CCM KUKUTANA ZANZIBAR JANUARI 13

CCM KUKUTANA ZANZIBAR JANUARI 13

Like
322
0
Friday, 09 January 2015
Local News

KAMATI KUU ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi -CCM inataraji kukutana Zanzibar Januari 13,mwaka huukatika kikao cha kawaida cha siku moja chini ya Mwenyekiti wa CCM Rais JAKAYA KIKWETE.

Kikao cha Kamati Kuu kitatanguliwa na Kikao cha Sekretarieti ya Halmashauri Kuu kitakachofanyika Januari 10, jijini Dar es Salaam.

Comments are closed.