CHINA NA JAPAN KUFANYA MKUTANO WA KWANZA WA KIWANGO CHA JUU CHA USALAMA

CHINA NA JAPAN KUFANYA MKUTANO WA KWANZA WA KIWANGO CHA JUU CHA USALAMA

Like
299
0
Thursday, 19 March 2015
Global News

CHINA na Japan wanafanya mkutano wa kwanza wa kiwango cha juu wa usalama katika muda wa miaka minne.

Mkutano huo unaofanyika Tokyo unajumuisha maafisa kutoka wizara za mambo ya nje na ulinzi ambapo mazungumzo hayo yalisitishwa mnamo mwaka 2011 kutokana na hofu kuhusu visiwa vinavyozozaniwa Mashariki mwa bahari ya China.

Pande zote zimesisistiza umuhimu wa mazungumzo ya kweli kudumisha amani.

 

Comments are closed.