CHALLENGE 2015: CECAFA YATANGAZA MAKUNDI

CHALLENGE 2015: CECAFA YATANGAZA MAKUNDI

Like
328
0
Wednesday, 11 November 2015
Slider

shirikisho la soka ukanda wa Afrika Mashariki na kati (CECAFA) limetangaza Makundi matatu ya timu zitakazocheza michuano ya Challenge itakayoanza November 21 na kumalizika December 6.

 KUNDI A

  1. Ethiopia
  2. Tanzania
  3. Zambia
  4. Somalia

KUNDI B

  1. Burundi
  2. Djibouti
  3. Kenya
  4. Uganda

 KUNDI C

  1. Rwanda
  2. Sudan
  3. Sudan Kusini
  4. Zanzibar

 

Comments are closed.