CINDY SANYU KUJA NA KAMPUNI YA UBUNIFU WA MAVAZI

CINDY SANYU KUJA NA KAMPUNI YA UBUNIFU WA MAVAZI

Like
298
0
Monday, 16 March 2015
Entertanment

Miezi michache tu tangu mkali kutoka Uganda Cindy na mpenzi wake Ken Muyisa waanze kuwekeza kwenye biashara ya bar sasa hiki ndicho kinachofuata kutoka kwa msanii huyu.

Cindy ametangaza kuanzisha biashara mpya ya ubunifu wa mavazi na mitindo, akiongea kwenye moja ya interview yake hivi karibuni anampango wa kufungua kampuni hiyo hivi karibuni na kwa sasa ameanza kusambaza T-shirt, kofia nk.

Pia ametangaza jina litakalosimama kama label ambalo ni CS herufi zilizotoka kwenye jina lake Cindy Sanyu

Comments are closed.