DENMARK: MAELFU WAJITOKEZA KUOMBOLEZA VIFO VYA WATU WAWILI WALIOUAWA KWA MASHAMBULIZI

DENMARK: MAELFU WAJITOKEZA KUOMBOLEZA VIFO VYA WATU WAWILI WALIOUAWA KWA MASHAMBULIZI

Like
205
0
Tuesday, 17 February 2015
Global News

MAMIA kwa maelfu ya raia wa Denmark wameomboleza vifo vya watu wawili waliouwawa katika mashambulizi mawili tofauti siku ya Jumapili mjini Copenhagen.

Jana jioni, watu hao waliwasha mishumaa karibu na mgahawa ambapo kijana mwenye miaka 22 aliwashambulia kwa risasi watu waliokuwa wakihudhuria mjadala kuhusu uhuru wa kutoa maoni.

Mtu mmoja alikufa katika tukio hilo na mwingine katika tukio la pili ambapo mshukiwa aliwashambulia kwa risasi watu waliokuwa nje ya sinagogi moja mjini Copenhagen.

DEN2 DEN

Comments are closed.