CRYSTAL PALACE YAILAZA MAN CITY 2-1

CRYSTAL PALACE YAILAZA MAN CITY 2-1

Like
339
0
Tuesday, 07 April 2015
Slider

Klabu ya soka ya Crystal Palace jana ilifanikiwa kuwaangazmiza mabingwa watetezi Manchester City magoli 2-1 katika mchezo uliuchezwa Selhurst Park.

 

Ushindi huo wa jana wa klabu ya Cristal Palace ni mafanikio kwa meneja Alan Pardew

 

Meneja alifunguka na kusema kwamba anaamini kuwa Mameneja katika ligi hiyo hawapati sifa wanayostahiri mara tu wanapozitandika timu kubwa kwa kuwazidi mbinu kimchezo.

cccc cc c5 c4 c3 c2 yanga

 

 

 

Comments are closed.