Slider

WAFANYABIASHARA KARIAKOO WAIOMBA SERIKALI KUWEKA WAZI TOZO INAYOKUSANYWA NA POLISI JAMII
Local News

WAFANYABIASHARA wadogo wadogo katika soko la kariakoo wameiomba serikali kuweka wazi kuhusu posho wanazotozwa kila siku na polisi jamii. Wakizungumza kwa nyakati tofauti na EFM katika soko la kariakoo leo jijini Dar es Salaam wamesema wamekuwa wakitozwa shilingi elfu 2 kwa kila askari anaepita katika biashara zao bila kujua matumizi ya fedha wanazotozwa. Naye mmoja wa wafanyabiashara hao RUMANYIKA MANYANGA amesema wanashidwa kuendelea kimaisha na kiuchumi kutokana na na wengi wao kufanya biashara zenye vipato vidogo na wakati huo kutozwa...

Like
247
0
Tuesday, 16 December 2014
MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE YAANDAA MKAKATI WA KUPANUA NA KUBORESHA VIWANJA VYA NDEGE
Local News

MAMLAKA ya viwanja vya ndege Tanzania TAA imeandaa mkakati wa kupanua na kuboresha viwanja vyote vya ndege kwa kiwango cha lami jambo ambalo litakalosaidia kukua kwa uchumi wa nchi kupitia sekta ya usafiri wa anga. Akizungumza jijini Dar es Salaam mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya ndege TAA Suleiman Suleiman amesema uboreshaji huo wa viwanja vya ndege kwa kiwango cha lami utasaidia kupunguza gharama za uendeshaji kwani ndege inapotua kwenye kiwanja cha tope gharama zake zinakuwa mara mbili zaidi tofautia na...

Like
335
0
Tuesday, 16 December 2014
WAFANYABIASHARA WAIOMBA TRA KUWA NA MFUMO WA WAZI WA MASHINE ZA EFD
Local News

WAFANYABIASHARA nchini wameiomba mamlaka ya mapato Tanzania TRA kutengeneza utaratibu utakaoonyesha stakabadhi za Manunuzi,uendeshaji na uuzaji wa bidhaa katika mashine za kierectroniki za EFD. Akiongea na EFM kwa niaba ya wafanyabiashara leo jijini Dar es salaam Mwenyekiti wa taifa wa jumuiya wafanyabiashara JOHNSON MINJA amesema wafanyabiashara hawagomi kutumia mashine za EFD kama inavyosemwa na baadhi ya watu ila wanachohitaji ni kuwepo kwa mifumo hiyo mitatu ya wazi itakayoonyesha kila kitu. Minja amesema uwepo wa utoaji wa stakabadhi tatu...

Like
264
0
Tuesday, 16 December 2014
TALIBAN WAVAMIA SHULE NA KUUA 100 PAKISTAN
Global News

TAKRIBAN watu 100 wakiwemo wanafunzi 80 wameuwawa na wengine wengi kujeruhiwa baada ya wapiganaji wa Taliban kuvamia shule moja inayosimamiwa na jeshi huko Peshawar kaskazini – magharibi mwa Pakistan. Wakuu wa Hospitali wanasema kuwa zaidi ya watu 40 wanasemekana kujeruhiwa japo idadi hiyo inatarajiwa kuongezeka zaidi. Maafisa mjini Peshawar wanasema kuwa wanaume watano ama sita waliokuwa na silaha waliingia shuleni hapo wakiwa wamevalia magwanda ya kijeshi . Wanafunzi mia tano na waalimu walikuwa katika shule hiyo ya umma ya kijeshi...

Like
317
0
Tuesday, 16 December 2014
NHIF YANYAKUWA TUZO 3 ZA UBUNIFU BARANI AFRIKA
Global News

SHIRIKISHO la Kimataifa la Taasisi za hifadhi ya jamii-ISSA,l imekuwa na utaratibu wa kushindanisha mifuko ya hifadhi ya jamii duniani kwenye masuala ya ubunifu katika maeneo mbalimbali ya kiutendaji yakiwemo uboreshaji wa huduma, uwekezaji, uhamasishaji wa afya sambamba na uepushaji wa hatari makazini. Akizungumza na waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam kwenye mkutano uliowashirikisha waandishi hao kuhusu tuzo za ubunifu barani Afrika zilizotolewa na shirikisho hilo kwa mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya-NHIF, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa...

Like
325
0
Tuesday, 16 December 2014
CUF YAMTAKA RAIS KUWAWAJIBISHA PINDA NA GHASIA
Local News

CHAMA cha Wananchi CUF kimemtaka Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete kuwawajibisha Waziri Mkuu Mizengo Pinda Pamoja na Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa –TAMISEMI Hawa Ghasia kwa kile wanachokidai kushindwa kusimamia Vizuri Chaguzi za serikali za Mitaa. Akizungumza na waandishi wa Habari leo jijini Dar es salaam Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho Profesa Ibrahim Lipumba amesema kuwa kumekuwa na malalamiko na mapungufu mengi katika chaguzi hizo zilizosababishwa na utendaji mmbovu wa usimamizi....

