CHUO CHA SOKOINE KINATARAJIA KUWA CHUO RASMI CHA KILIMO

CHUO CHA SOKOINE KINATARAJIA KUWA CHUO RASMI CHA KILIMO

Like
302
0
Wednesday, 19 August 2015
Local News

CHUO cha Kilimo cha Sokoine SUA kinatarajia kugeuza kitivo cha Kilimo cha chuo hicho kuwa Chuo cha Kilimo rasmi kitakachokuwa kinatoa mafunzo ya Kilimo cha kawaida na Kilimo cha Biashara ili kuboresha mfumo wa utawala na utendaji uwe wa kifanisi zaidi.

Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es salaam leo Mgeni Rasmi Naibu Makamu Mkuu wa SUA Utawala na Fedha Profesa Yonika Ngaga amesema lengo hasa ni kuboresha taaluma kwa kurekebisha mfumo mzima wa uendeshaji, usimamizi na utendaji wa chuo.

 

Comments are closed.