CUF KUTOA MSIMAMO WAKE LEO JUU YA MZOZO WA KISIASA ZANZIBAR

CUF KUTOA MSIMAMO WAKE LEO JUU YA MZOZO WA KISIASA ZANZIBAR

Like
266
0
Monday, 04 April 2016
Local News

CHAMA kikuu cha upinzani visiwani Zanzibar CUF leo kinatarajiwa kutangaza mikakati yake na msimamo kuhusiana na mzozo wa kisiasa wa Zanzibar.

Hata hivyo msimamo huo unatarajiwa kuzungumzia mufaka kati ya chama cha CUF na CCM ambao ulileta uundwaji wa serikali kati ya vyama hivyo viwili.

Hivi karibuni shirika la misaada la Marekani MCC lilisitisha msaada wa dola 487 kwa madai ya kutoridhishwa na hali ya kisiasa visiwani Zanzibar.

Comments are closed.