Slider

WATANZANIA WASHAURIWA KUPIGA VITA BIDHAA FEKI
Local News

WATANZANIA wameshauriwa kupiga vita matumizi ya bidhaa Feki na badala yake watumie bidhaa zenye ubora ili kudhibiti wasambazaji wa bidhaa hizo nchini. Rai hiyo imetolewa leo jijini Dar es salaam na Afisa mawasiliano wa Shirika la viwango Tanzania –TBS ROIDA ANDUSAMILE wakati akizungumza na EFM kuhusu mikakati ya kuhakikisha masoko yote nchini yanakuwa na bidhaa bora....

Like
255
0
Friday, 02 January 2015
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YATANGAZA MATOKEO YA MFUMO WA BIOMETRIC VOTERS REGISTRATION-BVR
Local News

TUME YA TAIFA ya Uchaguzi imetangaza Matokeo ya Zoezi la Uandikishaji wa Wapigakura katika Daftari la Kudumu kwa mfumo wa BIOMETRIC VOTERS REGISTRATION-BVR katika majimbo matatu ya Bunju,Katavi na Kilombelo ambapo zoezi limeonyesha Mafanikio makubwa. Akizungumza na Waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji DAMIAN LUBUVA amesema zoezi hilo limefanikiwa kufikia malengo ambapo katika jimbo la Bunju wameandikishwa watu 21,323 kati ya 35,486, Jimbo la Katavi ni 11,210 kati ya 11394 na Kilombero ni...

Like
336
0
Friday, 02 January 2015
MELI YENYE WAHAMIAJI HARAMU WAPATAO 400 YANASWA ITALI
Global News

Askari wanaolinda Pwani ya Italia wamejaribu kuwasaidia watu waliokwama ndani ya Meli ya Kibiashara, iliyotelekezwa katika Pwani ya Kusini Mashariki mwa nchi hiyo. Meli hiyo ina zaidi ya wahamiaji haramu wapatao mia nne. Taarifa zinasema hakuna mhudumu wala nahodha kwenye meli hiyo.  ...

Like
258
0
Friday, 02 January 2015
UTAFITI UNAONYESHA KUWA UGONJWA WA SARATANI NI MATOKEO YA BAHATI MBAYA
Global News

Utafiti mpya umeeleza kuwa aina nyingi za Ugonjwa wa Saratani ni matokeo ya bahati mbaya, kuliko malezo ya Vinasaba, Mazingira na Mtindo wa maisha. Watafiti nchini Marekani wamechunguza aina 31 za Saratani na kugundua kwamba Theluthi Mbili zimesababishwa na mgawanyiko holela wa Seli. Taarifa zaidi zimefafanua kuwa kwa mgawanyiko wa kila seli kuna hatari ya mabadiliko yanayoweza kusababisha...

Like
350
0
Friday, 02 January 2015
WANANCHI WATAKIWA KUWA NA UTARATIBU WA KUSAFISHA MITAA
Local News

MWENYEKITI wa Mtaa wa Kimara Baruti Jijini Dar es salaam kupitia Tiketi ya Chama cha DEMOKRASIA na Maendeleo- CHADEMA FLOMENCE KINYONGA amewataka wananchi wa Mtaa huo kuwa na Utaratibu wa kusafisha Mitaa kila ifikapo mwisho wa Mwezi. Akizungumza na EFM amesema kuwa ili kutimiza ahadi walizojiwekea katika kujiletea Maendeleo wananchi hao hawana budi kushirikiana na Viongozi wa Mtaa huo katika kusafisha mitaa ikiwa ni pamoja na kuzibua mitaro ambayo imejaa Michanga na Maji hasa katika kipindi cha...

