Slider

LEO NI SIKU YA KUMBUKUMBU YA KUZALIWA KWA MWL. JK NYERERE
Local News

WATANZANIA leo wanakumbuka kuzaliwa kwa aliyekuwa Mwasisi wa Taifa hilo na Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Nyerere ambaye alizaliwa tarehe 13 mwezi wa nne mwaka 1922 katika familia ya kichifu. Hayati Nyerere ambaye alikuwa rais wa kwanza wa Tanzania, alizaliwa, kulelewa na kukua kama watoto wengine wa vijijini akiwasaidia wazazi wake kwa shughuli za kilimo na kuchunga mifugo, moja ya shughuli muhimu za Kiuchumi kwa jamii ya Wazanaki kutoka kijiji cha Butiama, Wilaya ya Musoma, Mkoani Mara. Kumekuwepo na...

Like
398
0
Monday, 13 April 2015
MWANASHERIA WA NELLY APANGA KUMNUSURU NA KESI YA DAWA ZA KULEVYA
Entertanment

Mwanasheria wa mkali wa ngoma zilizowahi kufanya vizuri ikiwemo Just a dream na Dilema ameanza kufanya harakati za utetezi kwa msanii huyo kwakudai dawa za kulevya alizokamatwa nazo hazikuwa zake. Nelly alitiwa nguvuni na vyombo vya usimamizi wa sheria baada ya gari lake la msafara wa kikazi kukutwa na dawa za kulevya aina ya bangi na silaha ndani yake. Mwanasheria huyo wa Nelly Scott Rosenblum kwenye mahojiano yake na mtandao wa Tmz amedai kuwa kulikuwa na zaidi ya watu 15...

Like
335
0
Monday, 13 April 2015
TANZANIA KUSHIRIKI KIGALI MARATHON
Slider

Tanzania yaingia kwenye orodha ya nchi zinazotarajiwa kushiriki kwenye mbio za Kigali Marathon May 23-24 huko Rwanda, huku nchi kadhaa zikialikwa. Chama cha riadha nchini Rwanda (RAF) kimeeleza kuwa mbio hizo ni na msisitizo wa kudumisha amani kupitia michezo.wakimbiaji watashindana katika mbio ndefu (kilometa 42) na half marathon (kilometa 21) kwa upande wa wanawake na wanaume. Mbio hizo zitaanza uwanja wa Amahoro. Wanariadha wengi kwa sasa wapo katika matayarisho na mashindano mbalimbali yakiwemo ya Olimpiki yatakayofanyika Rio de Janeiro,...

Like
222
0
Monday, 13 April 2015
BI. HILLARY CLINTON ATARAJIWA KUTANGAZA NIA YA KUWANIA URAIS
Global News

Rais wa Marekani Barack Obama amesema kuwa Hillary Clinton atakuwa rais bora na mwenye maono kwa nchi ya Marekani. Bi Clinton anatarajiwa kutangaza hii leo kuwa atawania uteuzi wa chama cha Democratic. Obama amesema kuwa Bi Clinton alitekeleza kwa njia nzuri majukumu yake alipohudumu kama waziri wa mashauri ya kigeni. Atatangaza azma yake ya kuwania urais kwa njia ya video ambayo itasambazwa kupitia kwa mitandao ya kijamii. Kinyume na miaka minane iliyopita Bi Clinton anatarajiwa kuangazia zaidi jinsi wapiga kura...

Like
219
0
Sunday, 12 April 2015
PELLEGRINI KUTETEA KIBARUA CHAKE LEO
Slider

Mwalimu wa klabu ya Manchester City Manuel Pellegrini amesisitiza kuwa klabu yake hiyo haina mgogoro. Pellegrini ambae ni raia wa Chile atakuwa na kibarua kikgumu leo kutetea kibarua chake kisiote nyasi pindi klabu hiyo itakaposhuka dimbani kuchuana vikali na Manchester United kwenye uwanja wa Old Trafford Manchester City imeshuka hadi nafasi ya nne kufuatia msururu mbaya wa matokeo baada ya kushinda mara mbili pekee kati ya mechi saba. Pellegrini Kocha Pellegrini amewaona wapinzani wake Arsenal na Manchester United wakipanda katika...

Like
259
0
Sunday, 12 April 2015
PALESTINA WAUNGANA NA SYRIA KUWAONDOA IS
Global News

WANANCHI wa Palestina wanasema kuwa wamekubali kushirikiana na Serikali ya Syria ili kujaribu kuwaondoa wapiganaji wa IS nje ya kambi moja ya wakimbizi viungani mwa Damascus. Tangazo kama hilo lilifanywa na Afisa mmoja wa Serikali ya Palestina huko West Bank. Wapiganaji wa IS walitekeleza shambulizi katika kambi hiyo wiki iliopita na kuweza kuiyumbisha kambi hiyo licha ya pingamizi kutoka kwa jeshi la Palestina....

