Slider

TMA YATOA TAARIFA YA MWELEKEO WA MVUA ZA MASIKA
Local News

MAMLAKA ya Hali ya Hewa nchini-TMA  imetoa taarifa ya mwelekeo wa Mvua za Masika kwa kipindi cha Mwezi Machi hadi Mwezi Mei mwaka huu ambapo inaonesha kuwa maeneo mengi ya nchi hayatakuwa na kiwango cha mvua cha kuridhisha. Akitoa taarifa hiyo kwa Waandishi wa Habari Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo Dokta AGNES KIJAZI amesema kuwa ingawa hali ya mvua haitarajiwi kuwa ya kuridhisha lakini kuna baadhi ya maeneo yanatarajiwa kupata Mvua za wastani hadi juu ya wastani ikiwemo Kanda ya...

Like
345
0
Tuesday, 03 March 2015
AUDIO: MASWALI NA MAJIBU YA DK PANJUAN KWENYE SPORTS HEAD QUARTERS
Slider

miongoni mwa yaliyosikika leo kwenye SPH ni hii interview unaweza kuisikiliza na kudownload hapa....

1
786
0
Tuesday, 03 March 2015
MAJESHI YA IRAQ YAANZA OPERESHENI KUUKOMBOA MJI WA TIKRIT
Global News

IRAQ imeanzisha operesheni kubwa ya kuukomboa mji wa Tikrit unaodhibitiwa na kundi la Dola la Kiislamu. Wanajeshi Elfu-30 wa Iraq na wapiganaji wakisadiwa na ndege za kivita wamezishambulia ngome za wapiganaji wa jihadi wa kundi hilo ndani ya mji huo na maeneo yanaozunguka, katika harakati inayoelezwa kuwa kubwa kabisa kuwahi kufanywa kuyakomboa maeneo yanayodhibitiwa na Dola la Kiislamu. Vikosi vya Serikali ya Iraq vimekuwa vikisonga mbele kuelekea maeneo ya Kaskazini huku vikipata ushindi dhidi ya kundi hilo lakini mji wa...

Like
261
0
Tuesday, 03 March 2015
OBAMA AITAKA IRAN ISITISHE MPANGO WA NYUKLIA
Global News

RAIS wa Marekani BARACK OBAMA ameihimiza Iran isitishe mpango wake wa nyuklia angalau Muongo Mmoja, kama sehemu ya Mkataba unaotarajiwa kufikiwa kulegeza vikwazo. Kauli ya Rais OBAMA imekuja kabla hotuba ya Waziri Mkuu wa Israel BANJAMIN NETANYAHU katika bunge la Marekani leo kupinga mkataba huo. Bwana OBAMA amesema Iran itahitaji kukubali mkataba utakaositisha uwezo wake wa kurutubisha Madini ya Urani na kuweka chini ya kiwango kinachohitajika kutengeneza Silaha za...

Like
237
0
Tuesday, 03 March 2015
SERIKALI YADHAMIRIA KULIPA DENI LA MAHINDI KUTOKA KWA WAKULIMA NA NFRA
Local News

SERIKALI imesema itajitahidi kuhakikisha inalipa deni lote la Mahindi yaliyonunuliwa kutoka kwa Wakulima na Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula-NFRA ifikapo March 30 mwaka huu. Akizungumza na Maelfu ya wananchi kwenye mkutano wa hadhara Wilayani Mbozi, Waziri Mkuu Mheshimiwa MIZENGO PINDA amesema Serikali imedhamiria kufuata deni lote. Ameeleza kuwa tayari alishakwenda nchini Poland kwa maelekezo ya Rais KIKWETE  na wao wameshakuja kuona hali halisi...

