Slider

UMUHIMU WA KUWA NA MAKTABA ZA MARAIS WASTAAFU
Local News

WAZIRI WA NCHI ofisi ya Rais Kazi Maalum,Profesa MARK MWANDYOSA amesema kuna umuhimu wa kuwa na Maktaba za marais wastaafu ili kuwa na hazina kwa taifa. Profesa MWANDYOSA ameeleza kuwa kinachowatenganisha Waafrika na nchi zilizoendelea ni lugha ya Maandishi ambayo ni urithi kwa vizazi vijavyo kwa kutunza kumbukumbu za hekima,busara na harakati za ukombozi na mchango wa viongozi...

Like
334
0
Thursday, 08 January 2015
NEW AUDIO: DREAM AMECHELEWA
Entertanment

Imetayarishwa na Abba process kwenye studio za Vipaji Tz unaweza kuisikiliza na kuidownload...

Like
1606
0
Thursday, 08 January 2015
DAVID CAMERON KUKUTANA NA ANGELA MERKEL LEO
Global News

WAZIRI MKUU wa Uingereza DAVID CAMERON na Kansela wa Ujerumani ANGELA MERKEL wanatarajiwa leo kuzungumzia mipango ya CAMERON kujadili upya uhusiano wa Uingereza na Umoja wa Ulaya. Ziara ya MERKEL jijini London ni sehemu ya msururu wa safari katika Mataifa kadhaa ya Kigeni ili kuweka mambo sawa kabla ya mkutano wa kilele wa kundi la Mataifa Saba yenye nguvu Kiuchumi Ulimwenguni – G7 ambao atauandaa Mnamo Juni 7 na 8 mjini Munich....

Like
300
0
Wednesday, 07 January 2015
MKIA WA NDEGE AIR ASIA WAPATIKANA
Global News

IMEELEZWA kuwa Mkia wa ndege ya Air Asia iliyoanguka umepatikana kwenye bahari ya Java, baada ya kikosi kilichokuwa kikiisaka ndege hiyo. Mkia huo wa ndege hutunza Visanduku vyeusi vinavyorekodi Mawasiliano ndani ya ndege ambavyo vingeweza kuwasaidia wachunguzi kubaini chanzo cha ajali....

Like
255
0
Wednesday, 07 January 2015
SERIKALI IMEOMBWA KUKOMESHA UBABE NA UKEKETAJI DHIDI YA MABINTI WA KIKURIA
Local News

SERIKALI imeombwa kuhakikisha inakomesha ubabe unaotumika kukeketa mabinti wa koo za Kikuria nchini. Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Kituo cha kupambana na Ukeketaji cha Masanga, Tarime Sista GERMAINE BAIBIKA wakati akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya kukamilika kwa Sherehe ya Mahafali ya Sita ya Mabinti waliokwepeshwa Msimu wa Ukeketaji....

Like
284
0
Wednesday, 07 January 2015
NAIBU WAZIRI WA FEDHA ATEMBELEA HOSPITALI YA MWANANYAMALA
Local News

 NAIBU WAZIRI wa Fedha Mheshimiwa MWIGULU NCHEMBA amefanya ziara kwenye Hospitali ya Mwananyamala kujionea hali halisi ya huduma zinazopatikana katika Hospitali hiyo pamoja na kuchangia damu salama ili kuhamasisha Kampeni ya kuchangia Damu Salama kwa Wagonjwa wanaohitaji Damu. Ziara hiyo ameifanya katika kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa,ambayo imelenga kutoa huduma za Kijamii kwa kuwasaidia watu Wasiojiweza, Wagonjwa pamoja na watu wenye Shida...

Like
228
0
Wednesday, 07 January 2015
AFISA WA POLISI AUAWA KWENYE SHAMBULIO LA KUJITOA MUHANGA INSTANBUL
Global News

MSHAMBULIAJI wa Kike wa kujitoa muhanga amejilipua na kumuua Afisa wa Polisi wa Uturuki na kumjeruhi mwingine katika shambulizi lililofanywa katika Wilaya Mashuhuri kwa watalii ya Sultanahmet mjini Istanbul. Serikali imelaani shambulizi hilo ambalo ni la Pili kufanywa dhidi ya Polisi na kuutikisa mji wa Istanbul katika kipindi cha wiki...

Like
378
0
Wednesday, 07 January 2015
AMINA CHIFUPA FOUNDATION YAMPONGEZA RAIS KIKWETE
Local News

KATIBU MKUU wa AMINA CHIFUPA Foundation, HAMIS CHIFUPA amempongeza Rais JAKAYA KIKWETE kwa kurejesha kwa Wananchi kiwanda cha Chai Cha Mponde kilichopo Lushoto mkoani Tanga. Mzee CHIFUPA amechukua hatua hiyo kutokana na dalili njema aliyoionyesha Rais KIKWETE ya kurejesha rasilimali za Wananchi mikononi mwao ili kuwakomboa...

Like
487
0
Wednesday, 07 January 2015
MWANZA: HAKUNA KULALA HADI MTOTO MWENYE ULEMAVU WA NGOZI APATIKANE
Local News

SERIKALI mkoani Mwanza imesema hakuna kulala hadi mtoto mwenye Ulemavu wa Ngozi PENDO EMMANUEL apatikane baada ya kutekwa na watu wasiojulikana. Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza MAGESA MULONGO alipokuwa akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Ndami Wilayani Kwimba katika Mkutano wa hadhara uliofanyika kijijini...

Like
254
0
Wednesday, 07 January 2015
MANISPAA YA TEMEKE INAWEZA KUIONGEZEA SERIKALI MAPATO KAMA RASILIMALI ZAKE ZITATUMIKA VIZURI
Local News

KAMATI YA BUNGE ya Hesababu za Serikali za Mitaa-LAAC imeitaka Manispaa ya Temeke kuongeza makusanyo hadi kufikia Shilingi Bilioni 35. Akizungumza katika ziara ya Kamati hiyo jijini Dar es salaam,Mwenyekiti wa LAAC Mheshimiwa RAJAB MOHAMED amesema Manispaa hiyo ina uwezo wa kuiongezea Serikali mapato endapo itatumia vizuri rasilimali...

Like
375
0
Wednesday, 07 January 2015
TWEET ZA DAVIDO BADO KITENDAWILI
Entertanment

Kupitia mtandao wa twitter Davido mkali kutoka Nigeria jana alionyesha kuchikizwa na mtu ambae hakumtaja jina lake wala kumuweka wazi Katika tweet hizo Davido ameongea maneno mazito yaliyoonyesha jinsi gani amekwazika Wakati hayo yakiendelea mkali kutoka Tanzania Diamond amechaguliwa kutumbuiza kwenye Tuzo za wanasoka bora barani Afrika ‪#GloCafAwards zitakazofanyika huko Lagos Nigeria, Tunamtakia kila heri ili aweze kuipeperusha bendela kimataifa...

Like
403
0
Wednesday, 07 January 2015