COENTRAO KUTUA MONACO KWA MKOPO

COENTRAO KUTUA MONACO KWA MKOPO

Like
241
0
Thursday, 27 August 2015
Slider

Real Madrid na Monaco zimekubaliana dili la beki wa kushoto wa Rea Madrid mreno  Fabio Coentrao kwenda kuitumikia Monaco kwenye Ligue 1 kwa mkopo katika msimu wa mwaka 2015-16.

Klabu hizi mbili zilitangaza makubaliano hayo siku ya jumatano

Coentrao, 27, alijiunga na Real Madrid akitokea Benfica mwaka 2011 kwa ada ya Euro milioni 30.

Comments are closed.