DAVID CAMERON KUKUTANA NA ANGELA MERKEL LEO

DAVID CAMERON KUKUTANA NA ANGELA MERKEL LEO

Like
309
0
Wednesday, 07 January 2015
Global News

WAZIRI MKUU wa Uingereza DAVID CAMERON na Kansela wa Ujerumani ANGELA MERKEL wanatarajiwa leo kuzungumzia mipango ya CAMERON kujadili upya uhusiano wa Uingereza na Umoja wa Ulaya.

Ziara ya MERKEL jijini London ni sehemu ya msururu wa safari katika Mataifa kadhaa ya Kigeni ili kuweka mambo sawa kabla ya mkutano wa kilele wa kundi la Mataifa Saba yenye nguvu Kiuchumi Ulimwenguni – G7 ambao atauandaa Mnamo Juni 7 na 8 mjini Munich.

 

Comments are closed.