Like
338
0
Friday, 02 January 2015
MWANZA: MTOTO MWENYE ULEMAVU WA NGOZI APOTEA
Local News

LICHA ya Serikali kufanya juhudi mbalimbali kukabiliana na Unyanyasaji wa Watu wenye Ulemavu wa ngozi-ALBINO nchini tatizo hilo limeendelea kujitokeza na kutishia amani yao. Hali hiyo imejitokeza jijini Mwanza baada ya mtoto mwenye Ulemavu wa Ngozi PENDO SHIBINDE kutekwa nyumbani kwao katika kijiji cha Ndabi Wilaya ya Kwimba jijini Mwanza. Akithibitisha kupotea kwa mtoto huyo Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza VALENTINO MLOWOLA amesema kila mtu anajukumu la kumlinda mtoto na kuachana na imani potofu ambazo zinapelekea watoto hao kudhuriwa,...

Like
424
0
Friday, 02 January 2015
VIDEO: D’BANJ AITANGAZA BIDHAA YAKE KWENYE VIDEO MPYA
Entertanment

Mkali kutoka Nigeria ambae yumo kwenye list ya wasanii manaotengeneza mpunga mrefu D’banj miezi kadhaa nyuma alitangaza bidhaa yake ya KOKO GARRI katika video ya wimbo mpya kabisa aliotoa D’banj Feeling the Nigga ameonekana zaidi akiutangaza utalii na utajiri wa asili unaopatikana Afrika lakini alienda mbali zaidi kibiashara kwa kuonyesha moja ya bidhaa zake KOKO GARRI itazame video hapa  ...

Like
350
0
Friday, 02 January 2015
TIWA SAVAGE NI MJAMZITO!!
Entertanment

Mwimbaji kutoka Nigeria huenda mwaka 2015 ukawa mwaka mzuri zaidi kwake mara baada ya kupost picha kwenye mtandao wa Instagram akiwa na mumewe Tunji TJ Balogun huku wameshika viatu vya mototo. Huku caption ya picha hiyo ikithibitisha kuwa Tiwa ni mjamzito. Huyu atakuwa motto wa kwanza kwa mwimbaji huyo lakini mumewe tayari amebahtika kuwa na watoto wawili kutoka kwenye mahusiano yake...

Like
331
0
Friday, 02 January 2015
2015 YAPOKELEWA KWA KISHINDO
Global News

MWAKA MPYA wa 2015 umepokewa kwa kishindo katika maeneo mbali mbali duniani na barani Afrika. Nchini Nigeria kumekuwa shamra shamra ambapo kwa mara ya kwanza mafataki yalirushwa katika eneo la kaskazini mwa nchi hiyo lenye waislamu wengi. Shamra shamra hizo zimefanyika katika kituo cha michezo katika mji wa Kano ambapo waliohudhuria ni wale waliopata mwaliko pekee....

Like
285
0
Thursday, 01 January 2015
WAKZI WA SHANGHAI WAUPOKEA MWAKA MPYA KWA MAJONZI
Global News

SHEREHE ZA KUUPOKEA mwaka mpya 2015 zimegeuka kuwa majonzi baada ya watu35 kufa kwenye taharuki ya kukanyagana kwenye msongamano wakati wakiiupokea mwaka mpya. Maafa hayo yametokea katika mji Shanghai ambapo maelfu ya watu walikuwa wamekusanyika ili kuupokea mwaka mpya. Chanzo cha taharuki hiyo bado haijafamika lakini vyombo vya habari vya nchi hiyo vimenukuliwa vikisema imetokana na maelfu ya watu kuzuiwa kugombea fedha bandia zilizotupwa eneo hilo kutoka katika jengo...

Like
285
0
Thursday, 01 January 2015
MECKY SADIQ: MWAKA WA JANA ULIKUWA MWAKA WA MAFANIKIO
Local News

MKUU wa mkoa wa Dar es salaam SAID MECKY SADIQ amesema mwaka jana ulikuwa na mafanikio yaliyotekelezwa kwa muda mfupi ikiwa ni pamoja na Ujenzi wa Maabara. Amesema katika mwaka huo mkoa umejipanga kutoa Elimu na hamasa kwa wananchi kwenda kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga...

Like
326
0
Thursday, 01 January 2015