Like
232
0
Friday, 10 April 2015
WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA UJERUMANI AWAALIKA MAWAZIRI WENZAKE BERLIN KUJADILI MAKUBALIANO YA AMANI UKRAINE
Global News

WAZIRI wa Mambo ya  Nje wa Ujerumani  Frank – Walter Steinmeier  amewaalika  Mawaziri  wenzake   kutoka  Urusi, Ukraine na  Ufaransa  mjini  Berlin  siku  ya  Jumatatu  kujadili utekelezaji  wa makubaliano  ya  amani  yaliyofikiwa  mjini  Minsk  kuhusu  mashariki mwa  Ukraine, nchini  Belarus Februari mwaka  huu. Mzozo  kati ya waasi wanaoungwa  mkono  na  Urusi  na  Majeshi ya  Serikali  ya  Ukraine  mashariki mwa nchi hiyo umesababisha watu elfu sita kupoteza  maisha. Viongozi  wa ...

Like
225
0
Friday, 10 April 2015
KAMANDA WA POLISI MKOANI ARUSHA AKANUSHA TAARIFA ILIYOSAMBAZWA KWENYE MITANDAO JUU YA KUKAMATWA KWA MTU ANAESADIKIKA KUWA GAIDI
Local News

KAMANDA wa Polisi Mkoani Arusha Liberatus Sabasi, amekanusha taarifa zilizoenea leo katika mitandao mbalimbali ya kijamii kuhusu kukamatwa kwa mtu mmoja aliyevalia vazi la baibui akiwa na bomu Mkoani humo na kusema habari hizo siyo za kweli na ni uzushi. Mapema asubuhi ya leo kumekuwepo na taarifa ziliyoenezwa kwenye mitandao ya kijamii zikisema kuwa Maafisa wa Usalama Mkoani Arusha usiku wa kuamkia leo wamekama gari aina ya Toyota Premio nyeusi ikiwa na watu wanne na bunduki nne aina ya SMG...

Like
234
0
Friday, 10 April 2015
POLISI WATUMIA MABOMU YA MACHOZI KUTULIZA VURUGU KUFUATIA MGOMO WA MADEREVA
Local News

POLISI Jijini Dar es salaam leo wamelazimika kutumia mabomu ya Machozi kufuatia vurugu zilizoibuka Katika kituo cha mabasi cha Ubungo baada ya madereva wa vyombo mbalimbali vya moto, nchi nzima leo asubuhi kugoma kusafirisha abiria ili kuishinikiza serikali kuondoa kero mbalimbali zinazowakabili ikiwemo ukosefu wa ajira za uhakika pamoja na agizo la kutaka kwenda kusoma. Awali kabla ya mgomo wa leo, Katibu wa Muungano wa vyama vya madereva Bwana Rashid Saleh, alisema baadhi ya kero zilizopelekea mgomo wa leo ni...

Like
373
0
Friday, 10 April 2015
CRICKET: RICHIE BENAUD AFARIKI DUNIA
Slider

Aliekuwa nahodha wa timu ya cricket ya Australia Richie Benaud amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 84. Benaud alistaafu mchezo huo mwaka 1964 na kuingia kwenye taaluma ya habari ambapo kazi yake ya mwisho kama mchambuzi aliifanya nchini Uingereza mwaka 2005 kwenye michuano ya Ashes Series na baadae alikwenda kukitumikia kituo cha Channel Nine huko Australia mpaka mwaka 2013. Mwezi November aligundulika kuwa na ugonjwa wa saratani ya ngozi Kufuatia heshima aliyojiwekea kwenye mchezo huo duniani wadau mbalimbali wametoa...

Like
256
0
Friday, 10 April 2015
TANZANIA YAPOROMOKA KWENYE VIWANGO VYA FIFA
Slider

Shirikisho la mpira wa miguu duniani FIFA limetangaza viwango vipya ambapo kushuka na kupanda kwa viwango kunatokana na mechi za kirafiki za kimataifa za Fifa zilizofanyika mwezi Machi , ambazo matokeo yake ni sehemu ya kigezo. Tanzania, baada ya kutoka droo ya 1-1 na timu ya Malawi katika moja ya mechi hizo za kirafiki, imeshuka kutoka nafasi ya 100 mpaka ya 107. Nchi 10 bora katika viwango vya fifa ni 1. Ujerumani 2. Argentina 3. Belgium 4. Colombia 5. Brazil...

Like
468
0
Friday, 10 April 2015