Slider

MAN CITY YAICHAPA SWANSEA 4-2
Slider

Matokeo ya Mechi mbili za ligi kuu ya England zilizochezwa hapo jana,Manchester City iliwachabanga Swansea mabao 4-2 . Ni Wilfried Bony ambaye mnamo dakika ya 90 lililopigilia msumali wa moto kwa Swansea baada ya kufunga bao la nne.Lakini Yaya Toure yeye alizifumania nyavu mara mbili dakika 21 na 74. , James Milner naye akifunga mnamo dakika ya 36. Huku katika mechi ya pili Arsenal wakitoa sare ya bao 1-1 dhidi ya Man united,ambapo kwa matokeo hayo sasa Arsenal wanaendelea kujiimarisha...

Like
210
0
Monday, 18 May 2015
STARS KUKIPIGA NA SWAZILAND
Slider

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imeendelea na mazoezi katika uwanja wa Olympia Park kujiandaa na mchezo wa fungua dimba dhidi Swaziland katika michuano ya COSAFA Kocha mkuu wa timu ya Taifa Stars Mart Nooij amesema vijana wake wanaendelea vizuri na mazoezi, ikiwa leo ni siku ya pili. kocha Nooij amesema hali ya uwanja ni nzuri, uwanja una nyasi nzuri hali inayopelekea kikosi chake kufanya mazoezi katika mazingira mazuri. Akiongelea mchezo wake wa kwanza wa ufunguzi dhidi ya timu...

Like
230
0
Friday, 15 May 2015
CHELSEA YAFUNGUA MILANGO KWA PETR CECH
Slider

Golikipa Petr Cech anaweza kumaliza miaka yake 11 ndani ya klabu ya Chelsea baada ya kuruhusiwa kufanya mazungumzo na timu inayomtaka. Wakala ya kipa huyo Viktor Kolar,amethibitisha kuruhusiwa kufanya mazunguzo na timu yoyote inayomuhitaji . “Nina thibitisha tumeruhusiwa kufanya mazungumzo na klabu inayomuhitaji Cech japo anamkataba unaomalizika mwishoni mwa mwaka”alieeza wakala wa kipa huyo. Wiki iliyopita Kocha wa Chelsea Jose Mourinho alisema anamuhitaji kipa huyo kuendelea kuitumika klabu hiyo. Cech mwenye miaka 32 alijiunga na Chelsea...

Like
230
0
Friday, 15 May 2015
WATANZANIA WATAKIWA KUTOYUMBISHWA NA MISIMAMO  YA WANASIASA
Local News

WATANZANIA wametakiwa kutoyumbishwa na misimamo mbalimbali ya viongozi wa kisiasa na badala yake waendelee kuwa na imani na serikali yao kwakuwa imejidhatiti katika kusimamia maslahi ya Taifa. Hayo yamesemwa leo Bungeni mjini Dodoma na Mbunge wa jimbo la Sengerema mheshimiwa WILLIAM NGELEJA wakati akichangia hoja ya Bajeti ya ofisi ya Waziri mkuu na kusema kuwa serikali imedhamiria kuboresha mipango mbalimbali itakayosaidia kuleta maslahi kwa kila...

Like
327
0
Friday, 15 May 2015
MAWAZIRI WASHIRIKI KUPANDA BANGI YA KIHISTORIA JAMAICA
Entertanment

Kwa mara ya kwanza katika historia huko Jamaica chuo kimoja cha utafiti wa mambo ya sayansi na tiba (UWI) University of the West Indies nchini humo kimepanda bangi katika ardhi ya chuo. Siku ya tarehe 20 mwezi huu april kwenye kampasi moja ya chuo hicho bangi ilipandwa na waziri wa sayansi, teknolojia, nishati na madini mh. Phillip Paulwell lakini pia waziri wa sheria bwana Mark Golding pamoja na maofisa wa chuo hicho warishiki katika sherehe hizo zilizofanywa kwenye kitivo cha...

Like
484
0
Wednesday, 22 April 2015
TGNP: VITUO VYA TAARIFA VIMESAIDIA KUFICHUA MAMBO YALIYOJIFICHA NA KUYAFANYIA KAZI
Local News

MTANDAO wa jinsia Tanzania TGNP umesema kuwa kuwepo kwa vituo vya taarifa na Maarifa katika vijiji na sehemu mbalimbali nchini, kumeweza kusaidia kuleta mabadiliko kwa kufichua mambo  yaliyojificha na kuyafanyia kazi. Akizungumza Jijini Dar es Salaam Mkurugenzi wa Mtandao wa TGNP LILIAN LIUNDI amesema kuwa, kama Serikali za Vijijini ,Kata na Mitaa vitaona umuhimu wa kutoa vipaumbele, vituo hivyo wataweza kutatua kero mbalimbali zinazowakabili wananchi hasa wa Vijijini. LIUNDI amewaomba Viongozi wa Serikali za Mitaa kutoa ushirikiano kwenye...

