Slider

UPINZANI WASHINDA UCHAGUZI VENEZUELA
Global News

CHAMA cha upinzani nchini Venezuela kimeshinda wingi wa viti bungeni kwa mara ya kwanza tangu chama cha kisoshiolisti kiingie madarakani 1999 chini ya uongozi wa rais wa zamani Hugo Chavez . Rais wa baraza kuu la chaguzi Tibisay Lucena, amesema kuwa upinzani umeshinda takriban viti 99 kati ya viti...

Like
226
0
Monday, 07 December 2015
DIENDERE ASHTAKIWA KWA KUHUSIKA NA MAUAJI YA SANKARA
Global News

KIONGOZI wa mapinduzi yaliyodumu kwa muda mfupi nchini Burkina Faso Jenerali Gilbert Diendere ameshtakiwa kwa kuhusika katika mauaji ya rais wa zamani wa nchi hiyo Thomas Sankara alieuawa mwaka 1987. Jenerali Gilbert Diendere ni afisa wa ngazi ya juu zaidi kushatakiwa kwa mauaji hayo. Rais Sankara aliuawa na kundi la askari, lakini mazingira halisi ya kifo chake yamekuwa...

Like
212
0
Monday, 07 December 2015
WANANCHI WAMETAKIWA KUJITOKEZA KWA WINGI KUFANYA USAFI KWENYE MAADHIMISHO YA UHURU
Local News

WANANCHI wametakiwa kujitokeza kwa wingi katika kuunga mkono Juhudi za Serikali za kufanya usafi siku ya Maadhimisho ya Uhuru Disemba 9 mwaka huu ili kuweka mazingira safi na kusaidia kupunguza magonjwa ya mlipuko. Wito huo umetolewa leo Jijini Dar es salaam na Meneja Mawasiliano na Mahusiano wa Kituo cha Radio cha 93.7 Efm Denis Ssebo wakati akizungumza na waandishi wa Habari juu ya umuhimu wa zoezi hilo kwa kila mtu ambapo amesema Efm radio kwa kushirikiana na  Benki ya DTB,...

Like
248
0
Monday, 07 December 2015
RAIS MAGUFULI AVUNJA BODI YA BANDARI NA KUTENGUA UTEUZI WA MWENYEKITI WA BODI
Local News

KUTOKANA na utendaji mbovu wa Mamlaka ya Bandari kwa muda mrefu bila hatua zozote kuchukuliwa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli amevunja Bodi yote ya Bandari na kutengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi hiyo Profesa Joseph Msambichaka na Mkurugenzi Mkuu wa Bandari Awadhi Massawe.   Aidha Mheshimiwa Rais ametengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dokta Shaban Mwinjaka kuanzia leo hadi atakapopangiwa kazi nyingine.   Hatua hiyo imekuja kufuatia ziara za kushitukiza zilizofanywa...

Like
365
0
Monday, 07 December 2015
UZINDUZI WA KIPINDI CHA UHONDO TRAVELLTINE MAGOMENI
Entertanment

  Mtangazaji wa kipindi cha Uhondo Dinna Marios akiwa na wafanyakazi wenzake wa EFM akiitambulisha kanga ya “MAMA ANA UHONDO WAKE MTUNZE UPATE MEMA YAKE” pale Traventine Hotel siku ya uzinduzi wa kipindi cha Uhondo.   Vazi la kanga lina heshima yake , baadhi ya wafanyakazi wa EFM na mashabiki wakiwa katika mishono tofauti ya kanga ya uhondo.       Kundi la Jahazi Modern Taarabu wakitumbuiza usiku wa tarehe 5-12 katika uzinduzi wa Uhondo. “MAMA ANA UHONDO WAKE MTUNZE...

Like
1120
0
Monday, 07 December 2015
UFARANSA: NATIONAL FRONT PARTY YAONGOZA MATOKEO YA AWALI
Global News

KURA zilizohesabiwa katika awamu ya kwanza ya uchaguzi wa kikanda nchini Ufaransa, zinaonyesha chama cha National Front Party kinaongoza katika matokeo kwa asilimia 30 ya kura zote zilizopigwa. Uchaguzi huo ni wa kwanza kufanyika tangu kundi la kigaidi la wanamgambo wa dola ya Kiislamu la Islamic State kuua watu 130 mjini Paris mwezi uliopita. Chama Tawala cha kisoshalisti kimeshika nafasi ya tatu katika kura ingawa kimelazimika kujiondoa katika uchaguzi wa awamu ya pili katika mikoa miwili ikiwa ni jitihada za...

