Slider

BARAZA LA USALAMA LA UMOJA WA MATAIFA LASHUTUMIWA KUSHINDWA KUTETEA RAIA SYRIA
Global News

RIPOTI ya Mashirika zaidi ya Ishirini ya Misaada ya Kibinadamu na yale ya kutetea Haki za Binaadamu yamelishutumu Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa kushindwa kutetea raia walio katikati ya vita nchini Syria. Ripoti hiyo imezishutumu nchi zenye nguvu kubwa ya ushawishi duniani kwa kushindwa kutumia nguvu zao kuandaa maazimio ya kusaidia Uhuru wa huduma za Misaada ya Kibinadamu kwa Waathirika. Aidha Ripoti ya Masharika hayo ni ya kuadhimisha Miaka Minne ya Vita nchini Syria ambavyo vinaendelea hadi...

Like
228
0
Thursday, 12 March 2015
WAPIGA RAMLI 225 MBARONI KUFUATIA MAUAJI YA WATU WENYE ULEMAVU WA NGOZI
Local News

JUHUDI za kukomesha matukio ya kihalifu ya kuwaua watu wenye Ulemavu wa Ngozi Albino, zimeanza kuzaa matunda baada ya Jeshi la Polisi kuwashikilia wapiga ramli 225. Kushikiliwa kwa wapiga ramili hao kunatokana na Operation inayoendeshwa na Polisi ya kupambana na vitendo vya Kikatili ili kuhakikisha matukio hayo hayaendelei kutokea. Taarifa iliyotolewa jijini Dar es salaam na Msemaji wa Jeshi la Polisi ADVERA BULIMBA imeeleza kuwa wapiga ramli hao wamekamatwa kwenye Mikoa ya Tabora,Geita,Mwanza,Simiyu,Shinyanga,Kagera,Katavi na...

Like
231
0
Thursday, 12 March 2015
MAOFISA WA ARDHI WATAKIWA KUTENDA HAKI YA KUTOA HUKUMU KWA WAKATI
Local News

WAZIRI wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi  Mheshimiwa WILLIUM LUKUVI ameaagiza maofisa Ardhi kuhakikisha wanatenda haki ya kutoa hukumu kwa wakati kuhusu mashauri ya ardhi. Mheshimiwa LUKUVI ameeleza hayo Katika ziara yake ya Siku mbili mkoani Mwanza na kuongeza kuwa lengo la ziara hiyo ni kutokana na kuwepo kwa malalamiko mengi kutoka kwa wananchi wa Kanda ya Ziwa. Pia amewaasa maofisa Ardhi kuhudumia wananchi kwa Haki na Uzalendo bila kujali uwezo wao...

Like
288
0
Thursday, 12 March 2015
FLOYD MAYWEATHER: DUNIA ITASIMAMA KUSHUHUDIA PAMBANO LANGU
Slider

Floyd Mayweather amesema dunia itasimama kushuhudia pambano lake na Manny Pacquiao ifikapo tarehe mbili mwezi wa tano mwaka huu ambapo pambano hilo limepangwa kufanyika. Mayweather ambae anarekodi ya kushinda mapambano yake yote 47 amemwambia mpinzani wake Pacquiao kwenye mkutano na waandishi wa habari huko Los Angeles siku ya jumatano kuwa hakuwa tayari kukubali kushindwa. Pacquiao pia kwa upande wake mapema alisema kuwa atampiga bondia huyo bora wa Amerika anaesifika kwa ubora kwenye mchezo wa masumbwi. Mpiganaji huyo raia wa Ufilipino...

Like
291
0
Thursday, 12 March 2015
CHELSEA YAAGA MASHINDANO YA KLABU BINGWA ULAYA
Slider

Chelsea jana imeyaaga mashindano ya klabu bingwa barani Ulaya katika uwanja wao wa nyumbani huko Stamford Bridge walipowakaribisha Paris St-Germain Kikosi cha PSG kikiwa na wachezaji kumi uwanjani baada ya talisman Zlatan Ibrahimovic kupewa kadi nyekundu baada ya kumchezea madhambi Oscar. Paris Saint-Germain inasonga mbele kwenye hatua ya robo fainali kwenye michuano hiyo ya klabu bingwa kwa tofauti ya magoli baada ya sare ya magoli 2-2 na klabu ya Chelsea. Chelsea jana ilizidiwa kimchezo na PSG katika uwanja wa nyumbani...

