CRYSTAL PALACE YAMNYAKUA MSENEGAL SOUARE

CRYSTAL PALACE YAMNYAKUA MSENEGAL SOUARE

Like
277
0
Monday, 02 February 2015
Slider

Klabu ya Crystal Palace imetangaza kwenye tovuti yao siku ya jumapili kwamba amemsajili msenegali Pape Souare akitokea Ufaransa

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 alihitimu mafunzo ya soka kutoka kwenye kituo cha kukuza vipaji vya mpira wa miguu cha Lille’s youth academy na kuiwakilisha Senegal katika michuano ya AFCON huko Equatorial Guinea

Souare amekuwa mchezaji wan ne kumwaga wino na kutua Crystal Palace katika dilisha la usajili kwenye kipindi hiki cha mwezi wa kwanza baada ya Jordon Mutch, aliekuwa mchezaji wa timu ya Newcastle United Shola Ameobi pamoja na Yaya Sanogo aliejiunga na klabu hiyo kwa mkopo akitokea Arsenal

Comments are closed.