CRIS BROWN NI ZAIDI YA MAPENZI KWA MTOTO WAKE

CRIS BROWN NI ZAIDI YA MAPENZI KWA MTOTO WAKE

Like
495
0
Friday, 17 April 2015
Entertanment

Mwimbaji Chris Brown kwa sasa huenda asisike tena kwenye vyombo vya habari kwa mabaya ikiwemo kuhusishwa na fujo katika club anazotembelea ama kufanya show kama ilivyozoeleka nah ii inatokana na msanii huyo kutambua thamani yake kama mzazi.

Cb kwa sasa amekuwa karibu zaidi na motto wake Royalty mwenye umri wa miezi kumi, kupitia akaunti yake ya instagram cris amepost picha yake yake akiwa na mtoto huyo huku wakiwa wenyefuraha zaidi

Wataalamu wa mambo wanasema kwamba ukaribu huo wa Cris kwa Royalty ni kama kutoa majibu kwa mpenzi wa sasa wa Nia Guzman ambae ndie mama wa mtoto huyo ambae amekuwa akitamba kuwa ndie baba kwakuhudumia

 

Comments are closed.