CROTIA KURUHUSU WAHAMIAJI KUINGIA MAGHARIBI MWA ULAYA

CROTIA KURUHUSU WAHAMIAJI KUINGIA MAGHARIBI MWA ULAYA

Like
219
0
Friday, 18 September 2015
Global News

WAZIRI mkuu wa Croatia amesema nchi yake haiwezi kuwazuia wahamiaji wanaotaka kuelekea upande wa magharibi mwa Ulaya.

Zoran Milanovic amesema Croatia itajaribu kuwaandikisha wakimbizi wengine zaidi kadiri itakavyowezekana.

Mamlaka nchini humo zinasema jumla ya wahamiaji Elfu 11 wameingia nchini humo baada ya Hungary kufunga mpaka wake uliosababisha kufungwa kwa njia ya kuelekea nchi za Ulaya.

Comments are closed.