Slider

YEMEN: WAASI WAIKASHIFU SAUDI ARABIA
Global News

HOSPITALI kwenye mji wa bandari wa Yemen, Aden zimeripotiwa kuishiwa na bidhaa muhimu za matibabu wakati mapigano kati ya vikosi vya serikali vinavyoungwa mkono na Saudi Arabia na waasi wa Shia wa Houthi yanaongezeka. Makundi ya kutoa huduma za matibabu yamelemewa na idadi ya wagonjwa wanaolazwa na yametoa wito kwa dawa zaidi na vifaa vingine vya matibau. Kiongozi wa waasi ameikashifu Saudi Arabia kwa kujaribu kuivamia na kuiteka nchi ya Yemen....

Like
231
0
Monday, 20 April 2015
SOMALIA: SHAMBULIZI LAUA WATU SABA
Global News

POLISI nchini Somalia wanasema kuwa takriban watu Saba wameuawa kwenye shambulizi lililolenga gari la Umoja wa Mataifa katika eno linalojisimamia la Puntland. Shirika la kuhudumia watoto la Umoja wa Mataifa limesema kuwa wanne kati ya wafanyakazi wake waliuawa wakati mlipuko mkubwa ulipolipua basi kwenye mji ulio kaskazini mashariki wa Garowe. Shirika hilo linasema kuwa wale waliokufa wanatoka nchi tofauti. Kundi la wanamgamo wa Al shabaab linasema kuwa ndilo lililoendesha shambulizi hilo....

Like
186
0
Monday, 20 April 2015
JAMII YAOMBWA KUTODHARAU ELIMU NA KUHAKIKISHA WATOTO WANASOMA KWA BIDII
Local News

JAMII imeombwa kutodharau Elimu na kuipa kipa umbele kwa kuhakikisha kuwa watoto wanasoma kwa bidii ili na kutimiza ndoto zao za maisha kwakuwa maendeleo na mabadiliko ya Taifa yanategemea sana elimu na uwepo wa watoto wenye afya ya mwili na akili. Hayo yamesemwa leo jijini Dar es salaam na Mwenyekiti wa Muungano wa vijana wa maendeleo na ushirikiano Tanzania-TAYDCO katika kampeni maalum ya Malaria ya kusaidia watoto wasiojiweza kama walemavu na yatima. Akizungumza na Efm, Mwenyekiti wa Taasisi hiyo, Aloyce...

Like
276
0
Monday, 20 April 2015
TAIFA LITAPIGA HATUA IWAPO KILA MTU ATAWAJIBIKA KWA NAFASI YAKE KATIKA KAZI
Local News

IMEELEZWA kuwa iwapo kila mtu kwenye nafasi yake ya kazi atakaa nakujua anapaswa kufanya nini, akafanya kazi yake vizuri kama inavyostahili Taifa linaweza likapunguza kama sio kumaliza kabisa changamoto mbalimbali zinazokwamisha maendeleo na kuwezesha Taifa kupiga hatua kubwa. Hayo yamesemwa leo jijini Dar es salaam na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mheshimiwa Anna kilango Malechela alipotembelea Mamlaka ya Elimu ya Tanzania-TEA. Akizungumza na waandishi wa habari Mheshimiwa Malechela amesema hakuna sababu ya kuita Tanzania kuwa ni...

Like
203
0
Monday, 20 April 2015
TEMESA YATAKIWA KUWEKA WAZI HUDUMA ZAKE KWA JAMII
Local News

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,Mhandisi MUSSA IYOMBE,ameutaka Uongozi wa Wakala wa Ufundi na Umeme nchini-TEMESA,kutangaza huduma wanazozitoa ili jamii inufaike na huduma hizo kwa wakati na gharama nafuu. Akizungumza na Menejimenti ya TEMESA jijini Dar es salaam,Mhandisi IYOMBE, amesisitiza Wakala huo kuwa na Wafanyakazi wenye Weledi,waliokabidhiwa Mamlaka kamili na wabunifu ili kuhuisha huduma na kujiongezea mapato. Pia ameagiza TEMESA kuimarisha uhusiano wake na jamii hasa sekta binafsi ili kubadili mtazamo uliopo sasa kuwa wakala huo...

Like
226
0
Monday, 20 April 2015
MASABURI AWACHAMBUA WATU WANAOJIPITISHA KUGOMBEA NAFASI ZA UONGOZI
Local News

MWENYEKITI  wa Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania-ALAT na Meya wa jiji la Dar es salaam,Dokta DIDAS MASABURI,amewachambua watu mbalimbali wanaojipitisha kugombea nafasi mbalimbali za uongozi,ikiwemo ya Urais. Dokta MASABURI amewataka Watanzania hasa vijana kuwa macho na watu wanaojipitisha mtaani na kujiita wao wagombea,huku akifafanua hivi sasa kuna wagombea na wale wanaoupapatikia uongozi nchini. Mwenyekiti huyo  ametoa kauli hiyo wakati akifungua mkutano wa Baraza la Jumuiya ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi-UVCCM,Kata ya Sandal,ambapo...

