CHRIS SMALLING AIPELEKA MAN U NAFASI YA TATU

CHRIS SMALLING AIPELEKA MAN U NAFASI YA TATU

Like
261
0
Thursday, 12 February 2015
Slider

Beki wa Manchester United Chris Smalling amekiri timu yake haikufanya vizuri kwenye nusu ya kwanza ya mchezo wao dhidi ya Burnley ambapo mchezo huo ulimalizika huku Manchester united wakiwa ni washindi wa 3-0.

Ushindi huo wa Manchester unawarudisha kwenye nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi ya Uingereza.

Smalling aliibeba klabu yake kwa kushinda magoli mawili ambapo pia kwenye mchezo huo Manchester iliwapoteza Phil Jones na Daley Blind kutokana na majeraha

Mkwaju kutoka kwa Kieran Trippier ulimuwezesha Danny Ings kuiandikia Burnlay bao lililodumu mpaka mwisho wa mchezo

Comments are closed.