Like
271
0
Wednesday, 22 April 2015
SERIKALI IMEOMBWA KUBORESHA MASLAHI YA WAALIMU WANAOFUNDISHA ELIMU MAALUMU
Local News

SERIKALI imeombwa kuboresha maslahi ya Walimu wanaofundisha Elimu maalumu kama vile Wasiosikia na Wasiiona,  ili walimu wengi wanaomaliza vyuoni wawe na ari ya kuweza kwenda  kufundisha katika shule hizo. Rai hiyo imetolewa  Jijin Dar es Salaam na Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mugabe Kitengo Wasiosikia ,PHILBETH ANDREW wakati akizungumza na Efm ofisini kwake. Amesema endapo Serikali itaona umuhimu na kuamua kulitilia mkazo suala hilo, itaweza kuondoa upungufu wa Walimu katika shule za Elimu...

Like
225
0
Wednesday, 22 April 2015
BAJETI YA MWISHO YA SERIKALI YA AWAMU YA NNE KUJADILIWA NA KUCHAMBULIWA WIKI IJAYO
Local News

BAJETI ya  mwisho kwa Serikali ya awamu ya Nne ya Rais JAKAYA KIKWETE, inatarajiwa kujadiliwa na kuchambuliwa wiki ijayo  huku ratiba ya Bunge ya Bajeti ikionesha itajadiliwa kwa siki 44.   Tayari Kamati za Kudumu za Bunge zinatarajia kuanza kuijadili kuanzia April 27 hadi Mei 9 mwaka huu, kabla ya wabunge kuanza kuijadili bungeni.   Taarifa ambayo imeifia Kituo hiki, kutoka Ofisi za Bunge imeeleza kuwa, Kamati hizo zitaichambua Bajeti hiyo inayohitimisha Utawala wa Serikali ya Rais KIKWETE jijini Dar...

Like
213
0
Wednesday, 22 April 2015
JK KUHUDHURIA KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA USALAMA NA USAFI MAHALI PA KAZI
Local News

RAIS JAKAYA KIKWETE anatarajia kuwa mgeni rasmi katika kilele cha maadhimisho ya siku ya Usalama na Usafi Mahali Pa Kazi,yanayotarajiwa kufanyika Jumanne ijayo mwaka huu, katika Viwanja vya Jamuhuri mkoani Dodoma.   Akizungumza jijini Dar es salaam,Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Usafi na Usalama Mahali Pa Kazi-OSHA,ALEX MGATA,amesema maadhimisho hayo yatatanguliwa na maandamano yatakayoanzia viwanja vya Bunge na kuishia Uwanja wa Jamuhuri.   Ametaja Kauli Mbiu ya Maadhimisho hayo kuwa ni Jiunge katika Kujenga Utamaduni wa Kinga Mahali...

Like
234
0
Wednesday, 22 April 2015
STEPHEN KESHI AREJEA KUINOA NIGERIA
Slider

Stephen Keshi ateuliwa kuwa kocha wa timu ya taifa ya Nigeria siku ya jumanne kwa mara ya tatu kwa mkataba wa miaka miwili. Mafanikio yake ya kwanza katika kikosi hicho ni mwaka 2013 aliposhinda kombe la mataifa ya Afrika lakini mkataba wake haukuongezwa tena baada ya kombe la dunia mwaka 2014. Baadae alirejea katika nafasi yake kuinoa timu hiyo kwa michezo tofauti tofauti ambapo makubaliano yaliishia mwezi November baada ya kulikosa kombe la mataifa ya Afrika Keshi alisema ni mwanzo...

Like
256
0
Wednesday, 22 April 2015
UEFA CHAMPIONS LEAGUE: JUVENTUS VS MONACO, ATLETICO MADRID VS REAL MADRID
Slider

Uefa champions league kivumbi kuendelea leo katika mechi nyingine za robo fainali pale Juventus ya Utaliano itakaposhuka dimbani kupambana na klabu ya Monaco ya Ufaransa. Wakati mabingwa watetezi wa real Madrid watakuwa wenyeji wa mahasimu wao Atletico Madrid kwenye dimba la...

Like
321
0
Wednesday, 22 April 2015