Like
223
0
Tuesday, 03 March 2015
JK: SERIKALI ITAHAKIKISHA INADHIBITI MTANDAO WA MAUAJI YA WATU WENYE ULEMAVU WA NGOZI
Local News

RAIS JAKAYA KIKWETE amesema Serikali itahakikisha inadhibiti Mtandao wa Mauaji ya watu wenye Ulemavu wa ngozi na kuitaka jamii iungane katika vita hiyo kwa kuwa ni vitendo visivyovumilika na vinalifedhehesha Taifa. Rais KIKWETE ameeleza hayo katika hotuba yake kwa Taifa ya Mwisho wa Mwezi ambapo amesisitiza suala la kutokomeza mauaji na ukataji wa viungo vya Albino ni jambo linalowezekana na litategemea watu kuacha imani za Kishirikina. Aidha katika Hotuba yake pia Rais KIKWETE amezungumzia suala la Uandikishaji wapiga kura na...

Like
244
0
Tuesday, 03 March 2015
UN: 6000 WAPOTEZA MAISHA MASHARIKI MWA UKRAINE
Global News

UMOJA wa mataifa umesema kuwa takriban watu 6000 wameuawa mashariki mwa Ukraine, Kwenye ripoti yake ya hivi punde kuhusu mzozo unaoendelea mashariki mwa Ukraine. Ofisi  ya haki za binadamu ya umoja wa mataifa inasema kuwa mapigano ya hivi majuzi yamesababisa vifo vya mamia ya watu. Ripoti hiyo inatoa picha kuhusu hali ilivyo mashariki mwa Ukraine ambapo mamia ya watu wameuawa kwa muda wa miezi miwili iliyopita na kufikisha idadi ya wau ambao wameuawa eneo hilo kuwa takriban watu 6,000.  ...

Like
284
0
Monday, 02 March 2015
MAJESHI YA IRAQ YAANZA KAMPENI DHIDI YA IS
Global News

SERIKALI ya Iraq imesema kuwa wanajeshi wake wameanza kampeni ya kuwaondoa wapiganaji wa Islamic State kutoka mji wa Tikrit . Mji huo mkuu wa jimbo la kaskazini la Salahuddin ulidhibitiwa na wanamgambo wa Islamic state Juni mwaka uliopita. Serikai inasema kuwa wanajeshi 30,000 wakiwemo wapiganaji 200 wakujitolea wa kisuni pamoja na wakurdi wanaelekea mji wa Tikrit wakisadiwa na ndege za kivita . Mji wa Tikrit uko kilomita 150, Kaskazini mwa mji wa mkuu wa...

Like
319
0
Monday, 02 March 2015
TGNP YAFANYA TAMASHA LA KIJINSIA TARIME
Local News

MTANDAO wa kijinsia Tanzania umefanya Tamasha la kijinsia ngazi ya Wilaya ya Tarime ikiwa na lengo la kutoa Elimu na uelewa kwa jamii juu ya kupiga vita vitendo vya ukatili wa kijinsia katika mimba za utotoni, ukeketaji vipigo na umiliki wa Rasirimali. Akizungumza na efm mtafiti shirikishi jamii kutoka TGNP AGNES LUKANGA amesema kuwa tangu kuanzishwa kwa mtandao wa TGNP hapa nchini mnamo mwaka 1993 TGNP imekuwa mstari wa mbele katika kupigania haki ikiwa ni pamoja na kupinga vitendo vya...

Like
397
0
Monday, 02 March 2015
AUDIO: KIBONZO CHA DK PANJUAN KWENYE SPORTS HEADQUARTERS
Slider

Kama ulipitwa na sehemu hii ya mahojiano sikiliza hapa  ...

Like
1893
0
Monday, 02 March 2015
HONGERA CHELSEA
Slider

Jose Mourinho ayataka makombe mengine baada ya kushinda kwenye Capital One Cup Meneja huyo wa Chelsea kwa sasa anatazamiwa kuwekeza nguvu kuhakikisha anayaramba makombe mengine baada ya ushindi wa Capital One Cup hapo jumapili Ushindi huo wa The Blues umekuja mara baada ya Terry strike na Kyle Walker kuzichungulia nyavu za Tottenham huko Wembley mabao yaliyopelekea timu hiyo kuibuka na ushndi wa 2-0 Mourinho ambae kwa mara ya kwanza alikuwa meneja wa klabu ya Chelsea kati ya mwaka 2004 hadi...

Like
381
0
Monday, 02 March 2015