DARESALAAM YAONGOZA KUWA NA IDADI KUBWA YA WAGONJWA WA AKILI

DARESALAAM YAONGOZA KUWA NA IDADI KUBWA YA WAGONJWA WA AKILI

Like
483
0
Friday, 09 October 2015
Local News

WAKATI kesho ni siku ya Kimataifa ya afya ya Akili duniani Takwimu zinaonyesha kuwa Tanzania ina idadi ya watu takriban milioni 45 na kutokana na taarifa ya afya ya akili kwa mwaka 2014/15ambayo  inaonyesha kuwa idadi ya watu 817,532 wanaugua magonjwa mbalimbali ya akili nchini, hii ni karibu asilimia 2 ya watanzania wote.

 

Mkoa wa Dar-Es-Salaam unaongoza kwa kuwa n awagonjwa wengi nchini ukifuatiwa na mkoa wa Dodoma na mkoa wa mwisho ni Lindi.

 

Taarifa iliyotolewa leo na Wizara ya afya na Ustawi wa Jamii, imeeleza kuwa, Siku ya Afya ya Akili Duniani, huadhimishwa duniani kote kila mwaka tarehe 10 ya Mwezi Oktoba ambapo mwaka huu Kaulimbiu ya Maadhimisho hayo ni “Utu katika Afya ya Akili.

 

Comments are closed.