kata ya Nduli manispaa ya Iringa wamefanikiwa kutatua tatizo la ukosefu wa matundu ya vyoo lililokuwa linawasumbua kwa kipindi kirefu.   Wakizungumza na kituo hiki wazazi hao wamesema kwa kipindi kirefu shule hizo zilikuwa zikikabiliwa na uhaba mkubwa wa matundu ya vyoo jambo ambalo lingeweza kusababisha magonjwa ya mliuko.   Naye diwani wa kata hiyo Bashir Mtove amesema kutokana na tatizo hilo kukithiri shuleni hapo mikakati mbalimbali imetumika ikiwemo...

Like
254
0
Monday, 13 July 2015
TRA KUKUSANYA KODI KUFIKIA MALENGO YA KUIWEZESHA SERIKALI
Local News

MAMLAKA ya mapato Tanzania –TRA– imedhamiria kufikia malengo yake katika ukusanyaji wa kodi ili kuiwezesha serikali kufikia shilingi trilioni 22.3 iliyojiwekea katika bajeti ya mwaka wa fedha 2015/2016.   Hayo yamesemwa Jijini Dar es Salaam na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania  Rished Bade wakati wa Semina ya wahasibu iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania na Bodi ya Taifa ya wahasibu na wakaguzi –NBAA– kwa lengo la kujadili kuhusu masuala ya kodi, bajeti na uchumi kwa ujumla.   Naye...

Like
440
0
Monday, 13 July 2015
ALL AFRICA GAMES MAKUNDI YAPANGWA
Slider

Upangaji wa makundi wa soka ya wanawake ya Michezo ya Afrika (All Africa Games) itakayofanyika nchini Congo Brazzaville kuanzia Septemba 4-19 umefanywa na Shirikisho la soka barani Afrika, CAF na timu ya taifa ya soka ya wanawake ya Tanzania, Twiga Stars imepangwa Kundi A pamoja na wenyeji Kongo, Nigeria na Ivory Coast. Upangaji wa makundi hayo umefanyika leo makao makuu ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) mjini Cairo, Misri. Kundi B lina timu za Cameroon, Afrika Kusini, Ghana na Misri....

Like
224
0
Friday, 10 July 2015
MBABAZI NA BESIGYE WASHIKILIWA NA POLISI UGANDA
Global News

POLISI  nchini Uganda imewakamata viongozi wawili wa upinzani na wagombea wa urais wanaotazamiwa kupambana dhidi ya rais Yoweri Museveni katika uchaguzi ujao. Gazeti la serikali la New Vision limeripoti kuwa waziri mkuu wa zamani Amama Mbabazi amekamatwa na polisi katikati mwa Uganda, wakati Kizza Besigye, kiongozi wa zamani chama cha Forum for Democratic Change FDC, alikamatwa nyumbani kwake nje ya mji mkuu Kampala. Dr. Kizza...

Like
236
0
Thursday, 09 July 2015
MAMLAKA YA MAJI SAFI NA MAJI TAKA YAANZISHA MFUMO MPYA WA KULIPA BILI KWA NJIA YA SIMU
Local News

MAMLAKA ya Maji Safi na Maji Taka-DAWASO imeanzisha mfumo mpya wa kutuma na kulipia bili za maji kwa njia ya simu ili kurahisisha huduma za ulipiaji maji kwa wananchi. Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam leo Kaimu Meneja Uhusiano DAWASCO, EVERLASTING  LYARO amesema kuwa kwa sasa huduma hiyo inapatakana katika mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Bagamoyo lakini pia ni maalum kwa watu wa...

Like
497
0
Thursday, 09 July 2015
UMATI YAANZISHA MKOBA KUSAIDIA HUDUMA ZA AFYA YA UZAZI
Local News

KATIKA kuhakikisha huduma za afya  ya uzazi zinawafikia akina mama na vijana waishio pembezoni mwa miji na Vijijini, Chama cha Uzazi na Malezi – UMATI, kimeanza kuendesha huduma mkoba itakayowarahisishia watu wa makundi hayo kufikiwa na huduma kiurahisi katika makazi yao. Akizungumza na EFM Mkurugenzi wa -UMATI- Lulu Mwanakilala amesema katika huduma Mkoba Wataalamu wa afya watawafata akina mama na Vijana katika makazi yao wakiwa na vifaa vyote vya kutolea huduma za afya ya uzazi kwa lengo la kuwapunguzia safari...

Like
279
0
Thursday, 09 July 2015
SERIKALI YARIDHIA KUANZISHWA KWA BAADHI YA WILAYA NA MIKOA MIPYA
Local News

SERIKALI imeridhia kuanzishwa kwa baadhi ya wilaya na mikoa mipya kwa lengo la kusogeza karibu huduma muhimu kwa wananchi ili kuleta manufaa kwa Taifa. Akizungumza wakati akitoa hoja ya kuahirisha kikao cha bunge Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Mizengo Pinda amezitaja baadhi ya wilaya mpya kuwa ni Ubungo na Kigamboni za Jijini Dar es salaam. Waziri Pinda amesema kwamba mpango huo wa kuongeza wilaya na mikoa mipya utasaidia kwa kiasi kikubwa katika kuboresha utendaji wa shughuli...

Like
480
0
Thursday, 09 July 2015