Like
259
0
Tuesday, 16 December 2014
SAUTI: TUME YA KUDHIBITI DAWA ZA KULEVYA YATOA TAKWIMU
Local News

IMEELEZWA KUWA zaidi ya gramu elfu 3 za dawa za kulevya kutoka viwandani zimekamatwa katika kipindi cha kuanzia mwezi juni hadi Novemba mwaka huu zikihusisha watuhumiwa 24 ambapo kati ya hao watuhumiwa 7 ni raia wa Tanzania na 17 ni raia wa kigeni. Takwimu hizo zimetolewa leo jijini Dar es salaam na Mkemia kutoka Tume ya kudhibiti dawa za kulevya nchini ALOYCE NGONYANI wakati akizungumza na Efm juu ya mikakati ya kuzuia uingizwaji wa dawa hizo hususani kipindi hiki cha...

Like
276
0
Tuesday, 16 December 2014
MBABAZI AFIKIRIWA KUWANIA URAIS UGANDA
Global News

WAJUMBE wa chama tawala cha National Resistance Movement nchini Uganda wamepitisha mapendekezo ya kubadili katiba yao na hivyo kumfanya katibu mkuu Amama Mbabazi kuwa hana kazi. Mbabazi anafikiriwa kuwa ana nia ya kuwania Urais mwaka wa 2016 nchini Uganda dhidi ya rais wa sasa Yoweri Museveni. Moja wa wajumbe walioshiriki ni mbunge wa Soroti mjini Mashariki mwa Uganda na pia Makamu Mwenyekiti wa wa NRM kanda ya mashariki Mike Mukula ambaye anasema katika marekebisho ya katiba ya chama hicho, sasa...

Like
290
0
Tuesday, 16 December 2014
GHARAMA ZA MASOMO ZASABABISHA UHABA WA MARUBANI
Local News

IMEELEZWA kuwa gharama kubwa za mafunzo ya urubani zimekuwa kikwazo kwa wanafunzi kujiunga na taaluma hiyo na kusababisha kuwepo na uhaba wa Marubani wa ndege za Abiria na Helkopta nchini. Hayo yameelezwa na Rubani Mstaafu Meja CHARLES WACHIRA alipokuwa akiongea na EFM kuhusu Uhaba wa Marubani unaozikumba nchi za Afrika Mashariki. Rubani huyo Mstaafu ameeleza kuwa amekuwa maarufu hapa nchini kwa kipindi kirefu kutokana na kushiriki katika Kampeni za Vyama Vya Siasa nchini akiendesha Helkopta ambazo zimekuwa zikikodiwa na vyama...

Like
435
0
Tuesday, 16 December 2014
CCM YAIBUKA KIDEDEA WILAYA YA KINONDONI
Local News

CHAMA CHA MAPINDUZI -CCM kimeibuka kidedea  katika Wilaya ya Kinondoni , baada ya kunyakua viti 132  kikifuatiwa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo- CHADEMA 34  na Chama Cha Wananchi-CUF 16. Ofisa Uchaguzi wa Manispaa hiyo, VALENCE URASSA amesema Ccm imeshinda viti hivyo katika Mitaa 197 ya Wilaya hiyo huku Mitaa Miwili ikiwa haijafanya kabisa uchaguzi na 14 ikiharishwa. Amebainisha kuwa Mitaa hiyo 14 inatarajiwa kufanya uchaguzi wake Disemba 21mwaka huu, na baadhi ya  taratibu za maandalizi zimeanza kukamilika. Ameitaja baadhi...

Like
421
0
Tuesday, 16 December 2014
ABIRIA KUTOKA DAR WAKWAMA NJIANI SINGIDA
Local News

ABIRIA waliokuwa wanafanya safari kutoka Dar es salaam kwenda Mwanza wamekwama njiani katika kijiji cha Chikuyu Manyoni mkoani Singida kufuatia Basi walilokuwa wakisafiria la BEST LINE kuharibika kifaa tangu majira ya Saa nane na Nusu jana Mpaka leo. Akizungumza na Efm mmoja wa Abiria hao amesema kuwa mara baada ya kuharibika kwa gari hilo Dereva na Kondakta wamekimbia na hata walipopigiwa Simu wamedai wamekwenda Mkoani Dodoma kufuata kifaa ambacho kimeharibika na kutokurudi hadi leo. Abiria hao wamelazimika kulala vijiji vya...

Like
381
0
Tuesday, 16 December 2014