Like
317
0
Thursday, 12 March 2015
BREAKING NEWS: AJALI MBAYA YATOKEA IRINGA
Local News

KUMETOKEA ajali mbaya  mjini Mafinga eneo la Changalawe  Mkoani Iringa baada ya abiria wanaodhaniwa kufikiwa 40 , wa basi la Majinja lilikuwa linatokea Mbeya kuelekea Dar es salaam  kufunikwa na kontena   Kwa mujibu wa Kamanda wa polisi mkoa wa Iringa, Ramadhani Mongi ajali hiyo imetokea asubuhi  ya leo. Inasemekana idadi kubwa ya abiria hao wamefariki lakini Kamanda Mongi ameiambia EFM kwa njia ya simu kuwa taarifa kamili kuhusiana na ajali hiyo itatolewa mara baada ya kukamilisha Zoezi la kuitoa miili...

Like
996
0
Wednesday, 11 March 2015
AMNESTY INTERNATIONAL YAIKOSOA IRAN KUHAMASISHA WANAWAKE KUWA NA WATOTO WENGI
Slider

SHIRIKA la Kutetea Haki za Binadamu, Amnesty International, limekosoa jaribio la Iran kuwahamasisha Wanawake kuwa na watoto wengi. Moja ya sheria inayopendekezwa itakuwa ni kinyume cha sheria kueneza Habari juu ya uzazi wa mpango. Suala jingine ni kwamba itakuwa ni vigumu kwa Wanawake wasio na watoto, kupata kazi na kufanya kuwa ngumu watu kuachana....

Like
282
0
Wednesday, 11 March 2015
KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA NEW HOPE FAMILY CHAZINDUA KIKOMBE CHA AMANI NA UPENDO KUELEKEA UCHAGUZI MKUU
Local News

KATIKA kudumisha Amani na Upendo kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Madiwani,Wabunge na Rais pamoja na Upigaji Kura za Maoni kwa Katiba mpya, Kituo cha Kulea Watoto Yatima cha New Hope Family kimezindua Kikombe cha Amani na Upendo. Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es salaam Mwenyekiti wa Kituo hicho OMARI  KOMBE amesema, Kikombe hicho kitazunguka maeneo mbalimbali ya nchi ili kuhamasisha Watanzania kudumisha amani kama ilivyodumishwa na aliyekuwa Baba wa Taifa Mwalim JULIUS NYERERE Pia KOMBE amelaani Vitendo vinavyofanywa na...

Like
417
0
Wednesday, 11 March 2015
WATANZANIA KUPAMBANA DENGUE KWA KUTUNZA MAZINGIRA
Local News

WATANZANIA wametakiwa kupambana na ugonjwa wa Dengue kwa kuhakikisha mazingira yanayowazunguka yanakuwa safi ili kupunguza mazalia ya Mbu wanaosababisha ugonjwa huo. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu, Dokta MWELE MALECELA wakati akitoa taarifa ya Utafiti wa Mlipuko  wa Dengue jijini Dar es es salaa uliofanywa na Taasisi yake. Dokta MALECELA amesema lengo la Utafiti huo ni kukusanya takwimu za kiwango cha maambukizi ya Dengue kwa wagonjwa wanaofika katika vituo vya kutolea...

Like
262
0
Wednesday, 11 March 2015
EFM YAZINDUA KAMPENI YA TWENDE SAWA
Local News

KITUO Cha Radio Cha EFM kimezindua rasmi Kampeni yake ya TWENDE SAWA ikiwa ni kuashiria Shamrashamra za kutimiza Mwaka MMoja tangu kuanzishwa kwake. Akizungumzia shamrashamra hizo Mkuu wa Vipindi wa Efm DICSON PONELA amesema sherehe hizo zimeshaanza rasmi kwa matukio mbalimbali ambapo tarehe rasmi ya sherehe hizo ni April Pili mwaka...

Like
504
0
Wednesday, 11 March 2015
ANTONIO VALENCIA AWAOMBA RADHI WACHEZAJI NA MASHABIKI WA MAN U
Slider

Antonio Valencia ameomba radhi kwa wachezaji wenzake wa Manchester United pamoja na mashabiki baada ya kufanya makosa yaliyopelekea Arsenal kuiondoa Man u kwenye robo fainali za kombe la FA mapema jumatatu. Kitendo cha timu hiyo kufungwa katika uwanja wa nyumbani kimeipa pigo timu nzima pamoja na mashabiki. Kupitia ukurasa wake wa instagram Antonio Valencia aliwaomba radhi wadau na wapenzi pamoja na wachezaji na kuwataka kuangalia mbele...

Like
463
0
Wednesday, 11 March 2015