CHILE YAPIGWA NA TETEMEKO, HOFU YA TSUNAMI YATANDA

CHILE YAPIGWA NA TETEMEKO, HOFU YA TSUNAMI YATANDA

Like
216
0
Thursday, 17 September 2015
Global News

TETEMEKO kubwa la ardhi limeipiga Chile na kusababisha tishio la kutokea kwa tsunami, katika eneo lake la pwani na maeneo mengine ya bahari ya Pacific.

Tetemeko hilo lenye ukubwa wa 8.3 katika vipimo vya ritcha, lilipiga maeneo ya pwani na kuenea kwa kilomita 250 kaskazini magharibi wa mji mkuu Santiago.

Nchi hiyo imewahamisha wakazi milioni moja katika eneo la pwani, ambako tayari Rais wa Chile amethbitisha watu watano wamepoteza maisha baada ya tetemeko hilo kupiga.

CH2

Comments are closed.