Like
259
0
Monday, 20 April 2015
MAWAZIRI WA FEDHA WAWEKA MISIMAMO YAO JUU YA SERA ZINAZOWEKWA NA BENKI YA DUNIA
Local News

WAKATI Mikutano ya Benki ya Dunia na Shirika la Kifedha la Kimataifa ikiendelea Mjini Washington DC,Mawaziri wa Fedha wameweka misimamo yao juu ya sera ambazo zinawekwa na Benki ya Dunia. Akizungumza na Vyombo vya Habari,Waziri wa Fedha wa Tanzania SAADA SALUM MKUYA, amesema wao kama nchi wamewasilisha walichoona katika utekelezaji wa mipango ya Benki. Amesema wanaishukuru sana Benki ya Dunia kwa kuendeleza mipango ya kuweza kusaidia nchi za Kiafrika ,hususan kwenye mipango ya kujenga Miundo Mbinu ya Kiuchumi kama vile...

Like
209
0
Monday, 20 April 2015
TAMWA YAMPONGEZA DOKTA BILAL
Local News

CHAMA cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania-TAMWA, kimempongeza Makamu wa Rais Dokta MOHAMED BILAL,kwa kutambua umuhimu wa kuchangia Elimu ya Mtoto wa Kike kwa kuchangia Shilingi Milioni 10. Dokta BILAL amekuwa mfano wa kuigwa kutokana na mchango wake wa Shilingi Milioni 10 ili kuwarejesha shule watoto ambao wazazi wao wameshindwa kuwagharamia  masomo na kupambana na unyanyasajiwa jinsia. Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA,VALERIA MSOKA,ameeleza hayo katika taarifa yake kwa Vyombo vya...

Like
234
0
Monday, 20 April 2015
ZARI AMKEJELI IVAN NA KUNDI LA RICH GANG KUFUATIA VURUGU ZA KIBAGUZI SA
Entertanment

Zari the boss amkejeli alikewahi kuwa mpenzi wake Ivan Ssemwanga pamoja na kundi lake la Rich Gang kupitia akaunti yake ya twitter kwakupost kibonzo chenye caption ya maneno yanayoonekana kuwalenga matajiri hao. Kibonzo hicho kinaonyesha member wa kundi hilo wakikimbia kurejea Uganda wakitokea nchini afrika kusini ambako hivi sasa kuna machafuko makubwa kufuatia vurugu na unyama unaofanywa na wazawa dhidi ya wahamiaji nchini humo Kibonzo hicho chenye utani pia alikindikia caption kwakuwataka waganda kutazama matajiri wakirudi huku wakiwa...

Like
320
0
Monday, 20 April 2015
FORMULA 1: LEWIS HAMILTON ATWAA TAJI LA BAHRAIN GRAND PRIX
Slider

Lewis Hamilton atwaa taji la Bahrain Grand Prix kwenye mbio za magari za Formula 1 (Langalanga). Katika mchuano huo Hamilton amewabwaga wapinzani wake Kimi Raikkonen na Nico Rosberg kuhakikisha anaongoza na kutwaa taji hilo. Ushindi huo kwa dereva huyu wa raia wa Uingereza ni watatu katika msimu huu akiitumikia vyema kampuni ya Mercedes huku akimuacha dereva mwenzake kutoka kampuni hiyo Nico Rosberg akishika nafasi tatu baada ya kubwaga na Kimi Raikkonen kutoka kampuni ya Ferrari Kwa matokeo hayo aliyoyapata dereva...

Like
279
0
Monday, 20 April 2015
FAINALI ZA FA: ASTON VILLA USO KWA USO NA ARSENAL
Slider

Aston Villa kukutana na Arsenal kwenye fainali za kombe la FA baada ya kuitandika Liverpool 2-1 kwenye nusu fainali za kombe hilo. Kocha wa aston Villa Tim Sherwood akizungumzia maandalizi kuelekea mchezo huo amesema wanajipanga vilivyokuhakikisha kuwa wanaibuka na ushindi kwenye mchezo huo dhidi ya washika bunduki Sherwood aliongeza kwakusema wanajipanga kwani katika mechi za awali  walipewa kipigo cha 3-0 na 5-0 hivyo Arsenal sio timu ya mzaha...

Like
252
0
Monday, 20 April 2015