CCM YARIDHISHWA NA JK KATIKA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CHAMA

CCM YARIDHISHWA NA JK KATIKA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CHAMA

Like
250
0
Tuesday, 10 March 2015
Local News

CHAMA cha Mapinduzi-CCM kimeonyesha kuridhishwa na harakati za Mwenyekiti wake Rais JAKAYA KIKWETE,Katika kutekeleza Ilani yao juu ya ushirikishwaji wa Wanawake katika Uamuzi.

Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa CCM, ABDULRAHMAN KINANA katika Ziara yake ya kuangalia Utekelezwaji wa Ilani ya Uchaguzi Mkuu uliopita katika Kijiji cha Mageleko.

KINANA amesema amezunguka sehemu kubwa ya mkoa huo na kukuta nafasi nyingi za juu zikishiliwa na Wanawake hali inayoonyesha kuwa Utekelezwaji wa Ilani ya CCM umeafanikiwa kwa kiasi kikubwa.

Comments are closed.