CHADEMA YAITAKA NEC KUONDOA VIKWAZO MAJINA YA MADIWANI

CHADEMA YAITAKA NEC KUONDOA VIKWAZO MAJINA YA MADIWANI

Like
230
0
Friday, 18 December 2015
Local News

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi Nchini –NEC,  kuhakikisha inaondoa vikwazo vyote  katika mchakato wa kutangaza majina ya madiwani wa viti maalumu .

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dae Es Salaamu leo,  Kaimu Katibu Mkuu wa chama hicho SALIMU MWALIMU,  ameitaka tume hiyo kutenda haki katika kugawanya viti maalumu vya udiwani kwa kufuata kanuni na taratibu za ugawaji .

 

 

Comments are closed.