CHELSEA YAPOKEA KICHAPO CHA 3-0

CHELSEA YAPOKEA KICHAPO CHA 3-0

Like
192
0
Monday, 17 August 2015
Slider

Meneja wa klabu ya Chelsea Jose Mourinho ametoa utetezi kufuatia maamuzi yake ya kmtoa nahodha John Terry na nafasi yake kuchukuliwa na Kurt Zouma katika kipindi cha mapumziko kwenye mchezo kati yao na klabu ya Manchester City.

Chelsea ilipokea kichapo cha mabao 3-0 kutoka kwa Manchester City siku ya jumapili kwenye mchezo wa ligi kuu nchini England.

Katika utetezi wake bosi wa Chelsea amethibitisha kuwa Terry hakupata majeraha bali alimtoa kwa sababu za kimchezo.

“ilikuwa wazi kwenye mipango yangu kumuingiza Zouma” alisema Mourinho baada ya mchezo huo.

Comments are closed.