Like
246
0
Monday, 07 December 2015
OBAMA ATAJA SHAMBULIO LA CALIFORNIA KUWA NI LA KIGAIDI
Global News

RAIS wa Marekani Barack Obama amelihutubia Taifa lake kufuatia shambulio la risasi la wiki iliyopita katika jimbo la California ambalo lilisababisha vifo vya watu 14. Rais Obama amesema wazi kuwa hakuna ushahidi kwamba mhusika alikuwa anatekeleza mauaji hayo kwa maelekezo ya kundi lolote kutoka nje ya Marekani. Katika hotuba yake amesema kwamba shambulio hilo lilikuwa la kigaidi hivyo ni muhimu kupambana nalo bila kuchukua sura ya vita baina ya Marekani na waislamu bali ni kwa waislamu wenye itikadi kali za...

Like
190
0
Monday, 07 December 2015
UMOJA WA MATAIFA UMEKUMBUSHWA KUSAIDIA TANZANIA KUHUDUMIA WAKIMBIZI
Local News

JUMUIYA ya Kimataifa imekumbushwa kuisaidia Tanzania katika kuhudumia wakimbizi kutoka nchi za Burundi na Kongo ambao wanaishi kwenye kambi ya Nyarugusu mkoani Kigoma.   Kauli hiyo imetolewa na Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez wakati akizungumza na waandishi wa habari baada ya kukamilisha ziara yake mkoani Kigoma.   Rodriguez amesema kwamba serikali ya Tanzania kwa miaka mingi imekuwa ikikubali kusaidia majirani zake kwa kuhifadhi wakimbizi na kuitaka Jumuiya ya...

Like
189
0
Monday, 07 December 2015
AGIZO LATOLEWA KWA WAHANGA WA MGODI WA NYANGALATA KUFANYIWA UCHUNGUZI KWENYE HOSPITALI ZA RUFAA
Local News

KATIBU MKUU wa Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Omar Chambo amewaagiza madaktari wa Hospitali ya wilaya ya Kahama kuandaa utaratibu wa kuwawezesha wahanga wa Mgodi wa Nyangalata kwenda kufanyiwa uchunguzi wa Afya zao kwenye Hospitali za rufaa.   Mhandisi Chambo ameyasema hayo baada ya kuwatembelea wahanga hao waliolazwa katika hospitali ya Wilaya ya Kahama kutokana na ajali ya kufunikwa na kifusi cha mgodi huo kwa muda wa siku 41.   Katibu Mkuu ametoa agizo hilo kufuatia maombi yaliyotolewa na...

Like
472
0
Monday, 07 December 2015
EFM NA DTB BANK KUADHIMISHA SIKU YA UHURU KWA KUFANYA USAFI
Local News

EFM Radio kwa kushirikiana na  Benki ya DTB na Halmashauri ya Wilaya ya Kinondoni chini ya Mkuu wa Wilaya hiyo, Mh. Paul Makonda, tumeamua kuunga mkono na kutekeleza agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli la kuadhimisha Siku ya Uhuru 09/12/ 2015 kwa kufanya Usafi: ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuondoa ama kumaliza kabisa tatizo la magonjwa ya mlipuko ikiwemo Kipindupindu.   EFM na DTB Bank, tutashirikiana na  wakazi wa Mji huu wa...

Like
327
0
Monday, 07 December 2015
LUCA TONI KUSTAAFU SOKA MWISHONI MWA MSIMU WA SERIE A
Slider

Mshambuliaji wa zamani wa Juventus na Bayern Munich, Luca Toni kustaafu soka mwishoni mwa msimu huu wa Serie A. Mshambuliaji huyu mwenye rekodi ya kutwaa kombe la dunia akiwa na kikosi cha Italy amepanga kustaafu baada kusakata kabumbu kwa miaka 22. Luca Toni 38- ametumikia klabu 15 katika maisha yake ya soka, mshambuliaji huyu wa Hellas Verona anaturudisha nyumbani Tanzania ambapo hivi karibuni nahodha wa timu ya taifa Nadir Haroub pia ametangaza kustaafu soka baada ya miaka mitatu  ...

Like
304
0
Monday, 07 December 2015