CHINA YAFADHIRI MIRADI YA MAJI TABORA

CHINA YAFADHIRI MIRADI YA MAJI TABORA

Like
249
0
Thursday, 05 March 2015
Local News

SERIKALI ya China imetoa Zaidi ya Shilingi Milioni 265 kwa ajili ya Ujenzi wa Miradi ya Maji mkoani Tabora. Akiwasilisha taarifa yake katika kikao cha Kamati ya Bunge jijini Dar es salaam,Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji,Mhandisi MBOGO FUTAKAMA amesema pesa hizo zimetolewa kwa ajili Mkoa wa Tabora ambao una matatizo ya upatikanaji wa Maji. Ameeleza kuwa fedha hizo zitatumika katika miradi mbalimbali katika mkoa huo na Wilaya zake ili kuboresha Miundombinu na hatimaye kupatikana kwa maji.

Comments are closed.