CHADEMA YAKUTANA KUJADILI MAAZIMIO 11 YA KIKAO CHA PILI

CHADEMA YAKUTANA KUJADILI MAAZIMIO 11 YA KIKAO CHA PILI

Like
346
0
Wednesday, 15 October 2014
Local News

KAMATI ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA imekutana kujadili maazimio 11 ya kikao cha pili ya chama hicho.

Akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Mwenyekiti wa kamati kuu ya Chadema Mheshimiwa FREEMAN MBOWE amesema kuwa miongoni mwa mambo yatakayojadiliwa na kamati hiyo ni pamoja na uteuzi wa bodi ya wadhamini wa chama hicho

zaidi Mh. Mbowe amesema

 

Comments are closed.