DAWASCO YABAINI WAHUJUMU WA MIUNDOMBINU YA MAJI DAR

DAWASCO YABAINI WAHUJUMU WA MIUNDOMBINU YA MAJI DAR

Like
617
0
Wednesday, 18 February 2015
Local News

LICHA ya jitihada zinazoendelea kufanywa ili kuzuia uhujumu wa Miundombinu ya Majisafi na Wizi wa Maji,hujuma nyingine kubwa ni ya chuma chakavu za Majitaka.

Hujuma hiyo imebainika baada ya DAWASCO kukamata mifuniko ya Majitaka katika kiwanda cha Nondo cha Iron and Steel cha jijini Dar es salaam.

Vyuma hivyo chakavu ni mifuniko ya Chemba za Majitaka za DAWASCO, zimebainika baada ya uchunguzi wa kina na taarifa kutoka kwa Wasamaria wema kuhusu upatikanaji wa mifuniko hiyo kiwandani hapo

DAWASCO2

Comments are closed.